BUKU 1 800
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,175
- 2,125
Wewe ndugu yake Pdidy au huko ghorofani unakua na pdidy?Sikaagi na nguo geto sababu naishi mwenyewe gorofani hivyo nakaaga na boxer tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndugu yake Pdidy au huko ghorofani unakua na pdidy?Sikaagi na nguo geto sababu naishi mwenyewe gorofani hivyo nakaaga na boxer tu
Nilipopanga kuna floor 3 mkuu niko floor ya juu huku ndo chumba changu kipoWewe ndugu yake Pdidy au huko ghorofani unakua na pdidy?
Hahah sijui jina la pili ila nakumbuka wakati Prof.Magori anaondoka alibaki Prof.Ngassapa, Dr.Jane wakati katoka Japan, na Mboneko.Mboneko Yupi Huyu Bwana Mdogo Kataruga Verus..
😅😅🤣🤣
Kama ni Huyo Mtoto sana Kamaliza Med school namuona Bhana 🤣🤣
Njia zipo nyingi ila #1 ni change your habitDaah mbona risk hivyo nimeajiriwa mkuu unataka kibarua kiote nyasi inabidi tu nitune akili yangu tofauti
Pdidy upo nae huko juu?Nilipopanga kuna floor 3 mkuu niko floor ya juu huku ndo chumba changu kipo
Yeah sure mkuu.wanakuza mambo. sex is sex. mengine ni imani zisizo na uthibitisho
Nishafanya hivyo ika backfire saivi labda nijaribu kukaa miaka 2 no sex, no masturbation nione itakavyokuwa saivi sirudii kabisa nikumwa nangangana hivyo hivyoNjia zipo nyingi ila #1 ni change your habit
Ndio maana nimekwambia change your Habitat maana hapo ulipo hama hamia sehemu nyingine kisha fanya replacements kuna trigger hua inakupa signal ndio una mastabet kabla huja-kesha out kwa replace na kitu kingine unachopenda mfano kupiga gitaa au piano au kupiga ngoma au kusali ule muda ambao trigger inakua kwenye finger ingia ibadani utakua umefanya replacement na taratibu utajikuta unaacha hadi unazoea sio ugonjwa eti usipomwaga manii utaugua sio kweli na kingine manii yatatolewa yenyewe na mwili bila wewe kushikaboloNishafanya hivyo ika backfire saivi labda nijaribu kukaa miaka 2 no sex, no masturbation nione itakavyokuwa saivi sirudii kabisa nikumwa nangangana hivyo hivyo
Pdidy anatembeza mafuta kwa watotoHahaha mbona upo obsessed na Pdidy mkuu?
Sema jamaa anaandamwa sana mitandaoni hata kama ni tajiri ila hapana asee CV imechafuka sanaPdidy anatembeza mafuta kwa watoto
Kukula ni kukula tu 🤒Vipi wale wanaosex na condom connection inakuwa vipi hapo?
Au ndio mnakuwa connected partially na sio fully?
Sina hakika kwa kuthibitisha, ila nishawahi kusikia baadhi kwa mwanaume kudai akilala na demu fulani anapata bahati
Isivyo bahati sijawahi kusikia mdada akisema akilala na mwanaume fulani anapata bahati
Na wewe unataka upewe Grammy uwahi kwa pdidy hata akiwa nyuma ya ndono ukipeleka kumsava kwenye categories lazima ushinde si ameshakubabua pele ghorofaniSema jamaa anaandamwa sana mitandaoni hata kama ni tajiri ila hapana asee CV imechafuka sana
Naam naam Shukran mkuu mi kinachonifanya nifanye hivyo ni comfort zone za mara moja moja ila saivi acha nitafute hobby kwanza nishaipata hiyo najua itanisaidia sana tuNdio maana nimekwambia change your Habitat maana hapo ulipo hama hamia sehemu nyingine kisha fanya replacements kuna trigger hua inakupa signal ndio una mastabet kabla huja-kesha out kwa replace na kitu kingine unachopenda mfano kupiga gitaa au piano au kupiga ngoma au kusali ule muda ambao trigger inakua kwenye finger ingia ibadani utakua umefanya replacement na taratibu utajikuta unaacha hadi unazoea sio ugonjwa eti usipomwaga manii utaugua sio kweli na kingine manii yatatolewa yenyewe na mwili bila wewe kushikabolo
Fanya kwa kiasi maana ikiwa too much inatengeneza addictionNaam naam Shukran mkuu mi kinachonifanya nifanye hivyo ni comfort zone za mara moja moja ila saivi acha nitafute hobby kwanza nishaipata hiyo najua itanisaidia sana tu
Ukipata wasaa elezea na BAO LA USINGIZINI kwa hao Taoist & Daoistm linamaanisha nini?
Hii Ni mada Ngumu Sana tena Hili swali linaonyesha Wewe Ni mmoja wa Taoist au Daoist..Mkuu leta maelezo ya BAO LA USINGIZI tupe elimu lina nguvu gani
Hahaha au sio!Na wewe unataka upewe Grammy uwahi kwa pdidy hata akiwa nyuma ya ndono ukipeleka kumsava kwenye categories lazima ushinde si ameshakubabua pele ghorofani
Kuna Kitu kidogo sana tumeshindwa Kuelewana Thats why kingereza Huwa ni chepesi kuelezea kuliko Kiswahili..Sasa kama akili inaweza kuhadaiwa, Utasemaje kwamba ukisex na mtu unaungana naye kiakili?
Wakati hapo wala hujaungana naye kiakili umehadaa akili kwa kuvuta hisia za mtu mwingine?
Kama kweli ukisex na mtu unaungana naye kiakili na kihisia, Kwa nini uhadae akili au kwa nini uvute hisia za mtu mwingine kuhadaa akili?
Kama kweli ukisex na mtu unaungana naye kiakili na kihisia, Kwa nini Akili zisiungane automatically pasipo kuhitaji kuhadaa akili na kuvuta hisia za mtu mwingine?
Ongeza nyama mkuu hii bado skeleton yaan hii elimu ni pana mno halafu ume-outline tu na ku-mention ongeza maelezo kidogo hapo universe inachukuaje energy yako ukiwa umelala na nini faida au hasara za kuchukuliwa hio energy na universe?Hii Ni mada Ngumu Sana tena Hili swali linaonyesha Wewe Ni mmoja wa Taoist au Daoist..
Japo Mimi sio Tao ila Nitakueleza Kwa jinsi navyojua Kama Nitakosea Wale wa Tao watanirekebisha..
Kwa wale wa Taoism Huwa kwanza wanaamin Ukipata Bao usiku basi kunafanyika Balance kati ya Qi (Vital energy from semen iliyokomaa) na Jing (Ambayo ni semen bado haijakomaa ambayo Inachakatwa Kuwa Qi)..
Msingi Mkubwa Wa Alchemy (Sexual.Alchemy kwa Taoism wao ni Kucultivate Qi (ambayo.Huesabia kama Nguvu ya Uhai Vital Energy)..
Kwahyo wanaamini Lazma Wafanye Cultivation ya Jing to Qi (Na kupata Qi Safi kabisa) bila kuwa na Accumulation ya Jing...
Ambayo Hij dhana ni tifauti na Wana Alchemy wengine kama Gnosis Kaballah ,Freemason, Illuminati na Wengine na Ni kinyume kabisa na Wale wazee Wa NOFAP..
So From Taoist point of view, Bao la Usingizini is just a not- yet- purified qi grasping shen (" spirit") as a means ya Ku attain its goal .
as an individual had taken a lump of qi from the universe so as to be born and living as an individual , so universe ndo Huwa eager to take it back secretly (from his dream ).
So , ili kupatikane ile balance always iwe ina flow of qi , so ili the universe isiwe in a status of lack of qi
Sijui kama umenielewa
Hii si ndio ile Burudani kwa Wote? Ligi za Mabingwa?