Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Hisia ndio hiyo ya kutaka kufanya mapenzi, kama ilivyo hisia ya kula, kunywa, kujisaidia n.kNi Vigumu Sana Mtu kusex Bila kuwa na Hisia...
Unless Tunaongea Nadharia tukubaliane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hisia ndio hiyo ya kutaka kufanya mapenzi, kama ilivyo hisia ya kula, kunywa, kujisaidia n.kNi Vigumu Sana Mtu kusex Bila kuwa na Hisia...
Unless Tunaongea Nadharia tukubaliane
Mhhh kweli hoja hupingwa kwa hoja big upIngekuwa sex inaunganisha watu wawili kihisia, kiakili na kiroho kama unavyodai,
Malaya wote wanao sex na matajiri wangepata akili za kitajiri.
Malaya wote wanao sex na viongozi wa kidini kama mapadri, masheikh n.k na wao wangepata roho ya kuachana na hayo matendo yao.
Lakini sivyo, Malaya wanabaki na umaskini wao licha ya kusex na kutembea na matajiri.
Pia Malaya haohao wanabaki na umalaya wao licha ya kusex na viongozi wa kiroho.
Ukipata wasaa elezea na BAO LA USINGIZINI kwa hao Taoist & Daoistm linamaanisha nini?
Kuna Wanaosema esp walokole kuwa unakuwa na connection na roho chafu, majini, vibwengo, vinyamkera, wachawi kwa kuwa umewafungulia mlango kupitia kujichua.Ukipiga punyeto unakuwa na hisia na mikono na mafuta au sabuni??
Kabisa mkuu.Hisia ndio hiyo ya kutaka kufanya mapenzi, kama ilivyo hisia ya kula, kunywa, kujisaidia n.k
kibongo bongo tuna huduma ya hicho kipimo ?Kama mpimaji ni Bora na mzoefu we Expect Majibu yatakuwa 95% Accurate..
Japo Ni tricky sana kwa sababu kuna Pathological Manifestation ya Mpimwaji..
Japo ni 1 kati ya watu 10000 wanaoweza Kubypass Polygraph na ndo maana Siku hizi kuna Vipimo Zaidi ya 10 Kuverify Polygraph
Na BAO LA USINGIZI unakua umefungua geti la nani Malaika Gabriel?Kuna Wanaosema esp walokole kuwa unakuwa na connection na roho chafu, majini, vibwengo, vinyamkera, wachawi kwa kuwa umewafungulia mlango kupitia kujichua.
Vp kuhusu wale wanaofanya sex na wanyama kama mbuzi,mbwaKwamba tendo la ndoa (kwa wanandoa)/Zinaa (Kwa wasio wanandoa) huweza kuwa njia huweza kuwa njia au mlango wa kuifikia roho yako kwa namna hama nyingine.
Watu wawili wakiwa wanashiriki tendo hilo huwa si tena wawili wanakuwa wameungana na kuwa mwili mmoja kabisa, hii inawaunganisha kimwili, Kiakili/Kihisia na kiroho, hili jambo lina siri nzito sana.
Kwa wale wasoma biblia ukipita
Waefeso 5:31-32
"Kwa sababu hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye atashikamana na mke wake, na hao wawili watakuwa mwili mmoja. Siri hii takatifu ni kubwa. Sasa ninasema kwa habari ya Kristo na kutaniko."
Ukiwa na mtu ambaye mnakuwa actively mnashiriki nae sex jua fika mtashare mambo mengi katika ulimwengu wa hisia na kiroho pia hata kama mtakuwa hampo karibu kwa wakati huo.
Bani Isra'il / Al Isra aya ya 32
وَلَا تَقْرَبُوا۟ ٱلزِّنَىٰٓ ۖ إِنَّهُۥ كَانَ فَٰحِشَةًۭ وَسَآءَ سَبِيلًۭا
Wala taqraboo alzzina innahu kana fahishatan wasaa sabeelan
Wala msikaribie zinaa, Hakika huo ni uchafu Mkubwa sana na njia ya Upotovu..
Hii ni kwa sababu SEX ni ibada kamili kabisa, sex ni mkataba ambao miongoni mwa makubaliano ya huo mkataba ni kuwa connected.
Hii ndio maana inakuwia ngumu kumsahau na kumtoa akilini mtu ambaye mlikuwa nae active kwenye sex hata kama ilikuwa zamani na mna muda hamjaonana, bado ataendelea kuwa kwenye mind yako.
Nguvu yeyote ya kihisia na kiroho ikiweza kumpata mmoja wenu kutokana na sababu mbalimbali iwe kutakuwa na maamuzi sahihi.
Kusababishwa na mwigine inapata upenyo na mwanya wa kuweza kumpata mwenza wake maana ameacha njia ya upenyo na wao wanamkataba wa kuwa mwili mmoja.
Sex Huconnect Moto Uliopo kwenye Miili yetu ili kuchochea nafsi Kuiacha Roho itawale..
Ndo maana Kuna Ule Usemi wa peleka Moto au Kupata Joto au Kupeana Joto watu wengi hawajui maana Yake..
Mhubiri 4:9-11
"Afadhali kuwa wawili kuliko mmoja; Maana wapata ijara njema kwa kazi yao.
Kwa maana wakianguka, mmoja wao atamwinua mwenzake; lakini ole wake aliye peke yake aangukapo, wala hana mwingine wa kumwinua!
Tena, wawili wakilala pamoja, hapo watapata moto; lakini mmoja aliye peke yake tu awezaje kuona moto?"
Wale watu wa Sexual Alchemy watanielewa Zaidi hapo..
Kuna wakati badala ya kuhangaika na matatizo yanayo kufika hiwe ni mawazo yasiyoisha, mikosi n.k.
Anza kuhangaika kuondoa ties ulizo funga na wenza wako ni lazima kutakuwa kuna hole imetengenezwa na mmoja kati ya hao uliowahi shiriki nao, bila kuondoa hizo ties utakuwa kila siku unasolve na kutafuta njia za kuwa katika hali but vitu havikomi maana still vinapata njia ya kuja kwako, vunja tie hizo kwanza.
Sex haifanyiwi nje ya mwili hufanywa ndani ya mwili, katika kuthibitisha hili ukisoma, 1Wakorinto 6:18 inaonyesha kuwa sex hufanywa ndani ya mwili kwahiyo ina direct impact katika roho yako.
Kumbuka roho na mwili haviwezi tengana hadi kifo kikufike, kwahiyo connection ambayo umeziweka na uliesex nao huweza kuondoka pale mmoja wenu atakapofariki, Otherwise vunja ties na connection zenu.
Kuna watu hujikuta wanatamani kusex au kuingiliwa na wanaume wenzao, hata inafikia kiwango mtu kuota ana msodoma mwanaume mwenzie.
Ukiangalia wewe si Gay lakini ukicheza utajikuta unafanya kweli , Swali, Kwanini?
Kuna reason nyingi zinapeleka watu kutamani mapenzi ya jinsi moja ikiwemo roho za ajabu.
Sasa kama kuna vibinti ambacho umewahi kushiriki nae amaenza kufanya au kutamani hayo mambo ile roho inayompelekea kufanya hayo inapata na inatafuta upenyo kwako pia maana kupitia huyo kuna njiaa ya kuja kwako.
View attachment 3138658
View attachment 3138659
Na ww kwanini ukae muda mrefu jamani, sijapenda kwa kweliMimi nikikaa na nyege kwa muda mrefu kama miezi 8 naumwa na miguu, kiuno, tumbo, ila nikisex au piga puchu hiyo hali inaondoka hiyo ina maanisha nn!?
Sasa si chupa itajaa manii itakuwa inamwagika ovyo jamanNishafanya hivyo ika backfire saivi labda nijaribu kukaa miaka 2 no sex, no masturbation nione itakavyokuwa saivi sirudii kabisa nikumwa nangangana hivyo hivyo
Hisia Zinakuwa na Mkono wako 🤣🤣Ukipiga punyeto unakuwa na hisia na mikono na mafuta au sabuni??
Sijajua Maana Vipimo kama Hivyo Huwa Ni standard kwa Investigation na Intelligence bureau level au Intelligence Level so wanaoweza kuwa navyo ni TISS na Vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama na Vyombo vya Kichunguzikibongo bongo tuna huduma ya hicho kipimo ?
Kama kweli wanavyo ,sidhani kama wangemuua Mzee Kibao wa Chadema.Sijajua Maana Vipimo kama Hivyo Huwa Ni standard kwa Investigation na Intelligence bureau level au Intelligence Level so wanaoweza kuwa navyo ni TISS na Vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama na Vyombo vya Kichunguzi
Sijui mkuu, ila kwanini umemuwaza Gabrieli? Si ungemfikiria hata kiumbe cha kufikirika cha kike chenye umbile zuri? Hahaha, haya mambo haya. Ok.Na BAO LA USINGIZI unakua umefungua geti la nani Malaika Gabriel?
Alimpasha habari Mariam kwa alichukua huku akazipeleka huku, elewa conceptSijui mkuu, ila kwanini umemuwaza Gabrieli? Si ungemfikiria hata kiumbe cha kufikirika cha kike chenye umbile zuri? Hahaha, haya mambo haya. Ok.
Hilo ni pepo la Sumaku na ukiona mwanamke anakuchukia jua kinyume chake ukiona mwanamke anakupenda jua kinyume chake, elewa concept, nature & scope ya nilichosemaDoctor!!Vipi ile hali unaona mwanamke akili inakwambia huyu ipo siku utamto..mba tu.Inapita hata miaka unashangaa kuna kitu kinawaunganisha unamkula tu kimasihara.Hii ni nini?
Nitakuwa naenda kukamuliwa kabla hazijaanza kumwagika, ngoja niandae kikombeUnamsaidiaje sasa ?
Rafikimzuri 🤣🤣🤣