Sex is Gateway to your soul kuwa makini

Sex is Gateway to your soul kuwa makini

Point is, let's not fvck around like whores. Naamini pia sex inahusisha body, mind and soul. Connection yake ni kubwa, haivunjiki kirahisi, mabalaa na mikosi related to sex iko evident, japo pia kuna wenye positive impact ukikutana nao kimwili. I once met a girl, we did once, that week I got everything I wished. So, iko positive na negative pia.
 
Doctor!!Vipi ile hali unaona mwanamke akili inakwambia huyu ipo siku utamto..mba tu.Inapita hata miaka unashangaa kuna kitu kinawaunganisha unamkula tu kimasihara.Hii ni nini?
Mawazo ya mara kwa mara (Affirmations) huingia kwenye subconsious na Huweka Uthubutu wa Hicho kitu Kuna energy ambayo Huwa Inatengenezwa Nje ya mwili kwa ajili ya Kusupport hiyo affirm unayoitaja au kuiwaza mara kwa mara..

Na ndo maana Vitabu vya Dini zote Zinatuonya kuwa makini na Ulimi na Mawazo yetu..

Kwa mfano mimi nikiwaza Mara zote kila nikiamka kwamba Siwezi kitu bhasi ni kweli nitakuwa Siwezi..

Ila nikiwa naamka na kujipa Moyo napata nguvu za Kufanya kama zio kujaribu..

Affirmations Is the key
 
Point is, let's not fvck around like whores. Naamini pia sex inahusisha body, mind and soul. Connection yake ni kubwa, haivunjiki kirahisi, mabalaa na mikosi related to sex iko evident, japo pia kuna wenye positive impact ukikutana nao kimwili. I once met a girl, we did once, that week I got everything I wished. So, iko positive na negative pia.
Yeah uko sahihi kabisa
 
Kwamba tendo la ndoa (kwa wanandoa)/Zinaa (Kwa wasio wanandoa) huweza kuwa njia huweza kuwa njia au mlango wa kuifikia roho yako kwa namna hama nyingine.

Watu wawili wakiwa wanashiriki tendo hilo huwa si tena wawili wanakuwa wameungana na kuwa mwili mmoja kabisa, hii inawaunganisha kimwili, Kiakili/Kihisia na kiroho, hili jambo lina siri nzito sana.

Kwa wale wasoma biblia ukipita

Waefeso 5:31-32

"Kwa sababu hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye atashikamana na mke wake, na hao wawili watakuwa mwili mmoja. Siri hii takatifu ni kubwa. Sasa ninasema kwa habari ya Kristo na kutaniko."

Ukiwa na mtu ambaye mnakuwa actively mnashiriki nae sex jua fika mtashare mambo mengi katika ulimwengu wa hisia na kiroho pia hata kama mtakuwa hampo karibu kwa wakati huo.


Bani Isra'il / Al Isra aya ya 32

وَلَا تَقْرَبُوا۟ ٱلزِّنَىٰٓ ۖ إِنَّهُۥ كَانَ فَٰحِشَةًۭ وَسَآءَ سَبِيلًۭا

Wala taqraboo alzzina innahu kana fahishatan wasaa sabeelan

Wala msikaribie zinaa, Hakika huo ni uchafu Mkubwa sana na njia ya Upotovu..


Hii ni kwa sababu SEX ni ibada kamili kabisa, sex ni mkataba ambao miongoni mwa makubaliano ya huo mkataba ni kuwa connected.

Hii ndio maana inakuwia ngumu kumsahau na kumtoa akilini mtu ambaye mlikuwa nae active kwenye sex hata kama ilikuwa zamani na mna muda hamjaonana, bado ataendelea kuwa kwenye mind yako.

Nguvu yeyote ya kihisia na kiroho ikiweza kumpata mmoja wenu kutokana na sababu mbalimbali iwe kutakuwa na maamuzi sahihi.

Kusababishwa na mwigine inapata upenyo na mwanya wa kuweza kumpata mwenza wake maana ameacha njia ya upenyo na wao wanamkataba wa kuwa mwili mmoja.

Sex Huconnect Moto Uliopo kwenye Miili yetu ili kuchochea nafsi Kuiacha Roho itawale..

Ndo maana Kuna Ule Usemi wa peleka Moto au Kupata Joto au Kupeana Joto watu wengi hawajui maana Yake..

Mhubiri 4:9-11

"Afadhali kuwa wawili kuliko mmoja; Maana wapata ijara njema kwa kazi yao.
Kwa maana wakianguka, mmoja wao atamwinua mwenzake; lakini ole wake aliye peke yake aangukapo, wala hana mwingine wa kumwinua!

Tena, wawili wakilala pamoja, hapo watapata moto; lakini mmoja aliye peke yake tu awezaje kuona moto?"

Wale watu wa Sexual Alchemy watanielewa Zaidi hapo..

Kuna wakati badala ya kuhangaika na matatizo yanayo kufika hiwe ni mawazo yasiyoisha, mikosi n.k.

Anza kuhangaika kuondoa ties ulizo funga na wenza wako ni lazima kutakuwa kuna hole imetengenezwa na mmoja kati ya hao uliowahi shiriki nao, bila kuondoa hizo ties utakuwa kila siku unasolve na kutafuta njia za kuwa katika hali but vitu havikomi maana still vinapata njia ya kuja kwako, vunja tie hizo kwanza.

Sex haifanyiwi nje ya mwili hufanywa ndani ya mwili, katika kuthibitisha hili ukisoma, 1Wakorinto 6:18 inaonyesha kuwa sex hufanywa ndani ya mwili kwahiyo ina direct impact katika roho yako.

Kumbuka roho na mwili haviwezi tengana hadi kifo kikufike, kwahiyo connection ambayo umeziweka na uliesex nao huweza kuondoka pale mmoja wenu atakapofariki, Otherwise vunja ties na connection zenu.

Kuna watu hujikuta wanatamani kusex au kuingiliwa na wanaume wenzao, hata inafikia kiwango mtu kuota ana msodoma mwanaume mwenzie.

Ukiangalia wewe si Gay lakini ukicheza utajikuta unafanya kweli , Swali, Kwanini?

Kuna reason nyingi zinapeleka watu kutamani mapenzi ya jinsi moja ikiwemo roho za ajabu.

Sasa kama kuna vibinti ambacho umewahi kushiriki nae amaenza kufanya au kutamani hayo mambo ile roho inayompelekea kufanya hayo inapata na inatafuta upenyo kwako pia maana kupitia huyo kuna njiaa ya kuja kwako.

View attachment 3138658
View attachment 3138659
Kwa wale tunaomwaga wazungu nje hii inatuhusu nayo? Maana connection lazma mtoto wa kike ashike mimba hata kama ataitoa ila hapo mnakuwa tayari mshajiunganisha.

Bila hivyo swala la connections ni soga tu. Ili kuwe na soultie lazima kuwe na strong emotions baina yenu na mchanganye damu. Mtu kachomeka ili akojoe apunguze stress af akamwagia kwenye condom au nje we unaita kuna connection hapo?
 
Kwa wale tunaomwaga wazungu nje hii inatuhusu nayo? Maana connection lazma mtoto wa kike ashike mimba hata kama ataitoa ila hapo mnakuwa tayari mshajiunganisha.

Bila hivyo swala la connections ni soga tu. Ili kuwe na soultie lazima kuwe na strong emotions baina yenu na mchanganye damu. Mtu kachomeka ili akojoe apunguze stress af akamwagia kwenye condom au nje we unaita kuna connection hapo?
Mzee wangu connection ipo km unabisha jichukue video kisha ivujishe ndio utajua kulikuwa na connection au haikuwepo
 
Uzi mzuri na unaenda kasi sana,ngoja nitulie ntausoma vizuri,ila mtoa mada una hoja ya msingi,unapaswa kupigiwa makofi...
 
Kwa wale tunaomwaga wazungu nje hii inatuhusu nayo? Maana connection lazma mtoto wa kike ashike mimba hata kama ataitoa ila hapo mnakuwa tayari mshajiunganisha.

Bila hivyo swala la connections ni soga tu. Ili kuwe na soultie lazima kuwe na strong emotions baina yenu na mchanganye damu. Mtu kachomeka ili akojoe apunguze stress af akamwagia kwenye condom au nje we unaita kuna connection hapo?
Hili swala Niliwahi Kulizungumzia Hapo nyuma Kidogo..

Swala Hili lilo Proved scientifically japo Bado lipo kwenye Mijadala Ya Kisayansi ila Ilikuw proved na nitakuwekea Studies hapo Chini..

Kisayansi..

Unapofanya mapenz na mwanaume wewe mwanamke una Micro DNA information iliyojaa taarifa na karma na Mapito ya Huyo mwanaume..
Kitalaamu Transfer hii huitwa male microchimerism. (Ingawaje bado ipo Kwenye Discussion kama Nilivyosema)..

Japo Mpaka Sasa Inakubalika kwa asilimia chache kwamba Mkifanya mapenzi wote mnaachiana some sort of Micro Information ambazo ndo huitwa Microchimerism..

Kwa sasa Microchimerism au Kuhamisha DNA kwenda kwa mwingine inakuwa Regarded sana na imekubalika kwa research Nyingi sana na Haina Mjadala ni Pregnancy Microchimerism (Ambayo wewe Umeitaja)

Kwamba mwanamke akibeba mimba ya mwanaume bhasi baadhi ya DNA kutoka kwa Mwanaume Humwingia na Hazitoki Mpaka anapokufa ..

Baadhi ya Studies za kisayansi Zilizofanyika mpaka Sasa Ambazo zimeacha Discussion kuhusu Microchimerism ambazo hazijatokana na Mimba..Yaani Y chromo..

Tusome jamani Science inakuwa na Kuthibitisha Vingi ambavyo wengi bado tuna Update ya Zamani..
 
Kuna Kitu kidogo sana tumeshindwa Kuelewana Thats why kingereza Huwa ni chepesi kuelezea kuliko Kiswahili..

Niliposema Kuungana Sijamaanisha neno Combine..Ila nina maanisha Ku aligns..

Ili Kufuli liweze Kufunguka Ni lazima zile chuma Za Ndani ziweze Ku aligns in such a way that itafanana na Funguo husika isipofanana Na Ukailazimisha na Ikafungua Kuna lugha huwa wanatumia kuwa imeto....

Maana yake imeilazimisha lakini.mwisho wa siku Kumetokea Alignment ya chuma Za Ndani Na Gate limefunguka.. Haina maana kwamba imekuwa Combine ila imekuwa Aligns..

So.unaporuhusu akili Ifanye Alignments ya kufungua Gate la souls yaani Hisia Hapo ndo huwa Kosa linapoanza
Mimi ni wako pekeyako huku unakojolea shimo hapo ndipo shida zinapoanzia😂! Kuweka committment na viapo vya ajabu ajabu ndio shida zinapoanzia ila kama unapooza rim mimi siamini kama kuna connections zozote. Demu mwenyewe kaja kukupa tobo ili umpe hela ya saluni.🤣
 
Utakuwa Bora sana Kwenye Kila kitu hata Akili yako itakuwa inafanya kazi vizuri sana
Labda akili mnemba ila sio hii inayokaa kwenye ubongo wa binadamu. Utagombana sana na watu kwa vitu vya kijinga kumbe unasumbuliwa na nyegezi Mwanza😂
 
Mkuu hili kisayansi limekaaje ,kwa sababu kwa ulivyo elezea ni kiimani , bado haithibitishi kuwa ni sahihi , vipi kuhusu DNA za wanaume wengi zinaathiri vipi mwili wa mwanamke nikimaanisha sperms DNA?
 
Back
Top Bottom