USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Zaidi ya wananchi 60%+ wa Seychelles wamepata chanjo ya corona huku maambukizi yakizidi kuongezeka sana zaidi hata ya Tanzania ambako hakuna hata single dose ya chanjo.
CNN wanaripoti kuwa vita ya corona ndio kwanza imeenza nabkunikumbusha kuwa magufuli alikuwa binadamu wa aina yeke maana aliyaona hata na kusema tusubili wapuuzi wa kitaifa wakamcheka .
Kuongezeka kwa ugonjwa huu kunafikirisha sana wakati dunia ikimuaga jpm huku aliyoyasema yametamalaki na leo wazungu wanakubali kuwa corona inatakiwa kuishi nayo