Copy
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 1,055
- 1,341
Labda watakuwa walipata zile fekero mkuu.Seychelles asilimia kubwa ya watu wamepata dozi mbili za chanjo yani full dozi ndio maana hata wao wanashangaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda watakuwa walipata zile fekero mkuu.Seychelles asilimia kubwa ya watu wamepata dozi mbili za chanjo yani full dozi ndio maana hata wao wanashangaa.
Kwa hiyo madhara ya chanjo kwa Israel huyaoni!? Yaani kitendo cha kuua na kuporomosha mabomu kwenye majengo ya waphalestine ya kutumika kutengeza vifaa tiba ni kitendo cha binadamu aliyesawa kutokana na chanjo!?
We jamaa ni mbishi.
Zipi hizo?Labda watakuwa walipata zile fekero mkuu.
Kwanini ututishe na kirus cha India ina maana una maanisha kuwa Tz tuko salama hakuna corona ila hofu ni corona kutoka nje ya Tz? India tumeambiwa imekuwa hivyo ilivyo kwa sababu kuna muda walijiachia na wakawa wanakusanyana kama sisi na hayo ndio matokeo yake ila sisi toka mwaka jana tunakusanyana.Ngojeji kitu cha India double Mutant kinaondoa mpaka watoto na vijana wabishi
Sikuongopei fungua runinga angalia India daadeki
View attachment 1786319
Zipi hizo?
IQ zenu ni hafifu sana bado unaevolvKwanini ututishe na kirus cha India ina maana una maanisha kuwa Tz tuko salama hakuna corona ila hofu ni corona kutoka nje ya Tz? India tumeambiwa imekuwa hivyo ilivyo kwa sababu kuna muda walijiachia na wakawa wanakusanyana kama sisi na hayo ndio matokeo yake ila sisi toka mwaka jana tunakusanyana.
IQ yako ni hafifu inaakisi ukilaza wako wa hatariKwani kuna chanjo ya corona inayozuia mtu asipate maambukizi?
SawaIQ yako ni hafifu inaakisi ukilaza wako wa hatari
Post inatoka kwa genge moja linalolilia legacy.
Onesha basi ukubwa wa IQ maana hata mimi kumwambia mtu IQ hafifu naweza pia, sasa wewe dogo onesha kuwa huna IQ hafifu.IQ zenu ni hafifu sana bado unaevolv
Ficha ukilaza wako ili wazazi wako wasiaibikeOnesha basi ukubwa wa IQ maana hata mimi kumwambia mtu IQ hafifu naweza pia, sasa wewe dogo onesha kuwa huna IQ hafifu.
Et unajisifu na chanjo kwamba hauogopi mikusanyiko, tatizo lenu hampo Tz ndio maana mnaropoka tu hamuelewi kinachoendelea huku.
Wenzio wanaganda damu ila naona wewe umeganda ubongo.Ficha ukilaza wako ili wazazi wako wasiaibike
Kijana Pfizer ni mpango mzima rudi shuleWenzio wanaganda damu ila naona wewe umeganda ubongo.
Wewe ndio usidandie tu. Corona ambayo Sar2 mwaka 2002 wakati inauwa watu kulishafanyiwa research sababu virus wa corona sio kitu kipya ila huwa kinakuja kivingine. Mwaka 2002 haikufanyiwa test sababu ilikuwa inahitaji millions ili iende katika process kibiashara haikuwa sawa kuinvest ila data zilikuwepo. Baada ya 2019 corona kuleta balaa kilichofanyika kurudia katika research ila nani ata funds? serikali zote zikachangia mamilion ya dola ile wafanye speed chanjo walifanya mikutano nchi kubwa wakukubaliana kugharamikia project hii kwa masharti wao watakuwa wanafadika wa kwanza na gharama zitarudi. Sema njia waiyopitia ni ya emergency route haikupita zile process sababu mfano wako polio haikuwa pandemic huu ugonjwa ni pandemic ikawa ni emergency. Baada ya mkutano wakabadilishana info za ugonjwa wa corona mataifa makubwa ndio maana chanjo nyingi zikatoka almost wakati mmoja.Jomba..tunazungumzia chanjo ya corona iliyopatikana ndani ya kipindi kisichozid hata mwaka..unajua chanjo ya polio ilichukua muda gani kupatikana..hivi watanzia wa nini vichwani mwao?
Kwahiyo WHO waliyoidhisha na hizo zengine hawakwenda shule?Kijana Pfizer ni mpango mzima rudi shule
Kijana acha kuniquote na kunilisha maneno mimi nimeshauri Pfizer tokea mwanzoniKwahiyo WHO waliyoidhisha na hizo zengine hawakwenda shule?