Ugonjwa unaweza kupata na usisikie kitu chochote maisha kawaida ndio shida ya corona, tatizo kwa kuwa ugonjwa na pandemic usipo dhibitiwa hivi vidudu vinajigeuza sasa ujuwe vitakuja style gani hata India walikuwa wako ok tu ghafla tu. Dunia haiwezi kukubali wawe wavidhibiti halafu wajue Tanzania bado vipo vikija kivingine vitakuja na huku kwetu kuleta balaa ndio maana wanasema hatuwezi kuwa salama mpaka dunia yote iwe salama hili halina mjadala. kutokuumwa wewe haimfanyi mwingine kuwa salama.mbona sisi pia hatujadungwa chanjo yeyote tangu corona ianze na tupo kariakoo kwenye msongamano kila siku na tunakula maisha kama kawaida