lakini wamechanjwa.Nimeona CNN - hawajasema Seychelles ndiyo taifa linaloongoza kwa chanjo duniani. Hayo ni yako kama ya Simba na Yanga tu.
Magufuli alikuwa na Mungu.
Hizi chanjo hauchanjwi siku moja.lakini wamechanjwa.
Jomba..tunazungumzia chanjo ya corona iliyopatikana ndani ya kipindi kisichozid hata mwaka..unajua chanjo ya polio ilichukua muda gani kupatikana..hivi watanzia wa nini vichwani mwao?Chanjo zinafanya kazi,bila Chanjo Polio ingekuwa inawatia ulemavu Watu mpaka leo
Jomba..tunazungumzia chanjo ya corona iliyopatikana ndani ya kipindi kisichozid hata mwaka..unajua chanjo ya polio ilichukua muda gani kupatikana..hivi watanzia wa nini vichwani mwao?
point yake uyu jamaa ni kwamba izi chanjo tunapaswa kuwa nazo makini nazifanyiwe uchunguzi wa kutosha,tusifate tu mkumbo sababu wenzetu wanatumia chanjo bac na sisi tutumie HAPANA.na kinachoshangaza zaidi kwanini izo nchi zinazotumia chanjo ndo maambukizi yanazidi kuongezekaPoint yako ni nini ewe pimbi?
Seychelles asilimia kubwa ya watu wamepata dozi mbili za chanjo yani full dozi ndio maana hata wao wanashangaa.Hizi chanjo hauchanjwi siku moja.
Kuna ambazo unakaa wiki kadhaa halafu unachanjwa tena na ambazo unakaa miezi kadhaa ndipo uchanjwe tena. Nyingi unachanjwa mara tatu.
Na hautakuwa protected mpaka umalize chanjo.
Vigezo kama hivi unatakiwa kuviangalia kabla haujaanzisha ibada ya wafu.
Tengeneza yako au yenu sisi tunataka Pfizer kwenye Mabega yetuJomba..tunazungumzia chanjo ya corona iliyopatikana ndani ya kipindi kisichozid hata mwaka..unajua chanjo ya polio ilichukua muda gani kupatikana..hivi watanzia wa nini vichwani mwao?
Mgejiandikisha kabisa ijulikane idadi yenu ili ndio ziagizwe.Tengeneza yako au yenu sisi tunataka Pfizer kwenye Mabega yetu
mbona haujajibu hoja,unasema atengeneze yake au unataka pfizer, watu wataanza kukuzania vibaya nakuhisi labda wewe ni dalali uliyetumwa kuipromote iyo dawa kwa watanzaniaTengeneza yako au yenu sisi tunataka Pfizer kwenye Mabega yetu
Sisi ngozi nyeusi kwa kujufanya tunajua wakati ndio Laughing Stock wa Dunia
Mimi nimeshadungwa Pfizer tokea Mwezi wa pili na niko kwenye misongamano bila barakoa nakula Maisha tu.Mgejiandikisha kabisa ijulikane idadi yenu ili ndio ziagizwe.
I dont give a shaitmbona haujajibu hoja,unasema atengeneze yake au unataka pfizer, watu wataanza kukuzania vibaya nakuhisi labda wewe ni dalali uliyetumwa kuipromote iyo dawa kwa watanzania
Kuwa kwenye misongamano mbona sio jambo la kushangaza huku bongo au mkuu haupo Tanzania ndio maana haujui kinachoendelea huku? Ndio maana nikasema wenye kutaka hizo chanjo wajiandikishe ili waletewe chanjo za kiasi chao.Mimi nimeshadungwa Pfizer tokea Mwezi wa pili na niko kwenye misongamano bila barakoa nakula Maisha tu.
View attachment 1786295
mbona sisi pia hatujadungwa chanjo yeyote tangu corona ianze na tupo kariakoo kwenye msongamano kila siku na tunakula maisha kama kawaidaMimi nimeshadungwa Pfizer tokea Mwezi wa pili na niko kwenye misongamano bila barakoa nakula Maisha tu.
View attachment 1786295