#COVID19 Seychelles: Taifa linaloongoza dunia kwa chanjo ya corona na kuzidi kupata maambukizi

mbona sisi pia hatujadungwa chanjo yeyote tangu corona ianze na tupo kariakoo kwenye msongamano kila siku na tunakula maisha kama kawaida
Ugonjwa unaweza kupata na usisikie kitu chochote maisha kawaida ndio shida ya corona, tatizo kwa kuwa ugonjwa na pandemic usipo dhibitiwa hivi vidudu vinajigeuza sasa ujuwe vitakuja style gani hata India walikuwa wako ok tu ghafla tu. Dunia haiwezi kukubali wawe wavidhibiti halafu wajue Tanzania bado vipo vikija kivingine vitakuja na huku kwetu kuleta balaa ndio maana wanasema hatuwezi kuwa salama mpaka dunia yote iwe salama hili halina mjadala. kutokuumwa wewe haimfanyi mwingine kuwa salama.
 
Kijana acha kuniquote na kunilisha maneno mimi nimeshauri Pfizer tokea mwanzoni
Kwanini ushauri hizo pfizer tu kwani zinatofauti gani na chanjo ya Astrazeneca ambazo zimeidhinishwa pia na WHO?
 
Ndio tokea mwaka jana hivyo virusi havijajibadili tu na kuja kwa style nyengine? India wamejiachia muda mchache tu tunaona hayo tunayoyaona.
 
Wewe ni mgumu kuelewa unaweza kuwa ni kijana mdogo usiyekuwa na marazi sugu ila nimekuambia kuna Double Mutant inawamaliza Wahindi itaingia tu Tanzania India pia walikuwa wabishi tu ila sasa wanalia Bahati huwa haiji mara mbili
Asilimia kubwa ya wahindi wamedungwa na bado wanakufa
 
uyo jamaa hana mpya yani inaonekana anaombea kabisa iyo double mutant ije Tanzania ili watanzania wakomoke,dah duniani kuna watu waajabu sana
Hahah namfwatilia toka mwanzo jamaa kumbe ye hayupo tz... Anataka atupandikize uwoga wake
 
Kwahiyo hizo chanjo zengine zina shida ya kugandisha damu? je WHO wanalizungumziaje hili?
I dont give a shit kuhusu chanjo zingine nilichokuwa nikisema Mama Samia atuagizie Chanjo ya Pfizer
 
I dont give a shit kuhusu chanjo zingine nilichokuwa nikisema Mama Samia atuagizie Chanjo ya Pfizer
We dogo yani Mama akusikilize wewe kama nani badala ya kuwasikiliza wataalamu huko? et kwa sababu umedungwa pfizer ndio na wewe unapendekeza pfizer, mwanzo mlitaka chanjo ila naona sasa mshaanza kujigawa kwa aina za chanjo Mbowe anapigia debe Astrazeneca na anasema ameshachanjwa na wewe unapigia debe pfizer.
 
Wewe kama ni kilaza ni kilaza tu, mimi nimeitwa Nairobi nimeenda kudungwa na Rafiki zangu
Mama pia alishadungwa hukohuko Nairobi
Sasa wewe kaa na ukilaza wako na fitina zako
 
Ndio tokea mwaka jana hivyo virusi havijajibadili tu na kuja kwa style nyengine? India wamejiachia muda mchache tu tunaona hayo tunayoyaona.
Nadhani hakuna haja ya kubishana haya mambo sote tunajuwa SA, Brazil na sasa India kitu gani kinaendelea haya mambo ya kuchoma au kutokuchoma chanjo ibaki kila mtu kujiamulia mwenyewe ila asitokee mtu akajifanya anaongelea watu wote. Chanjo ziletwe halafu kila mtu atajipima mwenyewe mahitaji yake na faida zake. Taifa kama litakuja na sera kusema tuchome au tusichome. WHO na dunia wanataka kila nchi wachome ukichukuwa dunia nzima nchi ngapi wanachoma na ngapi hawachomi basi tumebaki sisi, Burundi na siju Burkina faso hapo ndio utajuwa tuko na kina nani.
 
Mkuu hawajapokea hongo yoyote, hayo ni majuha tu yanayo jifanya majuaji iliyaonekane humu kama yana akili kumbe majinga kwa kiwango chao.

Nasio kama hayajui ukweli yanajua sanatu ila yanajitoa ufahamu kwa kutaka kusifiwa na majinga menzao. Usiumizekichwa chako kuyaelewesha haya majitu kuhusu korona na hiyo chanjo.

Ugonjwa unapigwa promo iliwatu wapige pesa nothing els.
 
Nilipoona tu neno kibiashara haikuwa sawa nikaacha kusoma..itoshe tu kusema..mkulungwaa wewe kama unataka chanjoo mlango uko wazi..nenda kadungweee na kizazo chako
 
Nilipoona tu neno kibiashara haikuwa sawa nikaacha kusoma..itoshe tu kusema..mkulungwaa wewe kama unataka chanjoo mlango uko wazi..nenda kadungweee na kizazo chako
Hata wewe hujalazimishwa kwa hiyo acha kujifanya unaongelea watu na mangapi mliyapinga leo hii na mask mnavaa na chanjo mnaongelea kwa hiyo ni muda tu utachomwa tu utake usitake yanakuja hayo wala mapovu hatakusaidia sasa ulidhani chanjo wanatoa kama sadaka ya kanisani kuna watu wametoa pesa zao ku develop hizo chanjo.
 
Ficha ukilaza wako ili wazazi wako wasiaibike
Kichwa box sana we jamaa, mlipigia debe lock down serikali ikasema hatufanyi huoujinga.
Wengine wakakurupuka wakajifanya kusikiliza mabeberu mbaka kuuwa raiya wao kwa kuwalazimisha kijifungia ndani baada ya mwezi tu wakaachana na lock down na maisha yanaendelea kama sisi.

Sasaivi mnasema chanjo ndio mpangomzima wakati wenye chanjo yao kilasiku idadi ya wagonjwa na vifo vinaingezeka.

Unashindwa kuelewa huu mchezo haraka sababu ubongo wako mzito kama wa kinyoga.
 
JF imekuwa na watu sa ajabu sana..itabid tuanze kuwaondoa automatically humu ndani kwenye baadhi ya mada..watu kama nyie tutakuwa tunawapa ruhusa kuchangia kwenye nyuzi kama zile za kula tunda kimasihara.
You don't fit here bro.
 
JF imekuwa na watu sa ajabu sana..itabid tuanze kuwaondoa automatically humu ndani kwenye baadhi ya mada..watu kama nyie tutakuwa tunawapa ruhusa kuchangia kwenye nyuzi kama zile za kula tunda kimasihara.
You don't fit here bro.
Number hazidanganyi angalia reaction score na trophy zangu na zako ndio utajuwa level zetu kama sawa. Huwezi kunikuta mimi mambo ya kijinga huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…