Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
-
- #501
Mombasa na around stations tu huko the rest ni single line! FYI Morogoro-Dar alone has over 100km of double track.Tuta pana likiwa na nafasi ya reli tano, Kenya View attachment 803499
Angalia ulivyomshamba hii SGR si mchina made! Hilo ni tuta pana likiwa na nafasi ya reli mbili!
In short hakuna picha za reli.
Ata centimita moja ya reli hakuna.
Hii ni sgr ama ni lami inajengwa, wajameni?SGR progress
lazma ushangae hii ni fasttrain 180 km/h na si 80km/h! tulia uone technology being perfected! hamna ulipuaji hapoHii ni sgr ama ni lami inajengwa, wajameni?
''Unakuja hapa unatuambia SGR HAMUAMBII WATANZANIA UKWELI, mapato yenu kwa mwaka mmekusanya maximumly mepata trilioni 14 mishahara trillioni 7, deni trillioni 9, nakishi trillioni 2(deficit) hizo pesa za SGR ambazo mnasema ni za ndani ziko wapi kwenye hizi trillioni 14? Na muwambie watu ukweli. Hivi SGR mmejenga wapi hata mita moja, tuonyeshe! Mnaenda mnaweka vizimba mnazindua, wale wakandarasi mmeshindwa hata kuwalipa petroli wameondoka. Wambie Watanzania ukweli. Unakaa hapa kutudanganya hapa eti tunamsifia Raisi kwa kujenga ukuta wa mererani, hivi pale watu wanaiba kwa mikataba au wanaiba kwa kupora Tanzanite na kuondoka nayo?lazma ushangae hii ni fasttrain 180 km/h na si 80km/h! tulia uone technology being perfected! hamna ulipuaji hapo
kama huu
umekosa mshiko majibizano ya Wabunge ndo unaleta humu?''Unakuja hapa unatuambia SGR HAMUAMBII WATANZANIA UKWELI, mapato yenu kwa mwaka mmekusanya maximumly mepata trilioni 14 mishahara trillioni 7, deni trillioni 9, nakishi trillioni 2(deficit) hizo pesa za SGR ambazo mnasema ni za ndani ziko wapi kwenye hizi trillioni 14? Na muwambie watu ukweli. Hivi SGR mmejenga wapi hata mita moja, tuonyeshe! Mnaenda mnaweka vizimba mnazindua, wale wakandarasi mmeshindwa hata kuwalipa petroli wameondoka. Wambie Watanzania ukweli. Unakaa hapa kutudanganya hapa eti tunamsifia Raisi kwa kujenga ukuta wa mererani, hivi pale watu wanaiba kwa mikataba au wanaiba kwa kupora Tanzanite na kuondoka nayo?
Wale wale watu ambao tuliwalalamikia wale wale walilalamikiwa na wachimbaji wadogo wa Mererani mmewarudisha mre mre ndani ya ukuta. Yani ni jambo la ajabu...yani wamewapa nini? mtuambie Mweshimiwa mpango! mtuambie kwamba mnawadanganya watanzania.
Leo unakuja hapa unatuambia upandishe bei ya bidhaa. Sisi kwa mfano tunaishi mipakani, tuna advantage ya kuishi mipakani. Leo sukari kutoka kenya shillingi 1200 Tanzania pare Sirari, Sukari yenu kutoka Kagera sugar(2200) shilingi elfu mbili na mia mbili. Unataka mtu wa Tarime aumie kwa expense yako?
Mfuko wa sementi wa bamburi shs 14,000, mfuko wa simenti wa twiga shs 22,000 hamtaki mtanzania wa Tarime anunue mfuko Kenya. Kama mnataka viwanda vyenu vishindane vilete simenti kwa bei competitive na ya Kenya watanzania wenyewe wachague wataunua wapi''.
Peleka PR huko kwa wadanganyika tunajua vyuma vilikaza kitamba
Wabunge ndio sauti ya waTZ. Wanachosema ndio mtu yeyote asie mTZ atakubali Kuwa ukweli!umekosa mshiko majibizano ya Wabunge ndo unaleta humu?
Kwani wabunge sio watanzania na tena jambo wanaloangazia ni la kweli kabisa. Onyesha jambo la uongo hapa chini;umekosa mshiko majibizano ya Wabunge ndo unaleta humu?
Wabunge ndio sauti ya waTZ. Wanachosema ndio mtu yeyote asie mTZ atakubali Kuwa ukweli!
Tanzania mko chini!!!
Hii ndio SGR mpya mbona mapema sana inabomoka namna hii, hawana wasimamizi wa kuangalia quality wakati wa ujenzi au ndio wa-China kila kitu?lazma ushangae hii ni fasttrain 180 km/h na si 80km/h! tulia uone technology being perfected! hamna ulipuaji hapo
kama huu
Hiyo ni sub-ballast layer, hayo maeneo yana udongo laini sana ndio maana wanaweka material heavy kama lami, baada ya hapo juu yake watapiga ballast layer ya kokoto ulizozoea kuziona...Hii ni sgr ama ni lami inajengwa, wajameni?
Nikama unapigia mbuzi gitaa achana na hawa wapumbavu! Mchina kalipua kazi kwao! Tuta linasombwa na mafuriko.Hiyo ni sub-ballast layer, hayo maeneo yana udongo laini sana ndio maana wanaweka material heavy kama lami, baada ya hapo juu yake watapiga ballast layer ya kokoto ulizozoea kuziona...
Tatizo la m-China kwenye mradi wao hata quality assurance monitoring anafanya yeye mwenyewe...🙂Nikama unapigia mbuzi gitaa achana na hawa wapumbavu! Mchina kalipua kazi kwao! Tuta linasombwa na mafuriko.
sisi consultant KOICA designer COWI.Tatizo la m-China kwenye mradi wao hata quality assurance monitoring anafanya yeye mwenyewe...🙂
Sasa nyinyi mnaongea kuhusu mradi wa kilomita mia moja hamsini pekee. Hio ni sawa na kilomita za Kenya sgr phase 2A. Phase 1 pekee ni zaidi ya kilomita mia tano.sisi consultant KOICA