''Unakuja hapa unatuambia SGR HAMUAMBII WATANZANIA UKWELI, mapato yenu kwa mwaka mmekusanya maximumly mepata trilioni 14 mishahara trillioni 7, deni trillioni 9, nakishi trillioni 2(deficit) hizo pesa za SGR ambazo mnasema ni za ndani ziko wapi kwenye hizi trillioni 14? Na muwambie watu ukweli. Hivi SGR mmejenga wapi hata mita moja, tuonyeshe! Mnaenda mnaweka vizimba mnazindua, wale wakandarasi mmeshindwa hata kuwalipa petroli wameondoka. Wambie Watanzania ukweli. Unakaa hapa kutudanganya hapa eti tunamsifia Raisi kwa kujenga ukuta wa mererani, hivi pale watu wanaiba kwa mikataba au wanaiba kwa kupora Tanzanite na kuondoka nayo?
Wale wale watu ambao tuliwalalamikia wale wale walilalamikiwa na wachimbaji wadogo wa Mererani mmewarudisha mre mre ndani ya ukuta. Yani ni jambo la ajabu...yani wamewapa nini? mtuambie Mweshimiwa mpango! mtuambie kwamba mnawadanganya watanzania.
Leo unakuja hapa unatuambia upandishe bei ya bidhaa. Sisi kwa mfano tunaishi mipakani, tuna advantage ya kuishi mipakani. Leo sukari kutoka kenya shillingi 1200 Tanzania pare Sirari, Sukari yenu kutoka Kagera sugar(2200) shilingi elfu mbili na mia mbili. Unataka mtu wa Tarime aumie kwa expense yako?
Mfuko wa sementi wa bamburi shs 14,000, mfuko wa simenti wa twiga shs 22,000 hamtaki mtanzania wa Tarime anunue mfuko Kenya. Kama mnataka viwanda vyenu vishindane vilete simenti kwa bei competitive na ya Kenya watanzania wenyewe wachague wataunua wapi''.
Peleka PR huko kwa wadanganyika tunajua vyuma vilikaza kitamba