SGR Construction in Tanzania - UPDATES

Ripoti yenyewe ndo hii hapa jisomeeni wenyewe sije mkadai nimeongeza yangu... hii ni ripoti ilitengenezwa na wataalam ikiwemo consulting engineering firm kutoka ujerumani kwahivyo msitubuthu hata kujifanya nyinyi ni experts kuwaliko...

Ripoti yenyewe inapatikana kwa tovuti rasmi ya wizara ya uchukuzi Uganda na pia tovuti rasmi ya sgr project Uganda SGR_comparison_of_Kenya_Tanzania_Ethiopia_Uganda.pdf | SGR - Uganda
 

Attachments

Ukiangalia hapo kwa hio ripoti kuna mahali wanasema kwanini wako more intrested kujenga reli ya kuungana na Kenya... Bidhaa/Biashara kati ya Kenya na Uganda ni zaidi ya $1B! hii ni biashara ya ndani kwa ndani bila imports za kutoka nje ya nchi hizi mbili... hakuna nchi mbili zengine hapa East and central Africa zina biashara kubwa ya wenyewe kwa wenyewe zaidi ya hio ! hio tayari ni sababu tosha nchi hizi mbili zinafaa kuunganishwa zaidi..
 
Pipeline mliongea hivihivi!!
 

thanks report ipo very clear kwa kweli, na hata kuhusu mfumo tunaotumia wa design and build una risks nyingi kuliko turnkey wanayotarajia kutumia Uganda
ila hii ya uzito wa mzigo kwamba SGR ya Tanzania itabeba tani milioni 18 mbona tunaambiwa ya Tanzania pia itakuwa na uwezo wa tani milini 35 kwa mwaka? Ukweli ni upi hapa, wataalamu twambieni bila ushabiki kabisa.
 
Kenya sgr we don't even know if the drainage was designed or you just put 2m because it is done in china.

Can you tell us Who was the civil designer for kenya sgr?
Another one of those rumours bieng spread , started by non other than Geza. inadition to the high embankment, Kenya SGR does have a drainage system from mombasa all the way to Nairobi!

get your glases and look closely


 
hiyo ya 35m tonnes sijawahi sikia, ninayujua ni 25m tonnes....

reli zote mbili ziko na minimum na maximum. huwa hii design capacity inapigiwa formula flani ndefu ambayo inachanganya mambo kama axle load, traction force, capacity ya treni, alafu pia operating mode.... haya yote yanatumika kupiga hesabu za short term, medium term na long term needs za mizigo.... ukishapiga hayo mahesabu ndo unajua unahitaji treni ya aiana gani na ya speed gani.... Kwahivyo kwa mfano ukiona imeandikwa design capacity 18m - 25m tonnes, hii inamaanisha kuanzia short term hadi medium term, unaweza ukatumia treni ulizonazo kufikia hio 18m tonnes lakini huko mbeleni mizigo ikiwa mingi unaweza kugeuza mawili matatu + ukaongeza treni na mabehewa hadi ukafika upeer limit ya 25m tonnes p.a... lakini itawachukua mda mrefu sana kufikia hio upper limit manake wakipiga hesabu hua wameshapiga hesabu za miaka zaidi ya 30+ ijayo.


hiyo ni Design capacity ambayo ni uwezo wa reli yenyewe....
halafu sasa kuna Carrying capacity/ operating capacity ambayo ni uwezo wa treni zenyewe, yani umenunua treni ngapi kwasasa na ukichanganya zote zina uwezo wa kubeba tani ngapi kwa mwaka.... hio nayo ina mahesabu yake


Onyo: mi si mtaalam, niliyoyasema ni kulingana na ueleo wangu baada ya kusoma ripoti kadhaa za mambo ya ujenzi wa reli..kwahivyo usichukulie nilichosema kama ukweli mtupu.. hapa tunajaribu kuelimishana
 
Good. Afadhali wewe Mkenya uliyesoma unawafunza hawa mbumbumbu jinsi ya kufikiria. Hawa watu Watanzania ni mazuzu kabisa
 
Look at how buildings are falling down in nairobi and killing people.

Have you thought of migrating from British standards to chinese standards to stop you slums from collapsing?

Kenya sgr is fake and costly and you will use all manner of words and hired imbecile to sanitise it. But it still stink like hyena corpse.
 
ok thanks Kafrican, it is informative though lets wait for other chaps
 
Nani kama Sgr ya Kenya ni mbaya bado ni yetu na tunaipenda. Wewe shughulika na Sgr yenu
 
WaTZ hii reli yenu si iishe hata mimi nijibarizi nalo😀😀
 

if u r smart enough u could tell this below



is a shoddy work! look at that red soil beside the rail track is already been eroded! Tofauti ya Mturuki na Mchina. Mturuki anajenga mifereji, culverts na madaraja kwanza, halafu tuta na communication n power cables halafu tuta then railsleepers n at last overhead electrical cables wakati Mchina anajenga reli halafu mifereji na madaraja mwisho. Halafu wajinga humu ndani wanasifu Kwa picha.
 
SGR Tanzania


SGR KENYA
 

Attachments

  • upload_2018-7-24_14-27-23.jpeg
    8.3 KB · Views: 39
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…