SGR Construction in Tanzania - UPDATES

SGR Construction in Tanzania - UPDATES

SGR Tanzania
61f74e66c46a54e95caa1c4924393318.jpg

SGR KENYA
Train.jpg
Upuuzi wa wakenya sgr ipo kenya halafu mkaona haitoshi bora mchore na national symbol
 
Mkuu,
Mbona sioni hio 6 m ya tuta hapo?
Si 6 meters bali ni 2 meters above ground mbona unachanganyikiwa mkuu... unataka iwe ndefu zaidi ya lory!!! in comparizon ya tz itakua 0.6meters.

Hatahivyo maeneo mengine ambayo tayari yameinuka hayafati hio standard kama tayari imewabidi wagawanye mlima katikati... angalia vizuri...ukiona kando kando kuko juu kuliko SGR inamaanisha hilo eneo lilikua mlima kabla wapasue katikati... maeneo ambayo yako flat ndo reli inainuliwa 2 meters above ground..
 
if u r smart enough u could tell this below

labourers-work-on-the-construction-of-a-section-of-the-new-standard-picture-id516171104-jpeg.816626

is a shoddy work! look at that red soil beside the rail track is already been eroded! Tofauti ya Mturuki na Mchina. Mturuki anajenga mifereji, culverts na madaraja kwanza, halafu tuta na communication n power cables halafu tuta then railsleepers n at last overhead electrical cables wakati Mchina anajenga reli halafu mifereji na madaraja mwisho. Halafu wajinga humu ndani wanasifu Kwa picha.
mchina aliweka temporary rail ndo akaitumia kusafirisha kokoto , t-beams na reli yenyewe. ... ndo maana aliweza kumaliza haraka... Juzi niliona lili daraja lenu la kwanza lilipelekwa pale na lory alafu likawekwa juu na crane ..ha! Mchina alikua anaweka temporary rail alafu hilo daraja linapelekwa hapo na treni, baadaye wakimaliza ndo wanaweka permanent rail... . Method hii inamaanisha hilo tuta linawekwa slop protection baadaye ... hio ambayo unaita erosion, mtu mwengine anaita, 'letting sand particle settle and interlock' by the time unaweka slop protection reli ishapitia pale mara kadhaa na kufinyilia tuta... ukifanya kama vile mturuki anafanya iamaanisha by the time reli inapita juu ya tuta itakua mchanga ndani ya tuta bado haujatulia vizuri, ile slop protection itaanza ku expand na kubomoa mifereji....

ntakuonyesha na picha baadaye vile reli ya kenya ilikua inajengwa...
 
Kenya is using 6m soil as excuse for high cost of inferior products.

Too bad
 
Wewe jamaa muhongo sijawahi hona. Tuonyesheni hiyo temporary rail ya mchana.
 
mbona matusi tena, so far kila kitu nimesema nimeweza kuonyesha proof za ki picha... what makes you think this is any different. .. unatafuta kuajiabisha tu ...Tanzania kila kitu mnachosema ni theory bado.... picha zitakuja tulia tu, naona mnajaribu kila mbinu kukosoa reli ya Kenya ambayo iko superior to reli ya Tz...Hio ni fact
 
Picha gani ya temporary rail?? Haya mambo unayoandika sisi huwa tunasoma nakuona umeandika utumbo. Onyesha hiyo temporary rail. Huwa unaandika utumbo mwanzo mwisho. Unataka kutwambia compaction ya tuta inafanywa na train?? Wewe jamaa naomba uludi shule.
 
Natumaini kuna tusi gani hapo?? Kukosolewa ni tusi??😀😀
 
Mkuu,
Mbona sioni hio 6 m ya tuta hapo?
Na hiki kimtaro cha kupitisha maji taka ndio wameweka kudhibiti maji yasidhuru tuta? mchina si mtu mwema hata kidogo naona anazidi kuwafanya vibaya majirani zetu.
 
Picha gani ya temporary rail?? Haya mambo unayoandika sisi huwa tunasoma nakuona umeandika utumbo. Onyesha hiyo temporary rail. Huwa unaandika utumbo mwanzo mwisho. Unataka kutwambia compaction ya tuta inafanywa na train?? Wewe jamaa naomba uludi shule.
Soma vizuri na uelewe, si kupitapita tu hata mwishowe haujui unafanya nini.... compaction inafanywa na mitambo, lakini uzito wa reli kupitia pale mara kadhaa ndo inahakikisha/thibitisha kwamba compaction ina hold...

Anyway picha za temporary rail zinakuja in my next post....
 
Reli kama hizi ndo walitumia kusafirisha T-beams, Rail sleepers, ballast/kokoto hadi pale reli ilikua Inajengwa, kuna kwengine walilaza reli kwa mchanga na treni zikapita, kuna kwengine hata hizo reli hazikua zimeunganishwa na sleepers, walieka reli moja huku na nyengine huku na wakapitisha treni tena juu ya tuta!
CduyDZqWoAAhebH.jpeg
Cdua57_WIAAF5Ve.jpeg
 
Angalia hapa, hata hio reli haikuwekwa juu ya concrete sleppers. Walichukua vyuma vya meter guage rail na kuviweka upana wa standard guage juu ya tuta la SGR ambalo hata lilikua halijak amilika kwengine chini kwengine juu na wakapitisha treni hapo juun wakisafirisha mitambo na kokoto

locomotive-hauling-cargo-cars-runs-along-an-elevated-section-of-the-picture-id516172606.jpeg
labourers-work-on-the-construction-of-a-section-of-the-new-standard-picture-id516170544.jpeg
 
Angalia hapa, hata hio reli haikuwekwa juu ya concrete sleppers. Walichukua vyuma vya meter guage rail na kuviweka upana wa standard guage juu ya tuta la SGR ambalo hata lilikua halijak amilika kwengine chini kwengine juu na wakapitisha treni hapo juun wakisafirisha mitambo na kokoto

View attachment 818339 View attachment 818340
Contractor amepewa Time line, How he handles his logistics is his problem, some may want to construct a temporary rail to increase their costs and some look at the cheapest and fastest way to haul materials to site. Haja ni timeline
 
Sasa mbona hao wenzako wana act ni kama ni kitu cha miujizza. Mchina aliamua kuweka matuta kwanza ili aweze kulaza reli na kusafirisha matrials zote kutoka kwa kiwanda hadi pale reli iikua imefika... Hao wenzako wakiona mchina ametofautiana na mturuki kwa mbinu za ujenzi wanaruka juu.

I can comfotaby say 70-80% of the materials used to build the sgr were transported by the sgr itself

6R72Fjk.jpg

516342422.jpg

Some of the temporary rail was even assembled on the field
rail5.jpg
tumblr_nr9f6sbqtK1shd9g9o2_1280.jpg
uUPiGmu.jpg
3CS6edX.jpg
B-WWtScIIAAEOVI.jpeg
Df9OLuyW0AAHeJ7.jpg
 
Sasa mbona hao wenzako wana act ni kama ni kitu cha miujizza. Mchina aliamua kuweka matuta kwanza ili aweze kulaza reli na kusafirisha matrials zote kutoka kwa kiwanda hadi pale reli iikua imefika... Hao wenzako wakiona mchina ametofautiana na mturuki kwa mbinu za ujenzi wanaruka juu.

I can comfotaby say 70-80% of the materials used to build the sgr were transported by the sgr itself

View attachment 818347

View attachment 818349

Some of the temporary rail was even assembled on the field
View attachment 818352 View attachment 818353 View attachment 818354 View attachment 818355 View attachment 818356 View attachment 818357
Tatizo lako ni ushamba nothing special here it will be a surprise a constructor to use any means of transport to transport sleepers whire construction progresses as in the same direction as flow of materials. I am pretty sure only things like quarries can come different i.e. with trucks before being transffered to wagons depending on the location of material source as usually r a bit further from the construction sites. Wacha ujinga!

What we highlighted is that particular rail that drainage was being done n the specified chinese parameters were no where to be seen. Don't tell me ati a temporary railway.
 
Back
Top Bottom