Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Enyewe kazi ya mchina ni better...hiii ni too local plus very cheap!!!
Hili povu mh!!! Limezidi kiwango. Wakenya punguzeni wivu wa kijinga.Enyewe kazi ya mchina ni better...hiii ni too local plus very cheap!!!
so how do u want that long bridge wheeler machine to be mounted?Enyewe kazi ya mchina ni better...hiii ni too local plus very cheap!!!
so how do u want that long bridge wheeler machine to be mounted?
so how do u want that long bridge wheeler machine to be mounted?
Wewe wacha. Advertisements are ways of making cash by the county government. Anyone can put up any advert long as you pay. We've got Chinese working and living in NBO. What's wrong with such an ad?Never seen such ujuakali in my whole life! Nairobi is China town now! They came n conquered.
Hakuna povu hapo mbona hutaki kuskia ukweli? Hata mimi naona hawa watu wako juakali sana,mbona ndio wamemaliza pila moja tangu miezi almost tatu sasa(walianza kabla jamii forum ifungwe kwa muda) na wakati huo huo ndio mchina aliaza kazi NNP lakini ukiangalia hizi picha ni tofauti kama usiku na mchana.....mchina hashindi akiambia watu anafanya kazi usiku na mchana bt matokeo unaionaHili povu mh!!! Limezidi kiwango. Wakenya punguzeni wivu wa kijinga.
Mchina anatumia beam 2 sisi tuna tumia beam 4. What a big difference. Pia sisi bado kwa juu tunamwaga zege itapo pita trainHakuna povu hapo mbona hutaki kuskia ukweli? Hata mimi naona hawa watu wako juakali sana,mbona ndio wamemaliza pila moja tangu miezi almost tatu sasa(walianza kabla jamii forum ifungwe kwa muda) na wakati huo huo ndio mchina aliaza kazi NNP lakini ukiangalia hizi picha ni tofauti kama usiku na mchana.....mchina hashindi akiambia watu anafanya kazi usiku na mchana bt matokeo unaionaView attachment 821653wacheni usanii ati mnafanya kazi usiku na mchana pR tupuView attachment 821645View attachment 821646View attachment 821647View attachment 821648View attachment 821649View attachment 821652View attachment 821653View attachment 821647View attachment 821645
Izo pillar zenu ni weak kwa muonekano....ndio maana mnajenga na less cash,kila kitu ni poorly done.Mchina anatumia beam 2 sisi tuna tumia beam 4. What a big difference. Pia sisi bado kwa juu tunamwaga zege itapo pita train
Lakini kiukweli sgr ya bongo ujenzi unaenda taratibu sana ata kama ni kwa viwango. Lakini kasi yao ni ndogo sana.
Mapunguani wako wengi mzee hata wasiojua ratiba huwa ni wajuaji.Unaijua ratiba ya ujenzi wa huu mradi ama?
unalielewa?Wewe wacha. Advertisements are ways of making cash by the county government. Anyone can put up any advert long as you pay. We've got Chinese working and living in NBO. What's wrong with such an ad?
Grow up
Weak n supporting 4 beams? How many beams are kenya SGR pillars supporting?Izo pillar zenu ni weak kwa muonekano....ndio maana mnajenga na less cash,kila kitu ni poorly done.
Asilimia 4 na si 5 na walitoa sababu mvua kubwa zikizopita na wamesema they will put efforts to be in track. FYI they are already at 20%Mkuu baba kilam lakini ata masanja mwenyewe amekili wapo nyuma kwa asilimia 5. Licha ya changamoto ya mvua lakini walibidi wawe angalau asilimia mbele sio nyuma. Yaani mkuu ata nguzo kusimika bado hawajamaliza zote. Ila yote kwa yote waongeze tu kasi maana kazi zao ni nzuri. Na huyo Waziri mpya wa wizara mbona yupo kimya sio kama mzenji alivyokua anachakalika hadi usiku