Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
so how do u want that long bridge wheeler machine to be mounted?
DUUU hiyo ni hatari!! Vp ukitokea upepo mkali!!??Madaraja ya SGR kenya train ikipita huwa yanayumba yumba
Yah.. Nmewah pita hapo
Enyewe kazi ya mchina ni better...hiii ni too local plus very cheap!!!
Ndiyo maana nguzo zao zilipeperushwa na upepo......Weak n supporting 4 beams? How many beams are kenya SGR pillars supporting?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kama nondo zenyewe mnazotumia ni hizo t tutegemee mengi kweli yajayo yanafurahishaMtu mwenye ako na akili timamu haezi ongea huo upuzi akiona hii foundationView attachment 821787View attachment 821788leta ya mturuki sasa tuone na ndio maana tunaziita cheap wacha povu
😀😀sasa mbwembwe zote zile za foundation kumbe nondo ni milimita moja😃😃😃[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kama nondo zenyewe mnazotumia ni hizo t tutegemee mengi kweli yajayo yanafurahisha
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] View attachment 821906
Roho mkononiDUUU hiyo ni hatari!! Vp ukitokea upepo mkali!!??
We endelea kua mhudumu wa bar kazi yenye unajua... ivi unajua maana ya pilling nini na kwanini piling yufanywa? Umewai skia wapi piling ikifanywa kwa Hardrock?😯😯😯😯ficha upumbavu na usiwe unaongea vitu hauelewi.Oooh my God!.🤔🤔 Mchina anawajengea Pillar bila kufanya pilling?? Anaweka pile cap direct.😂😂😂😂😂
Mkuu wewe ni engineer? Pilling ndio nini?Oooh my God!.[emoji848][emoji848] Mchina anawajengea Pillar bila kufanya pilling?? Anaweka pile cap direct.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anything ikiwa u/c lazima visa kama zijitokeze kote duniani sijui point yako nini alafu mwambie mwenzako kwanini pilling hufanywa na kwa which conditions.Angalia aftermath ya ujenzi huo
Strong wind blamed for SGR bridge collapse that killed 2 in Maai Mahiu — kenyan News
Evidence ama utoe upuuzi hapa.Madaraja ya SGR kenya train ikipita huwa yanayumba yumba
We mweupe kichwa siwezi poteza sekunde yangu ata moja nikijadili na wewe.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kama nondo zenyewe mnazotumia ni hizo t tutegemee mengi kweli yajayo yanafurahisha
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] View attachment 821906
Nondo zina upana wa pencil[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kama nondo zenyewe mnazotumia ni hizo t tutegemee mengi kweli yajayo yanafurahisha
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] View attachment 821906
16% na sio 20% . Kwani unadhani sisi hatusomi habari za Tanzania?Asilimia 4 na si 5 na walitoa sababu mvua kubwa zikizopita na wamesema they will put efforts to be in track. FYI they are already at 20%
Leta evidence on 29th July the work is still 16%!16% na sio 20% . Kwani unadhani sisi hatusomi habari za Tanzania?
We have had such tunnels since 1960s! Muache ushamba! Ask the constructor akuambie since that same China Road and Bridge Corporation (CRBC) building SGR Kenya, built TAZARA.
And here is the bridge just like the one over Tsavo!