hehe, unaweka beam moja kwa daraja alafu unatangaza eti umefika at advance stage ya ujenzi.... kumbe uko 15% complete after 1 year 3 months!
daraja lenyewe ni la kilometers chache litakamilika july 2019! Kenya SGR phase 2A itakamilika June 2019! WTF tena hilo ndo daraja la kwanza ndani ya madaraja mengi hadi Moro.. daraja la NNP ni refu kuliko hilo la dar na limejengwa ndani ya miezi sita.....eti mvua iliaffect ujenzi, Kenya ilikua na mafuriko makali ambayo hayajawahi kushukudiwa ukanda huu kwa miaka 13, kule suswa ambako sgr inajengwa ardhi iligawanyika mara mbili katika techtonic fault line... na bado tuliendelea..