Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
- #1,081
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pongezi kwake.Kadoda umecheki ngoma mpya ya Otile Brown? Ngoma keshafikisha 500,000 views in 48 hours, apan cheza.
Lazima mtakubali tu japo kinafki.Mleta uzi.
Trc tv kule you tube wanatoa updates nzuri sanaa.
😁 😁 2016 walisema wangeanza ujenzi wa light rail 🚈 lakini mpaka leo hata kuanza kuota badoHii sasa ni light rail, ama vipi?
Sasa Kenya wataandika "light rail only" Kwa barabara kulingana na masomo kutoka bogota.
Kina nani hao?Lazima mtakubali tu japo kinafki.
Hahahahahahahahaha, umenikumbusha mbali Sana.[emoji16] [emoji16] 2016 walisema wangeanza ujenzi wa light rail [emoji584] lakini mpaka leo hata kuanza kuota bado
Mwaka huo huo walitujia na mbwe mbwe za SGR electrification lakini mpaka leo hola
Mzee hao watu ni vichwa bangi, kuanzia Rais wao hadi wananchi, mihemko kwa kwenda mbele,[emoji16] [emoji16] 2016 walisema wangeanza ujenzi wa light rail [emoji584] lakini mpaka leo hata kuanza kuota bado
Mwaka huo huo walitujia na mbwe mbwe za SGR electrification lakini mpaka leo hola
😁 😁 😁 😁 nchi ya kishamba sana kila siku ni kuwaza namna watakavyocopy Tanzania 🇹🇿Mzee hao watu ni vichwa bangi, kuanzia Rais wao hadi wananchi, mihemko kwa kwenda mbele,
Mimi nilipoona tu Gavana wa mji mkuu anavaa minyororo shingoni na mikononi kama Mbwa nikajua hawa ni watu wa namna gani, Ile BRT ONLY sijui imeishia wapi.
Sent using Jamii Forums mobile app
kinachosumbua wanajiona wako mbele lkn ziada mioyo na roho zao ni za kichawi,watapata taaabu sana.[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] nchi ya kishamba sana kila siku ni kuwaza namna watakavyocopy Tanzania [emoji1241]
kabisaaTumebaki wenyewe wapo kibera kwenye mashimo yao wanapata taaabu sana.