SGR Construction in Tanzania - UPDATES

SGR Construction in Tanzania - UPDATES

Hii sasa ni light rail, ama vipi?

Sasa Kenya wataandika "light rail only" Kwa barabara kulingana na masomo kutoka bogota.
😁 😁 2016 walisema wangeanza ujenzi wa light rail 🚈 lakini mpaka leo hata kuanza kuota bado

Mwaka huo huo walitujia na mbwe mbwe za SGR electrification lakini mpaka leo hola
 
[emoji16] [emoji16] 2016 walisema wangeanza ujenzi wa light rail [emoji584] lakini mpaka leo hata kuanza kuota bado

Mwaka huo huo walitujia na mbwe mbwe za SGR electrification lakini mpaka leo hola
Mzee hao watu ni vichwa bangi, kuanzia Rais wao hadi wananchi, mihemko kwa kwenda mbele,
Mimi nilipoona tu Gavana wa mji mkuu anavaa minyororo shingoni na mikononi kama Mbwa nikajua hawa ni watu wa namna gani, Ile BRT ONLY sijui imeishia wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😁 😁 😁 😁 nchi ya kishamba sana kila siku ni kuwaza namna watakavyocopy Tanzania 🇹🇿
 
Back
Top Bottom