SGR Ethiopia one and a half years later.

Alafu upate huyu mtz ana miaka 40 na ameambiwa na ccm kuna railway ya moshi. Guy cant even take his time kugoogle small facts
πŸš‚πŸš‚πŸš‚πŸš‚πŸš‚πŸš‚

Dunia ya leo unajenga hii takataka!!!!!
 
Wakenya wamejenga railway ya kuni ya kufuka moshi halafu wanajifanya hawajui...hiyo rail yenu ni ya mi-moshi yaani unakaa nayo mbali train likipita na wewe uko karibu nayo lazima uugue mafua na kikohozi kwa sana..
 
Living on false hope..That thing will lack business a good one ata afadhali ya Ethiopia.First there is nothing substantial mnapeleka Rwanda Burundi ama hinterland.Two, your guys are lethargic in nature, mtajikokota hizo miaka zote 50.Sgr ya tz ilijengwa ionekane si ifanye kazi(Making a STATEMENT)
 
Mh kazi kweli kweli SGR yenyewe wanaendesha wachina so far performance yake ipo chini ya 50% na expectations zote hakuna hata iliyofikiwa kwa 40% yetu anathubutu kusema hayo maneno.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa tz wamiliki wa malori ndio watakuwa wahujumu wakuu wa SGR na relinzote zitakazofufuliwa, nimeota hivyo
 
Continue to console yourself after Chinese beat you at your game....

Every other country is building electronic trains.. ngoja mseveni aanze yake!

The only country kenya can collaborate to build smoke powered rail is Somalia!
Did you say 'electronic train'? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Hizi electronic train ndio zile hushikwa na kifafa na kuanguka anguka siku ya majaribio?
 
Alafu upate huyu mtz ana miaka 40 na ameambiwa na ccm kuna railway ya moshi. Guy cant even take his time kugoogle small facts
Eti ameambiwa na ccm (sisiemu) πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Yani kule bongo sisiemu ikisema kitu hakuna kupinga!! Duh, nimecheka kweli.
 
Kama Ethiopia wana inconsistent power supply na Wana almost 6000megawats
basi sgr Tanzania kama kweli ni electric ita stall siku ya kwanza.

Una habari hata mwendokasi mlisema hivyohivyo lakini baada ya kuonyesha mafanikio japo changamoto hazikosi, mkabaki mnaduaaa. Kenya wameiga na sasa wamechora mistari na maidha yanaendelea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo ni kujitutumua kuweka ya umeme bila kuzingatia mengine, bora ujenge kama tulivyofanya Kenya, uwekeze kwenye kuifanya iwe thabiti, kisha siku za usoni ndio uwaze mambo ya umeme.
Hakuna mlichofanya cha kujisifu Acha upimbi mwingi
 
Kama Tz hivi na ile 1358.69MW yani 70% ya Watanzania wanatumia kuni na mkaa kea matumizi yao ya upishi 365 days in a year.[emoji23][emoji23][emoji23]
Data from kibera ain't reliable
 
Sumu inauzwa kanunue
cc vanesa mdee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…