SGR Ethiopia one and a half years later.

SGR Ethiopia one and a half years later.

Alafu upate huyu mtz ana miaka 40 na ameambiwa na ccm kuna railway ya moshi. Guy cant even take his time kugoogle small facts
๐Ÿš‚๐Ÿš‚๐Ÿš‚๐Ÿš‚๐Ÿš‚๐Ÿš‚

Dunia ya leo unajenga hii takataka!!!!!
 
Wakenya wamejenga railway ya kuni ya kufuka moshi halafu wanajifanya hawajui...hiyo rail yenu ni ya mi-moshi yaani unakaa nayo mbali train likipita na wewe uko karibu nayo lazima uugue mafua na kikohozi kwa sana..
 
Mnaongoza mechi kwa first half ila mnaongea sana. Kitu kinakuja 160Km/h. Tutakuwa na fastest train in East Africa na hilo litadumu kwa miaka siyo chini ya 50. Hayo makopo yenu ya diesel mmepaka rangi nyekundu yatakuwa kwenye museum zetu kuwafundishia watoto wetu. โ€œTulikuwa na jirani aliuziwa mbuzi na mchina kwenye guniaโ€ thats 2040 history lakini
Living on false hope..That thing will lack business a good one ata afadhali ya Ethiopia.First there is nothing substantial mnapeleka Rwanda Burundi ama hinterland.Two, your guys are lethargic in nature, mtajikokota hizo miaka zote 50.Sgr ya tz ilijengwa ionekane si ifanye kazi(Making a STATEMENT)
 
Mh kazi kweli kweli SGR yenyewe wanaendesha wachina so far performance yake ipo chini ya 50% na expectations zote hakuna hata iliyofikiwa kwa 40% yetu anathubutu kusema hayo maneno.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza kabisa kabla sijawaza kurekebisha chochote, naomba uanze wewe, maana hadi sasa hamna reli wala treni ya aina ya mfumo wa SGR Tanzania, huwa tunaskia kunayo inatengenezwa na Mturuki na kuna mapicha mapicha huwa mnatupia kwenye mitandao, lakini kama tujuavyo watu huwa hawatumii mapicha kusafiri.
Kuna kipindi mlitupia picha ya kichwa cha treni kimelewa gongo/changaa

Sisi ndio taifa pekee EAC ambao tunayo reli iliyojengwa kwa mfumo wa SGR na inatumika na mahesabu yake yanaridhsha hadi raha.
 
Kwa tz wamiliki wa malori ndio watakuwa wahujumu wakuu wa SGR na relinzote zitakazofufuliwa, nimeota hivyo
 
Continue to console yourself after Chinese beat you at your game....

Every other country is building electronic trains.. ngoja mseveni aanze yake!

The only country kenya can collaborate to build smoke powered rail is Somalia!
Did you say 'electronic train'? ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ Hizi electronic train ndio zile hushikwa na kifafa na kuanguka anguka siku ya majaribio?
 
Alafu upate huyu mtz ana miaka 40 na ameambiwa na ccm kuna railway ya moshi. Guy cant even take his time kugoogle small facts
Eti ameambiwa na ccm (sisiemu) ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
Yani kule bongo sisiemu ikisema kitu hakuna kupinga!! Duh, nimecheka kweli.
 
Kama Ethiopia wana inconsistent power supply na Wana almost 6000megawats
basi sgr Tanzania kama kweli ni electric ita stall siku ya kwanza.

Una habari hata mwendokasi mlisema hivyohivyo lakini baada ya kuonyesha mafanikio japo changamoto hazikosi, mkabaki mnaduaaa. Kenya wameiga na sasa wamechora mistari na maidha yanaendelea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo ni kujitutumua kuweka ya umeme bila kuzingatia mengine, bora ujenge kama tulivyofanya Kenya, uwekeze kwenye kuifanya iwe thabiti, kisha siku za usoni ndio uwaze mambo ya umeme.
Hakuna mlichofanya cha kujisifu Acha upimbi mwingi
 
Kama Tz hivi na ile 1358.69MW yani 70% ya Watanzania wanatumia kuni na mkaa kea matumizi yao ya upishi 365 days in a year.[emoji23][emoji23][emoji23]
Data from kibera ain't reliable
 
Kwanza kabisa kabla sijawaza kurekebisha chochote, naomba uanze wewe, maana hadi sasa hamna reli wala treni ya aina ya mfumo wa SGR Tanzania, huwa tunaskia kunayo inatengenezwa na Mturuki na kuna mapicha mapicha huwa mnatupia kwenye mitandao, lakini kama tujuavyo watu huwa hawatumii mapicha kusafiri.
Kuna kipindi mlitupia picha ya kichwa cha treni kimelewa gongo/changaa

Sisi ndio taifa pekee EAC ambao tunayo reli iliyojengwa kwa mfumo wa SGR na inatumika na mahesabu yake yanaridhsha hadi raha.
Sumu inauzwa kanunue
cc vanesa mdee
 
Back
Top Bottom