kilam
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 2,092
- 2,128
wabongo walio hapa wana argue kwa feelings na sio facts, Arema standard ambayo inatumiwa kujenga reli yenyu iko na embankment height fupi sana kwa hivyo level crossings zitakua mingi tu kama Ethiopia.
Ungekuwa umetembea nchi nyingi za Ulaya ungekuwa umeona embankments height fupi kwenye nchi nyingi. Mfano Sweden embankment ni fupi. Tembea uone sio kung'ang'ania vitu usivyovifahamu.