SGR fully booked till 3rd January as air fares rise ahead of Christmas

Watu wa kaskazini sio wazembe, kwanza wachaga nawakubali sana
Wanaotumia Northern route sio wachagga tu, yapo makabila zaidi ya 15 kwenye hiyo mikoa ya Tanga, Kilimanjaro, Arusha, Manyara.

"Mabasi yamejaa, ndege zimejaa ndio maana tumepanda train" 📹(actually na train imejaa mpaka 3rd January)
 
Ahaa haa
Katika eac Tanzania ndiyo watu wanaosafiri sana. Kama unabisha angalia stand kuu za mabasi zinazojengwa nchi nzima. Pia angalia mabasi yanayotumika kusafiria mikoa yote.
Saa hii nimerudi, naamua tu ni drive au nikamate bus saafi kabisa. Halafu lami ndiyo usipime, ni mkeka tu, mikoa imeunganika, hadi raha.

Pia ukumbuke Kenya ni masikini. Usiwe tu mwepesi kuwaita wenzako masikini.
Ona hapa
👇🏽👇🏽👇🏽

Ona hapa 👇 👇 👇

Wanaotumia Northern route sio wachagga tu, yapo makabila zaidi ya 15 kwenye hiyo mikoa ya Tanga, Kilimanjaro, Arusha, Manyara.

"Mabasi yamejaa, ndege zimejaa ndio maana tumepanda train" 📹(actually na train imejaa mpaka 3rd January)

Ila route ya kulekea kaskazini kwa sasa percent kubwa ni Wachagga labda ikifuatiwa na Waarusha/Wameru! Angalia hizo video na majina utatambua kitu! Vp route ya Bukoba? Ule uwanja wetu mnautumia vizuri saahii?
 
Wanaotumia Northern route sio wachagga tu, yapo makabila zaidi ya 15 kwenye hiyo mikoa ya Tanga, Kilimanjaro, Arusha, Manyara.

"Mabasi yamejaa, ndege zimejaa ndio maana tumepanda train" [emoji329](actually na train imejaa mpaka 3rd January)
Ndege zipi hzo jomba[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Train iliyojaa ni yq kwwnda moshi tu acha upotoshaji hapa
 
Ila route ya kulekea kaskazini kwa sasa percent kubwa ni Wachagga labda ikifuatiwa na Waarusha/Wameru! Angalia hizo video na majina utatambua kitu! Vp route ya Bukoba? Ule uwanja wetu mnautumia vizuri saahii?
Asante sana kw kumutoa tongo tongo mwenzako
 
Nchi yenu kwa mlivyo maskini hata kuitalii au kusafiri kwenda kuwasabahi ndugu zenu huwa mnashindwa, isingekua kwa Wachagga ambao kidogo wamejaribu kuwabeba mngekua hovyoo sana, wao tu ndio wana jeuri ya Kikenya, wanasafiri kwenda kwao Moshi, nyie wengine wote full msoto huko Buza.
Watoe wapi jeuri hyo[emoji1787][emoji1787]
Mi kwenda nyumbani mkuu hyo ni oder, yani kuanzia utotoni twajua mwezi wa december tunaupiga wote kwetu kijijini hko..

Ndio manake unakuta mtu anakulia mjini miaka yote lkn ukiangalia mashinani ana wana, yani haonekani mgeni mgeni manake unaweza kuta likizo zote mida ingine mnazipigia hko mbona usipazoee
 
Huyu Naton Jr bana...ila msijifananishe na Wachagga! Wakenya wengi mnapenda kijifananisha na Wachagga sijui kwanini? mbona msijifananishe na Wasukuma, Wahaya, Wanyakyusa au Wagogo?
Wala sio ki hvo, ni opinion za mtu tu..
Km mimi wachaga nawakubali kwa sababu wanajituma hata km ni katika biashara ndogo ndogo..

Mombasa kuna wengine wameajiriwa katika maduka ya vitu wao wana retail mwisho wa siku wanapewa chao..
Ila km ni mwngine ataona haya kisa kwake anaona kazi bora ni ya serekali ukishtukizia umeamza kuota mvi..
 
Mchagga ameajiriwa kwenye retailing? wacha upumbavu sema wamejiajiri na kuwaajiri!
 
Nchi yenu kwa mlivyo maskini hata kuitalii au kusafiri kwenda kuwasabahi ndugu zenu huwa mnashindwa, isingekua kwa Wachagga ambao kidogo wamejaribu kuwabeba mngekua hovyoo sana, wao tu ndio wana jeuri ya Kikenya, wanasafiri kwenda kwao Moshi, nyie wengine wote full msoto huko Buza.
Tanzania unaenda wapi Sasa HV kwenye safiri...ucan go no where...mabasi yamejaa..Sasa wewe unaleta utopolo gani hapa
 
Habari inasema they are fully booked until 27th December, jamaa anaandika kwa heading, they're booked to 3rd January.
Wakenya bhana
 
Mchagga ameajiriwa kwenye retailing? wacha upumbavu sema wamejiajiri na kuwaajiri!
Sasa wabisha nini na wakati mamangu pia ana maduka ya bidhaa tofauti tofauti marikiti..

Unampa mzigo ana retail au km ana hela ywakuachia ila km hana jioni mna malizana..
Bora uaminifu tu

Tena achanq na marikiti, sokoni wana retail mpka tomato na vitunguu saumu..
Yani ww hutaki watu wajitume kisa ujifariji, wenzako basi wanajiendeleza we endelea kupinga
 
Sasa wabisha nini na wakati mamangu pia ana maduka ya bidhaa tofauti tofauti marikiti..

Unampa mzigo ana retail au km ana hela ywakuachia ila km hana jioni mna malizana..
Bora uaminifu tu
Mnawaajiri au wananunua wana maduka yao ya retail! wacha ujinga! leta evidence!
 
Marikiti hawana maduka hao watu waku retail vitu, tuseme ni sawa na wamachinga ni vile wengine hawatandazi chini wanuzia kwngine
 
Ila route ya kulekea kaskazini kwa sasa percent kubwa ni Wachagga labda ikifuatiwa na Waarusha/Wameru! Angalia hizo video na majina utatambua kitu! Vp route ya Bukoba? Ule uwanja wetu mnautumia vizuri saahii?
😅 Airtanzania from wherever to Bukoba is full booked, ni ngumu sana kiukweli
 
Marikiti hawana maduka hao watu waku retail vitu, tuseme ni sawa na wamachinga ni vile wengine hawatandazi chini wanuzia kwngine
leta evidence hata Dodoma kuna wamachinga kutoka Kenya pia!
 
Back
Top Bottom