SGR fully booked till 3rd January as air fares rise ahead of Christmas

SGR fully booked till 3rd January as air fares rise ahead of Christmas

😅 Airtanzania from wherever to Bukoba is full booked, ni ngumu sana kiukweli
safi na Mv Victoria nayo ipo fully booked naskia! Ila TRC wanapaswa kununua mabehewa ya abiria MGR kama 5 sets hivi maana nina uhakika hata huko Mwanza/Kagera/Kigoma kuna nyomi kipimdi hiki! Na mabehewa yaliyopo ni mchache kwa kweli!

 
leta evidence hata Dodoma kuna wamachinga kutoka Kenya pia!
Kwn kufanya umachinga geza kuna tatizo gani, emu nifafanulie..
Wajua we kizere nakushangaa na wakati hao watu wapo kweli..

Haya we amini kile unataka basi, ila ujue ukweli kamwe haubadiliki siku zote..
 
Kwn kufanya umachinga geza kuna tatizo gani, emu nifafanulie..
Wajua we kizere nakushangaa na wakati hao watu wapo kweli..

Haya we amini kile unataka basi, ila ujue ukweli kamwe haubadiliki siku zote..
hulka ya Wafanyabiashara wa Kichagga ni kufanya biashara yao hata kama ni genge na si kama unavyodai!
 
ulka ya Wafanyabiashara wa Kichagga ni kufanya biashara yao hata kama ni genge na si kama unavyodai!
We mzee una matatizo, kwhyo hawafai kununua vitu dukani kw bwi ya wholesale alafu wauze kivyao hko nje au pia km hawana wakopeshwe..

Ligi zingine acha wewe, au unafikiria kila mtu atakua anamawazo yale yale ya kukopa vitu ili auze milele..
Kuna na wengine wana goals zao, kile kile kidogo baada ya mda unamkuta anaomba nafasi mbele anaanza kuuzia kibandani..
 
Geza Ulole au unataka niseme wanaagiza mzigo kutoka nje alafu ndio wana retail mitaani..
We geza bana[emoji1787]
 
Geza Ulole au unataka niseme wanaagiza mzigo kutoka nje alafu ndio wana retail mitaani..
We geza bana[emoji1787]
unajua maana ya kuajiri? Au unaropokwa tu! Soma ulichoandika hapa chini 👇

Wala sio ki hvo, ni opinion za mtu tu..
Km mimi wachaga nawakubali kwa sababu wanajituma hata km ni katika biashara ndogo ndogo..

Mombasa kuna wengine wameajiriwa katika maduka ya vitu wao wana retail mwisho wa siku wanapewa chao..
Ila km ni mwngine ataona haya kisa kwake anaona kazi bora ni ya serekali ukishtukizia umeamza kuota mvi..
 


Naton Jr naona huku napo kuna nyomi tena halina mzaa kwa madereva wanaohatarisha usalama barabarani!
 
Hata Tz MGR yetu ya kwenda moshi o arusha ipo full booked untill 5 jan 2021

The same to our atcl
Therefore do not intimidate Us with your nonsense news
Waambie hao wanaona wao ndio wanasafiri,tena ngoma imefunga behewa 22
 
kuwa mjinga ni chance,ila kuwa mpumbavu ni maamuzi.

wacha nikuache na hii leo.


Mbona sijaona kikubwa hapo hiyo ni kawaida kila siku kwenye hiyo stend ya mikoani, mabasi huondoka kwa mpigo, nimeitumia sana, ila ninachokisema ni kweli, kwamba nyote mumeganda hapo Dar kwa umaskini, hamna jeuri ya kutalii au kwenda kuwatembelea ndugu msimu huu kama ilivyo kwetu hapa, isingekua kwa Wachagga sijui nchi yenu hiyo mngekua maskini kivipi.
 
Huu wimbo wako sisi watu wa kask tunautekeleza kwa vitendo...naambiwa sahv uko Moshi kuna foleni lakufa mtu bia zimeisha[emoji23][emoji23][emoji23]

Nawafahamu sana, na sio huko tu huko, hata ndugu zako hao wa Kaskazini ambao wanaishi Kenya wote wameshafungasha na kuvuka border, muwafundishe wengine huo umuhimu wa kujipa raha msimu huu.....
 
Watoe wapi jeuri hyo[emoji1787][emoji1787]
Mi kwenda nyumbani mkuu hyo ni oder, yani kuanzia utotoni twajua mwezi wa december tunaupiga wote kwetu kijijini hko..

Ndio manake unakuta mtu anakulia mjini miaka yote lkn ukiangalia mashinani ana wana, yani haonekani mgeni mgeni manake unaweza kuta likizo zote mida ingine mnazipigia hko mbona usipazoee

Ndio kawaida yetu Wakenya, unajituma mwaka unaisha ila msimu wa Krisimasi lazima ule bata full kipupwe, kwetu tulishaweka lazima binamu wote tukutane kijijini tuchinje mbuzi na kuwakutanisha watoto wetu wafahamiane, kisha baada ya hapo kila mmoja yuko huru kwenda popote kutalii ikiwemo Mambasani au Zanzibar.

Naona jamaa huu uzi wameung'ang'ania kama mpira wa corner kisa wameambiwa ukweli wa walivyo msoto, hawana hii jeuri.
 
Kingine ambacho hunikosha zaidi, kitambo nikiwa kijana nilifanya kazi kama mhudumu kwenye mghahawa wa kifahari ambapo wateja wengi walikua Wahindi na Wazungu, Mwafrika mweusi alikua mmoja mmoja tu, ila siku hizi nikienda kwenye hayo maeneo, nawaona Wakenya wenye ngozi nyeusi ndio wengi.
Hunipa fahari sana kuona idadi ya Wakenya walio kwenye uchumi wa kati imeongezeka kwa kasi, nchi imestawi kiuchumi, tunakwenda freshi tu, miundo mbinu imeboreshwa, yaani usipime, mibarabara ya juu tuliyokua tunaona kwenye movies enzi tukiwa watoto, leo hii imetamalaki kote.

Hapa niko kwenye hoteli fulani nzuri tu na familia yangu, naangalia kote kote watu wamekuja na familia zao wanajinvinjari, hakuna mzungu hata mmoja ila Waafrika weusi tu kwenye nchi yao.
 
Mbona sijaona kikubwa hapo hiyo ni kawaida kila siku kwenye hiyo stend ya mikoani, mabasi huondoka kwa mpigo, nimeitumia sana, ila ninachokisema ni kweli, kwamba nyote mumeganda hapo Dar kwa umaskini, hamna jeuri ya kutalii au kwenda kuwatembelea ndugu msimu huu kama ilivyo kwetu hapa, isingekua kwa Wachagga sijui nchi yenu hiyo mngekua maskini kivipi.
mbona hutumii akili nyepesi tu!!!

unasema hatuna utamaduni wa kusafiri,hata mwisho wa mwaka,nakuuliza sasa,hizo basi 600 kila siku hapo ubungo zinaishia mbagala!!!

nimekwambia mwezi dec huwa bus zinakosekana mpaka coaster huruhusiwa kwa muda,wewe unaleta ngonjera
sisi tumerundikana 6ml in 1600sqm,nyinyi 4ml in 690sqm tuliza akili ujue nani wamerundikana sehemu moja.
 
Nchi yenu kwa mlivyo maskini hata kuitalii au kusafiri kwenda kuwasabahi ndugu zenu huwa mnashindwa, isingekua kwa Wachagga ambao kidogo wamejaribu kuwabeba mngekua hovyoo sana, wao tu ndio wana jeuri ya Kikenya, wanasafiri kwenda kwao Moshi, nyie wengine wote full msoto huko Buza.

Hizi dharau sasa!
 
sijui hata umeelewa nilichoandika hapo juu??

[emoji23][emoji23]embu onyesha bus zikiondoka hapo nairobi kwenda mikoani,kuku wewe.

Kwanza fahamu sisi huwa hatuondokei wote kwenye stendi moja kama mifugo, tunazo stendi nyingi sana za mabasi ili kutupea uhuru na ufanisi likija suala la usafiri. Kimsingi, kila msimu wa Krisimasi huwa tunatalii na kusafiri kwenda vijijini, hatuna umaskini kama huo wa kwenu.
 
Kwanza fahamu sisi huwa hatuondokei wote kwenye stendi moja kama mifugo, tunazo stendi nyingi sana za mabasi ili kutupea uhuru na ufanisi likija suala la usafiri. Kimsingi, kila msimu wa Krisimasi huwa tunatalii na kusafiri kwenda vijijini, hatuna umaskini kama huo wa kwenu.
si ulete hata hiyo moja[emoji23][emoji23][emoji23].

ama kila bus moja lina stand yake[emoji1787][emoji1787].
 
Back
Top Bottom