SGR fully booked till 3rd January as air fares rise ahead of Christmas

sijui hata umeelewa nilichoandika hapo juu??

emoji23.png
emoji23.png
embu onyesha bus zikiondoka hapo nairobi kwenda mikoani,kuku wewe.
basi na magari ya kibinafsi yanayondoka nairobi kwenda mikoani,wakati wa krismasi ni mengi tu..hapo hakuna issue.
Issue ni wakenya wanaoenda kujivinjari maeneo ya pwani Kama watalii wandani kwa ndani .
 
This was yesterday past Thika towards Kenol ,Muranga.ikumbukwe hapa si Nairobi .. kwenda mikoani haiwezi kuwa issue ya kubrag nayo.
EqFC4MDW8AEBYZ0.jpg
 
si ulete hata hiyo moja[emoji23][emoji23][emoji23].

ama kila bus moja lina stand yake[emoji1787][emoji1787].

Uletewe ya nini, haitobadilisha uhalsia kwamba sisi tunaitalii nchi yetu zaidi yenu mlioganda hapo buza kwa umaskini.
 
sasa mnatalii ama mnakwenda kusalimia[emoji23][emoji23]

mbona hueleweki!!!
 
basi na magari ya kibinafsi yanayondoka nairobi kwenda mikoani,wakati wa krismasi ni mengi tu..hapo hakuna issue.
Issue ni wakenya wanaoenda kujivinjari maeneo ya pwani Kama watalii wandani kwa ndani .
sasa hilo halihusiani na kipato cha mtu,hiyo ni hulka na tamaduni za watu.
 
hamna mgao wa umeme dsm.

anyway kwani uko na siku ngapi hujaoga hapo,maana capital city yenu inafahamika kwa shida ya maji.

Itakuaje wewe hapo Buza haujaona mgao ilhali wenzako Dar yote wanalalamika kila uchao kero za kukatiwa umeme.....imewahi kunikuta Dar bila umeme, nilikoma ubishi, ila nyie wavumilivu kweli...hehehe
 
Uletewe ya nini, haitobadilisha uhalsia kwamba sisi tunaitalii nchi yetu zaidi yenu mlioganda hapo buza kwa umaskini.
Hiyo Buza umefika hv karibuni? Unfikiri kibera huku,we jamaa bwana,Buza siku kumewakaaa
 
Itakuaje wewe hapo Buza haujaona mgao ilhali wenzako Dar yote wanalalamika kila uchao kero za kukatiwa umeme.....imewahi kunikuta Dar bila umeme, nilikoma ubishi, ila nyie wavumilivu kweli...hehehe
acha umalaya bana,ukiona dsm umeme umekatika buza,mbagala,au gongo la mboto.

maana yake huko ndio kuna wananchi wengi wa kipato cha chini.sasa haukukatika buza,gomzi,au mbagala unataka kusema umeme umekatika dsm!!!!!
 
Sio mimi ila ni ndugu zako wanalalamika kukatikiwa na umeme kila siku na walidhani Krisimasi mtapunguza huo ujinga kumbe ndio mumekoleza.
 
waulize leo ni zamu ya wapi mgao!!!
 
Back
Top Bottom