Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
safi na Mv Victoria nayo ipo fully booked naskia! Ila TRC wanapaswa kununua mabehewa ya abiria MGR kama 5 sets hivi maana nina uhakika hata huko Mwanza/Kagera/Kigoma kuna nyomi kipimdi hiki! Na mabehewa yaliyopo ni mchache kwa kweli!π Airtanzania from wherever to Bukoba is full booked, ni ngumu sana kiukweli
Wabaguzi hawa wapuuzi!Tanzanian wannabes π
Kwn kufanya umachinga geza kuna tatizo gani, emu nifafanulie..leta evidence hata Dodoma kuna wamachinga kutoka Kenya pia!
hulka ya Wafanyabiashara wa Kichagga ni kufanya biashara yao hata kama ni genge na si kama unavyodai!Kwn kufanya umachinga geza kuna tatizo gani, emu nifafanulie..
Wajua we kizere nakushangaa na wakati hao watu wapo kweli..
Haya we amini kile unataka basi, ila ujue ukweli kamwe haubadiliki siku zote..
We mzee una matatizo, kwhyo hawafai kununua vitu dukani kw bwi ya wholesale alafu wauze kivyao hko nje au pia km hawana wakopeshwe..ulka ya Wafanyabiashara wa Kichagga ni kufanya biashara yao hata kama ni genge na si kama unavyodai!
unajua maana ya kuajiri? Au unaropokwa tu! Soma ulichoandika hapa chini πGeza Ulole au unataka niseme wanaagiza mzigo kutoka nje alafu ndio wana retail mitaani..
We geza bana[emoji1787]
Wala sio ki hvo, ni opinion za mtu tu..
Km mimi wachaga nawakubali kwa sababu wanajituma hata km ni katika biashara ndogo ndogo..
Mombasa kuna wengine wameajiriwa katika maduka ya vitu wao wana retail mwisho wa siku wanapewa chao..
Ila km ni mwngine ataona haya kisa kwake anaona kazi bora ni ya serekali ukishtukizia umeamza kuota mvi..
Waambie hao wanaona wao ndio wanasafiri,tena ngoma imefunga behewa 22Hata Tz MGR yetu ya kwenda moshi o arusha ipo full booked untill 5 jan 2021
The same to our atcl
Therefore do not intimidate Us with your nonsense news
Na hapo tangia tarehe 10's dec mambo yalikuwa full bookedWaambie hao wanaona wao ndio wanasafiri,tena ngoma imefunga behewa 22
kuwa mjinga ni chance,ila kuwa mpumbavu ni maamuzi.
wacha nikuache na hii leo.
Huu wimbo wako sisi watu wa kask tunautekeleza kwa vitendo...naambiwa sahv uko Moshi kuna foleni lakufa mtu bia zimeisha[emoji23][emoji23][emoji23]
Watoe wapi jeuri hyo[emoji1787][emoji1787]
Mi kwenda nyumbani mkuu hyo ni oder, yani kuanzia utotoni twajua mwezi wa december tunaupiga wote kwetu kijijini hko..
Ndio manake unakuta mtu anakulia mjini miaka yote lkn ukiangalia mashinani ana wana, yani haonekani mgeni mgeni manake unaweza kuta likizo zote mida ingine mnazipigia hko mbona usipazoee
mbona hutumii akili nyepesi tu!!!Mbona sijaona kikubwa hapo hiyo ni kawaida kila siku kwenye hiyo stend ya mikoani, mabasi huondoka kwa mpigo, nimeitumia sana, ila ninachokisema ni kweli, kwamba nyote mumeganda hapo Dar kwa umaskini, hamna jeuri ya kutalii au kwenda kuwatembelea ndugu msimu huu kama ilivyo kwetu hapa, isingekua kwa Wachagga sijui nchi yenu hiyo mngekua maskini kivipi.
Nchi yenu kwa mlivyo maskini hata kuitalii au kusafiri kwenda kuwasabahi ndugu zenu huwa mnashindwa, isingekua kwa Wachagga ambao kidogo wamejaribu kuwabeba mngekua hovyoo sana, wao tu ndio wana jeuri ya Kikenya, wanasafiri kwenda kwao Moshi, nyie wengine wote full msoto huko Buza.
sijui hata umeelewa nilichoandika hapo juu??
[emoji23][emoji23]embu onyesha bus zikiondoka hapo nairobi kwenda mikoani,kuku wewe.
si ulete hata hiyo moja[emoji23][emoji23][emoji23].Kwanza fahamu sisi huwa hatuondokei wote kwenye stendi moja kama mifugo, tunazo stendi nyingi sana za mabasi ili kutupea uhuru na ufanisi likija suala la usafiri. Kimsingi, kila msimu wa Krisimasi huwa tunatalii na kusafiri kwenda vijijini, hatuna umaskini kama huo wa kwenu.
Akionesha usisahau kunitag [emoji23][emoji23][emoji23]sijui hata umeelewa nilichoandika hapo juu??
[emoji23][emoji23]embu onyesha bus zikiondoka hapo nairobi kwenda mikoani,kuku wewe.