basi na magari ya kibinafsi yanayondoka nairobi kwenda mikoani,wakati wa krismasi ni mengi tu..hapo hakuna issue.sijui hata umeelewa nilichoandika hapo juu??
embu onyesha bus zikiondoka hapo nairobi kwenda mikoani,kuku wewe.
si ulete hata hiyo moja[emoji23][emoji23][emoji23].
ama kila bus moja lina stand yake[emoji1787][emoji1787].
sasa mnatalii ama mnakwenda kusalimia[emoji23][emoji23]Uletewe ya nini, haitobadilisha uhalsia kwamba sisi tunaitalii nchi yetu zaidi yenu mlioganda hapo buza kwa umaskini.
sasa mnatalii ama mnakwenda kusalimia[emoji23][emoji23]
mbona hueleweki!!!
sasa hilo halihusiani na kipato cha mtu,hiyo ni hulka na tamaduni za watu.basi na magari ya kibinafsi yanayondoka nairobi kwenda mikoani,wakati wa krismasi ni mengi tu..hapo hakuna issue.
Issue ni wakenya wanaoenda kujivinjari maeneo ya pwani Kama watalii wandani kwa ndani .
hamna mgao wa umeme,matatizo ya umeme ni kawaida maana mitambo inapata hitirafu muda wowote.Halafu nyie nimeshangaa sana kwa hilo joto la Dar mnakosa umeme msimu wa Krisimasi, bila viyoyozi jameni mbona mnateseka hivi Kumekuwa na tatizo la umeme mitaani hasa DSM kiasi kwamba tunaamini yaweza kuwa mgao usio rasmi
hamna mgao wa umeme dsm.
anyway kwani uko na siku ngapi hujaoga hapo,maana capital city yenu inafahamika kwa shida ya maji.
Hiyo Buza umefika hv karibuni? Unfikiri kibera huku,we jamaa bwana,Buza siku kumewakaaaUletewe ya nini, haitobadilisha uhalsia kwamba sisi tunaitalii nchi yetu zaidi yenu mlioganda hapo buza kwa umaskini.
Hiyo Buza umefika hv karibuni? Unfikiri kibera huku,we jamaa bwana,Buza siku kumewakaaa
acha umalaya bana,ukiona dsm umeme umekatika buza,mbagala,au gongo la mboto.Itakuaje wewe hapo Buza haujaona mgao ilhali wenzako Dar yote wanalalamika kila uchao kero za kukatiwa umeme.....imewahi kunikuta Dar bila umeme, nilikoma ubishi, ila nyie wavumilivu kweli...hehehe
Kwao wanataka kuona mabus za kimaskini,This was yesterday past Thika towards Kenol ,Muranga.ikumbukwe hapa si Nairobi .. kwenda mikoani haiwezi kuwa issue ya kubrag nayo.View attachment 1659370
acha umalaya bana,ukiona dsm umeme umekatika buza,mbagala,au gongo la mboto.
maana yake huko ndio kuna wananchi wengi wa kipato cha chini.sasa haukukatika buza,gomzi,au mbagala unataka kusema umeme umekatika dsm!!!!!
waulize leo ni zamu ya wapi mgao!!!Sio mimi ila ni ndugu zako wanalalamika kukatikiwa na umeme kila siku na walidhani Krisimasi mtapunguza huo ujinga kumbe ndio mumekoleza.
sijui hata umeelewa nilichoandika hapo juu??
[emoji23][emoji23]embu onyesha bus zikiondoka hapo nairobi kwenda mikoani,kuku wewe.