SGR ikikamilika Bila Bandari ya Bagamoyo malori yatalazimika kupaki

15 October 2018

Rais wa chama cha wasafirishaji Tanzania TAT


Rais wa TAT Bw. Mohamed Abdullah akizungumzia changamoto mbalimbali za madereva na wamiliki wa malori nchini Tanzania na nchi jirani kwa ujumla
Source : Transporters Association of Tanzania
 
Januari 03, 2021

Changamoto za Usafirishaji 2021, Chama cha Wasafirishaji chanena



Rais wa TAT Bw. Mohamed Abdullah akizungumzia fursa, soko na changamoto mbalimbali za wamiliki wa malori nchini Tanzania katika usafirishaji kanda za nchi za SADC na Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC pamoja na sheria za customs, 'dumping' mizigo ya transit, Containers zilizofungwa seal, Mamlaka za Revenue n.k kanda hizi za usafirishaji upande huu wa nchi Kusini mwa Afrika, Afrika Mashariki na Eneo la Maziwa Makuu yaani DR Congo, Burundi na Rwanda.

Source : ITV Tanzania
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
Wananchi tuko naye,na tunamuunga mkono.
 

Huu utafitiwako hata kichaa anafahamu kitakacho tokea kuhusu malori baada ya reli SGR kukalilika.

Watu wanachukizwa na hawataki hiyo bandari kujengwa sababu mikatabayake inautata,maana tulisha ambiwa madharayake sasa nivema waiwekewazi ilikujuwa ukweli ninini, ipelekwe bungeni ikajadiliwe.
Hao wachina unaweza ukashangaa wakaja na makampuni yao pia ya malori na maderevawao kwaajili ya logistics.
Sababu ni wataalam sana wa kuchea na fursa.
Kuna bandari kavu zinajengwa vigwaza huko na sehem nyingine,malori yata beba huko.

Pia kumbuka mizigo ikitoka bandarini kwa haraka na SGR, itaondoa msongamano na kuacha nafasi ambayo itasababisa speed ya kupakua macontena kwenye meli kuongezeka.

Kwahiyo kutakuwa na mzigo mwingi unao ingina na kutoka kwa wakati ambapo hata hiyo SGR itaweza kuzidiwa,na malori yatapata mizigo pia.

Kama hao wanchina wanakupendeni waambieni wa panue bandari ya Dar kwakutumia hata robo tu ya gharama wanazo taka kujenga huko bagamoyo,alafu kodi tuchukue sisi kama kawaida then tuwalipe pesazao na riba hata kama ni %25, kuliko kuwaachia bandari hiyo wanayo taka kujenga alafu wajilipe miaka mia.

Na ufahamu katika miaka yote hiyo watakayo kuwa wana operate hiyo bandari ya bagamoyo,bandarizetu zote zitakufa zenyewe outomatical na wafanyakazi wa bandari wanaweza kupunguzwa hata % 60/ 70 sababu watakuwa hawana kazi ya kufanya.

Mikataba mibovu Tanzania hatu logwagi na mtu yoyote na wala hatuingizwi mkenge,ila kunawatu wanafanya makusudi kwa manufaanyao.

INAUMA SANA.

Acheni kutetea ufisadi kuweni wazalendo.
 
Dk 45 mkuu wangu
Kwa kuwa unajua hesabu, na kwa kuwq umbali wa Dar Moro unajulikana, hebu tupe na spidi ya hiyo treni ili iweze kutumia hizo Dk 45 (tufanye kwamba haisimami kabisa hata stesheni moja).
 
Umetumwa kupush agenda au vipi. Kweli Mbatia alikua sahihi kuwaita punguani.
 
Hapana mkuu
Hii ya Kwetu itakuwa na kasi ya 160Km kwa saa na hapa mpaka Moro sio chini ya km 200, ambayo tunataraji itatumia saa 1 na dk 25. Hapo ikiwa haijasimama popote, ikumbukwe kuna vituo kama 3-4 hapo katikati. Hivyo kwakuwa haitakuwa ikitembea katika kasi yake ya juu itachukua muda huo niliotaja.
 
Kuna miscalculation hapa
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Hakika kama mambo yataendelea kuwa hivi Rais Samia Suluhu Hassan atashinda Uchaguzi Huru na Haki wa 2025 kwa zaidi ya 76%
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
Asante sana,
 
Awesome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…