SGR ikikamilika Bila Bandari ya Bagamoyo malori yatalazimika kupaki

SGR ikikamilika Bila Bandari ya Bagamoyo malori yatalazimika kupaki

Mawazo yako ndo hafifubndo maana hujajibu hoja yangu.ukweli ni kwamba wachina wanapataka hapo ili kujenga military base Yao ili kuweza kukontrol biashara kwenye bahari ya hindi habari tunazo Rais mwenye Akili kubwa kama Magufuli hawezi kukataa kitu kizuri Kwa nchi yetu.
Unafahamu maana ya military base lakini mkuu?

Usipotoshwe kabisa, Rais Samia ni mtu makini sana,
 
Utakuwa sawa pia ukitumia maneno hayo
Pia aepukane na wasaidizi wanaoweza kumuangusha na kumchafua.ila pia kuna Maeneo kafanya vizuri mfano kwenye diplomasia.narudia ila asiwakumbatie watu watakaomchafua.mfano mafisadi,walarushwa.Mfano kama wale vijana kwenye utawala uliopita walivyowaumiza watu.
 
Kwamba wewe juha unadhani bandari ya Dar-es-Salaam itakua bandari ya Bagamoyo?? WEWE KWELI KILAZA AISEE....
 
Halafu wenye Malori waje kula kwako?
Teknolojia mpya inapochukua nafasi huwa inaziacha teknolojia za zamani zikifa njaa,huo ndiyo mfumo wa ulimwengu wa sasa unavyoenda,hapo zamani texi zilishika hatamu kwenye kusafirisha abiria wa kukodi sehemu za mijini,lakini zikaja bajaji na bodaboda,hapo zamani kulikuwa na biashara inaitwa internet cafe ambayo ilimezwa na ujio wa smart phone, wenye internet cafe wala hawakuhoji eti wakale wapi,kwa ujio wa SGR,ni dhahiri kwamba bIashara ya Usafiri wa malori itapungua sana.
 
Teknolojia mpya inapochukua nafasi huwa inaziacha teknolojia za zamani zikifa njaa
Teknolojia ya Reli haijawahi kufanya Malori yapaki angalia North America na Europa ndugu tembeeni muone.
 
Semeni ukweli mnataka kuwapa bandari wachina ili wajenge military base Yao.
Mkiwa mnaandika comments muwe mnatumia akili kidogo halafu kuheshimu uwezo wako wa kufikiri ni jambo la busara sana unaweza kuropoka ukaonekana hauna akili.
 
Teknolojia ya Reli haijawahi kufanya Malori yapaki angalia North America na Europa ndugu tembeeni muone.
Mfano wako wa north America na Europe ni mzuri ila mazingira yao ni tofauti na hapa kwetu,ujio wa reli ya TAZARA ulipelekea makampuni kadhaa ya malori kufungwa mojawapo ninalolikumbuka ni Tanzania Zambia road service Hawa walimiliki maFiat zaidi.
SGR itakapofunguliwa haimaanishi kwamba mizigo ishukayo bandarini itaongezeka,uwingi wa mizigo ni uleule,mfano tu, let say mizigo inayoshushwa hapo Dar port kwa mwaka ni tani 20,000,hapo Ina maanisha yote ilikuwa inasafirishwa kwa malori, halafu SGR inakuwa imezinduliwa rasmi,hii inamaanisha kwamba SGR na malori ita share kusafirisha hizo tani 20,000 kwa mwaka,hapo naomba uniambie Kwa Nini baadhi ya malori yasipaki.
 
Mkiwa mnaandika comments muwe mnatumia akili kidogo halafu kuheshimu uwezo wako wa kufikiri ni jambo la busara sana unaweza kuropoka ukaonekana hauna akili.
Ukiwa na akili utajua kwanini mtu kama magufuli aliukataa Mradi huu.Naamini nyuma ya mradi huu kuna kitu.Na siyo kitu cha Siri kwamba China inataka kujenga military base yake Tanzania ili kukuza kukontrol biashara bahari ya Hindi.Magufuli Rais ambaye anapenda miradi mikubwa eti aukatae Mradi muhimu kama huu wa Bandari?alafu usifosi Mimi nifikirie kama wewe.I am a free thinker. I always think out of the box.
 
Malori hayawezi kukosa kazi, hata kwenye mataifa mengine yenye mifumo ya reli ya kisasa bado malori yanapiga mzigo.

Watu wanatafuta uhalali wa kujenga tu hiyo bandari ya Bagamoyo huku wakificha mkataba wa ujenzi, ni ufisadi mtupu.
 
Ukiwa na akili utajua kwanini mtu kama magufuli aliukataa Mradi huu.Naamini nyuma ya mradi huu kuna kitu.Na siyo kitu cha Siri kwamba China inataka kujenga military base yake Tanzania ili kukuza kukontrol biashara bahari ya Hindi.Magufuli Rais ambaye anapenda miradi mikubwa eti aukatae Mradi muhimu kama huu wa Bandari?alafu usifosi Mimi nifikirie kama wewe.I am a free thinker. I always think out of the box.
Unaongea na mtu mwenye data na anayejua huo mradi kijana. Wacha ninyamaze.

Kuhusu uwepo wa Military base huo mradi sio sehemu ya huo mpango that is what I can assure you 100%.

Huo no mradi upo facilitated na serikali ya Oman wao ndio wanatoa pesa Kama financier kupitia exim bank ya China ambapo anayekopa ni China Harbors it's purely intended for business.

Haiingii kichwani China wakope pesa kujenga military base hii ndio nataka ufahamu. Military base huwezi kujenga kwa pesa ya mkopo, never. China Kama wangetaka kujenga Military base wasingekubali kuingia Joint Venture na serikali ya Tanzania kupitia TPA ambapo wanaform a company itakayosimamia Bagamoyo port.

Naomba uhusishe uelewa wako vizuri. Otherwise Kama huelewi as long haya maandiko yangu yanaishi humu JF basi tutakuja kujadili hatuhitaji kubishana sana but nakuhakikishia ishu ya Military base haipo kabisa.

Kama wangetaka kujenga Military base kwenye majadiliano lazima wangekuwepo JWTZ Kama wadau lakini wakati wa majadiliano wadau wote wa mradi ni TPA Kama mdau mkuu, TRL, EWURA, Marine Services, Exim Bank China, Ubalozi wa Saudia, Wizara ya Uchukuzi, Halmashauri ya Mji wa Bagamoyo, Government Chief Valuer, EPZA na SEZ. Sasa where is JWTZ ambao ndio wadau wa military base???

Mambo mengine tunakaa kimya tu maana Magufuli alikuwa na ishu zake anazojua mwenyewe nisingependa kujadili hayo kwa sasa hayana maana uzuri wake majadiliano yameanza upya tunaanzia tulipoishia serikali imepitia na imeona hayo yote hayakuwepo.

Nachoweza kukuhakikishia ni kwamba mradi hauna hayo mnayoambiwa watu waliona hawajapata ganji yao na mkwere ndio aliusimamia ili watu wa jimboni kwake wafaidike nothing much.
 
Okey nimekuelewa boss.cha muhimu Tu wazingatie maslahi ya taifa kama mradi unafaa Acha uendelee Tu.
 
Okey nimekuelewa boss.cha muhimu Tu wazingatie maslahi ya taifa kama mradi unafaa Acha uendelee Tu.
Napenda kukuhakikishia tena, Kuna watanzania wenye weledi mkubwa sana kwa sasa na wanapenda nchi iendelee mambo mengi ya kihuni yamepitwa na wakati hata wizi wa kijinga umepotea sababu watu walizoea kuiba kijinga kwa cash, sasa hivi hata rushwa ukila lazima mradi uende na kwa kiwango kilekile na kwa pesa ileile.

Labda watu wamezoea wale wazee ambao hata kuwasha laptop ilikuwa shida. Kaka, siku hizi tuna vijana wamekulia kwenye technology na wanafanya kazi kwa weledi rushwa utanipa ukitaka mwenyewe ila Kama unadeserve kupewa project utapewa sasa rushwa yako usifanye kuniharibia kazi.

Ni kwamba hela yako nakula ila mradi nahakikisha upo vilevile hapa tunachofanya tunagawana faida yako, if ukidhani nitakubeba simply umenipa sehemu ya faida yako you are seriously mistaken and in big trouble.

Nawafundisha madogo namna ya kula hela bila kuacha nyayo.
 
Ushauri Serikali itafute mwekezaji wa uhakika wa kujenga na kuendesha sgr ya umeme kuunganisha dodoma - arusha- moshi - tanga yenyewe ichukue hisa .
Wataweza kupatikana kundi la wawekezaji wakatekeleza huo mradi.
Faida zake:
Safari za utalii zitaongezeka
Safari za kibiashara zitaongezeka
Maendeleo ya miji Hii yataongezeka Kwenye kipato
Bandari ya Tanga itapanuka na kuwa mshindani wa mombasa.
Ajira zitaongezeka
 
Back
Top Bottom