SGR ikikamilika Bila Bandari ya Bagamoyo malori yatalazimika kupaki

unayohoja ya msingi
 
Hii bandari ni muhimu sanaa
 
bandari ijengwe itatufaa sana
 
Tunahitaji sana huu mradi,

Tuache propaganda za kichochezi,
 

Wewe CHAWA unahangaika sana na mapambio ya hao wezi wanaokutuma uwafanyie promotion!! Mlikula hela ya watu JIWE akawapiga stop sasa mmeona ameondoka mnafikiri ndio mtafanikisha ufisadi wenu!!!
 
Wewe CHAWA unahangaika sana na mapambio ya hao wezi wanaokutuma uwafanyie promotion!! Mlikula hela ya watu JIWE akawapiga stop sasa mmeona ameondoka mnafikiri ndio mtafanikisha ufisadi wenu!!!
Chawa kama chawa, Mkuu wewe ni chama gani?
 
You mean ACT wazalendo?

Hapana mkuu, mimi siwezi kuwa na Zitto Kwani yule nae ni CHAWA wa ccm wa siku nyingi toka enzi ya KIKWETE!! Mimi ni mpenda nchi yangu, nitamuunga mkono yeyote yule tu anaeitakia mema nchi yetu!!
Hivi sasa naungana na wote wanaopigania nchi yetu ipate KATIBA wananchi walioipendekeza irrespective of their political affiliation.
 
Wewe CHAWA unahangaika sana na mapambio ya hao wezi wanaokutuma uwafanyie promotion!! Mlikula hela ya watu JIWE akawapiga stop sasa mmeona ameondoka mnafikiri ndio mtafanikisha ufisadi wenu!!!
 
Huyu ni CHADEMA
 
Kama kuna kitu umenifungua macho basi ni hii logic

Kwa hesabu hii ni kweli Malori karibu yote yatapaki

Mungu mbariki Samia wetu,
Mzigo mingi inakwenda Zambia na DRC kupitia Tunduma bado malori yatachapa kazi.
 
Huyu ni CHADEMA
Ndio ujinga mliokuwa nao; yeyote anayekuwa tofauti na nyinyi mnamuita CHADEMA!! Mimi nakubaliana na hitaji la katiba mpya kama Chadema, lakini hiyo hainifanyi kuwa mfuasi wao!! Tatizo la nyingi Chawa mnaangalia watu na sio ISSUES zinazoathiri nchi.
Wewe juzi juzi tu Samia amekupa shavu na ndio umekuwa kihongwe ;akili yako imepumbazwa huna mbele wala nyuma!!! Lolote utakaloambiwa utafuata tu blindly; pole mama!
 

Unapofananisha mfumuko wa bei huko Marekani na Tanzania kuna kitu muhimu unashindwa kukitambua kuwa huko marekani hivi unemployment ni ni chini ya 4% [ full employment] kuna uhaba wa wafanya kazi! Pia marekani kumekuwa na ongezeko la mishahara hasa kwa watu wa hali ya chini na uchumi wake umekuwa in real terms!!

Hivyo makali ya mfumuko wa bei Marekani sio sawa na Tanzania ambako ajira ni janga la Taifa , vijana wanazurula zurula hovyo; mishahara haijawahi kuongezeka Kwa muda mrefu sasa na ndio maana vilio vimetamalaki nchi nzima! Kufuatana na hayo athari za mfumuko wa bei kwa maendeleo ya watanzania ni kali sana!!

Unajitahidi binti lakini mshauri vizuri huyo mama kuwa we should concentrate on our own strengths economically to nip the inflationary trend instead of copying what is being done in the developed world!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…