SGR ikikamilika Bila Bandari ya Bagamoyo malori yatalazimika kupaki

Mimi sina mkuu kama unao lete tuujadili hapa,

Mimi nimeonesha analysis yangu hali itakuwaje hapo baadae nimeishia hapo,
Kwani treni itakwenda Kila mji? Kama maroli ni ya muhimu mfanye Kama alivyo fanya mzee wa msoga jengeni vyoo juu ya reli ili maroli yenu yatembee.
 
Unataka kuniambia mizigo yote inayokuja Tanzania inaenda uelekeo wa SGR? Au SGR itasambaa miji na vitongoji vyote Tanzania?
 
Kwani treni itakwenda Kila mji? Kama maroli ni ya muhimu mfanye Kama alivyo fanya mzee wa msoga jengeni vyoo juu ya reli ili maroli yenu yatembee.
Mkuu hapa sijakupata vizuri hasa kuhusu Mzee wa Msoga,
 
Unataka kuniambia mizigo yote inayokuja Tanzania inaenda uelekeo wa SGR?
Mkuu kwani ni wapi SGR isikofika?

Tunduma itakwenda,

Migori itakwenda

Singida itakwenda,

Nadhani umenipata mkuu
 
Mkuu kwani ni wapi SGR isikofika?

Tunduma itakwenda,

Migori itakwenda

Singida itakwenda,

Nadhani umenipata mkuu
Na Bunju itaenda, Bagamoyo, Tanga, Arusha, Kariakoo nk nk nk?
 
mnalazimisha sana suala la bandari ya bagamoyo ,wakati kipindi cha awamu iliyopita mlisema ni upigaji , yani Tanzania sielewi tunaamini kwenye nini, hatueleweki kabisaaaaaaaaa
 
Semeni ukweli mnataka kuwapa bandari wachina ili wajenge military base Yao.
 
Mawazo hafifu haya passioner255
Mawazo yako ndo hafifubndo maana hujajibu hoja yangu.ukweli ni kwamba wachina wanapataka hapo ili kujenga military base Yao ili kuweza kukontrol biashara kwenye bahari ya hindi habari tunazo Rais mwenye Akili kubwa kama Magufuli hawezi kukataa kitu kizuri Kwa nchi yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…