SGR ikikamilika ndio taifa letu litamkumkuka Hayati Magufuli

SGR ikikamilika ndio taifa letu litamkumkuka Hayati Magufuli

tuache tabia ya kutukuza watu katika mambo yanayohusisha wengi, SGR halikuwa wazo la Magufuli, ni moja ya ahadi nyingi ambazo Chama Cha Mapinduzi kiliwaahidi wananchi na kikawapa watu dhamana ya kusimamia utekelezaji wa ahadi hii ni mafanikio ya wengi sio mtu mmoja ni pamoja na Wananchi wa Tanzania wanaolipa kodi, walioshiriki katika ujenzi na usimamizi wa mradi
 
Nikutajie wewe Kama Nani Sasa?Unaweza ukafanya Nini Sasa wewe zaidi ya kusubiri kipindi chenu Cha shule ya uongozi,ufarijike then ulaze zako kende tu hapo kwa shemeji yako.

Nakwambia jamaa yenu alikua mdhulumati kishenzi,anachukua pesa kwny mifuko ya wastaafu Halafu anakuja kudanganya hadharani eti ni pesa za ndani,sisi Ni Matajiri.

Wastaafu Wana miaka zaidi ya 4tunafukuzia pesa zetu Ni chenga tupu,mifuko haina pesa.Mama Samia alipoingia tu akasema tena Nyir huko kwny mifuko ndio uozo mtupu.

Ila Mungu Ni fundi Sana.
Yaani kwa akili yako huu ndio uthibitisho wa mauaji na dhuluma alizozifanya JPM? Pathetic fool! 😁
 
Yaani kwa akili yako huu ndio uthibitishowa mauaji na dhuluma alizozifanya JPM? Pathetic fool! 😁
😁😁 Nchi hii Ni tajiri saaana,Ni donor kantreeeeeee, tunatumia pesa zetu za ndaniiiii.Ongo Sana lile jamaa wkt yeye ndio amekopa pesa nyingi kuliko wenzake wote waliopita 😁😁😁😁.Ongo sana
 
Hivi kwani mpango wa kujenga SGR si ulianza na Kikwete.. watu wapuuzi sana humu yaani yule kiongozi mkatili na muuaji akumbukwe kwa kutekeleza ila ya ccm.. kwani pesa za kujengea alitoa mfukoni? mbona kafilia mbali na mradi unaendelea kwa kasi kubwa.
Acheni kufanya mambo ya kitaifa kuwa ya mtu mmoja
Kweli ww ni pundaaa...mana hujui hata mradi wenyewe unahusu nn..ebu tuondolee upundaa wako hapaa..
 
😁😁 Nchi hii Ni tajiri saaana,Ni donor kantreeeeeee, tunatumia pesa zetu za ndaniiiii.Ongo Sana lile jamaa wkt yeye ndio amekopa pesa nyingi kuliko wenzake wote waliopita 😁😁😁😁.Ongo sana
Haha... Kwani hayo madeni yanalipwa na nani?
 
Weeh jamaa wewe hivi kuna mtanzania mwenye akili timamu wanao penda uhuru wa kutoa maoni jf ,twitter ,FB, na kule instagram na huko kwenye jamii mijini na vijijini hivi kweli kabisa akili yako unakubari ikudakunganye kwamba huyo magufuli eti atakumbukwa kwa lipi 🤣🤣🤣 usinichekeshe bhana ni bora ungelisema jembe MKAPA na sio sana maraisi wanaokubalika kwakizazi chetu cha sasa kama wakifa leo tutalia kwa Kusaga meno jembe MWINYI na mwanae wa faida KIKWETE na dada Yao wafaida sana mama SAMIA SULUHU
 
Mabaai ya mikoani yanachosha sana, maana Km 1000+ unatembea kwenye basi. Tofauti na SGR itayokuwa na kasi ya Km 200+/hr.

Gharama za usafirishaji zitapungua sana. Maisha ya wananchi yatapata ahueni. Fikiria mfuko wa saruji kwa kanda ya ziwa ni Tsh 20,000/= kwa sasa.

JPM alichukiwa na mafisadi kwa kulipenda taifa lake.

Magari ya kubebea fuel/petrol, mizigo n.k zitakufa......kwa ujumla transport itakufa.


Kwangu mimi Mama SSH ndie atakuwa amefanya kazi kubwa kuzidi hicho kipande alichokifanya marehemu(Dar to Moro)


Mungu amjaalie mama afya njema
 
Awamu ya Kikwete ilianza upembuzi yakinifu wa SGR
Huyo Kikwete kwani alipaswa atumie hela yake binafsi au kodi zetu?

Je, alijenga hata inch moja tu kwenye SGR?

Au yeye hakuruhusiwa kutumia kodi zetu kuijenga hiyo SGR kama JPM?

Halafu ukatili wake ni upi, kukuondoa kazini kwa kuwa haukidhi vigezo?

Thibitisha hayo mauaji aliyoyafanya.
Kipindi cha Kikwete walifanya upembuzi yakinifu
Katika enzi za yule mshenzi JP Mpiana ndio Tanzania tulishuhudia watu kupotea na kutekwa
Baada ya kuuwawa yule mzee hatuokoti tena maiti pale Coco Beach wala Mto Ruvu
Yule KIMA sabaya amekiri mahakamani kwamba alikuwa anatumwa na yule fisi kupora kwa silaha
Wewe hujui mi nafanya shughuli gani hivyo hayo mambo ya kufukuzwa kazi baki nayo mwenyewe
 
Awamu ya Kikwete ilianza upembuzi yakinifu wa SGR

Kipindi cha Kikwete walifanya upembuzi yakinifu
Katika enzi za yule mshenzi JP Mpiana ndio Tanzania tulishuhudia watu kupotea na kutekwa
Baada ya kuuwawa yule mzee hatuokoti tena maiti pale Coco Beach wala Mto Ruvu
Yule KIMA sabaya amekiri mahakamani kwamba alikuwa anatumwa na yule fisi kupora kwa silaha
Wewe hujui mi nafanya shughuli gani hivyo hayo mambo ya kufukuzwa kazi baki nayo mwenyewe
Swali: huyo Kikwete wako alijenga inches ngapi za SGR?

Tuthibitishie JPM alifanya utekaji au uuaji.

Chuki haijengi, pambana na hali yako.
 
Jpm alichukiwa kwa mauaji aliyoyafanya mpaka watu wakawa wanaokotwa kwenye viroba. Hayo memgine ni yako
Jpm alichukiwa na vyeti feki, watumishi hewa, mafisadi, wala rushwa, wapiga madili, wadhulumaji, wavivu, wakwepa kodi wakijificha kwenye kichaka cha kumwita dikteta na kutengeneza propaganda za watu wanauawa
 
Back
Top Bottom