SGR ikikamilika ndio taifa letu litamkumkuka Hayati Magufuli

Itakamilika lini?
Mabaai ya mikoani yanachosha sana, maana Km 1000+ unatembea kwenye basi. Tofauti na SGR itayokuwa na kasi ya Km 200+/hr.

Gharama za usafirishaji zitapungua sana. Maisha ya wananchi yatapata ahueni. Fikiria mfuko wa saruji kwa kanda ya ziwa ni Tsh 20,000/= kwa sasa.

JPM alichukiwa na mafisadi kwa kulipenda taifa lake.
 
Nyie mnaimba SGR kila siku hivi mmejipanga vipi kuitumia hiyo SGR au ni sofa tu kutamka SGR maana hata wengine ukiwauliza SGR unamaanisha nini hajui kitu.
 
Back
Top Bottom