SGR ikikamilika ndio taifa letu litamkumkuka Hayati Magufuli

tuache tabia ya kutukuza watu katika mambo yanayohusisha wengi, SGR halikuwa wazo la Magufuli, ni moja ya ahadi nyingi ambazo Chama Cha Mapinduzi kiliwaahidi wananchi na kikawapa watu dhamana ya kusimamia utekelezaji wa ahadi hii ni mafanikio ya wengi sio mtu mmoja ni pamoja na Wananchi wa Tanzania wanaolipa kodi, walioshiriki katika ujenzi na usimamizi wa mradi
 
Yaani kwa akili yako huu ndio uthibitisho wa mauaji na dhuluma alizozifanya JPM? Pathetic fool! 😁
 
Yaani kwa akili yako huu ndio uthibitishowa mauaji na dhuluma alizozifanya JPM? Pathetic fool! 😁
😁😁 Nchi hii Ni tajiri saaana,Ni donor kantreeeeeee, tunatumia pesa zetu za ndaniiiii.Ongo Sana lile jamaa wkt yeye ndio amekopa pesa nyingi kuliko wenzake wote waliopita 😁😁😁😁.Ongo sana
 
Kweli ww ni pundaaa...mana hujui hata mradi wenyewe unahusu nn..ebu tuondolee upundaa wako hapaa..
 
😁😁 Nchi hii Ni tajiri saaana,Ni donor kantreeeeeee, tunatumia pesa zetu za ndaniiiii.Ongo Sana lile jamaa wkt yeye ndio amekopa pesa nyingi kuliko wenzake wote waliopita 😁😁😁😁.Ongo sana
Haha... Kwani hayo madeni yanalipwa na nani?
 
Weeh jamaa wewe hivi kuna mtanzania mwenye akili timamu wanao penda uhuru wa kutoa maoni jf ,twitter ,FB, na kule instagram na huko kwenye jamii mijini na vijijini hivi kweli kabisa akili yako unakubari ikudakunganye kwamba huyo magufuli eti atakumbukwa kwa lipi 🀣🀣🀣 usinichekeshe bhana ni bora ungelisema jembe MKAPA na sio sana maraisi wanaokubalika kwakizazi chetu cha sasa kama wakifa leo tutalia kwa Kusaga meno jembe MWINYI na mwanae wa faida KIKWETE na dada Yao wafaida sana mama SAMIA SULUHU
 

Magari ya kubebea fuel/petrol, mizigo n.k zitakufa......kwa ujumla transport itakufa.


Kwangu mimi Mama SSH ndie atakuwa amefanya kazi kubwa kuzidi hicho kipande alichokifanya marehemu(Dar to Moro)


Mungu amjaalie mama afya njema
 
Awamu ya Kikwete ilianza upembuzi yakinifu wa SGR
Kipindi cha Kikwete walifanya upembuzi yakinifu
Katika enzi za yule mshenzi JP Mpiana ndio Tanzania tulishuhudia watu kupotea na kutekwa
Baada ya kuuwawa yule mzee hatuokoti tena maiti pale Coco Beach wala Mto Ruvu
Yule KIMA sabaya amekiri mahakamani kwamba alikuwa anatumwa na yule fisi kupora kwa silaha
Wewe hujui mi nafanya shughuli gani hivyo hayo mambo ya kufukuzwa kazi baki nayo mwenyewe
 
Swali: huyo Kikwete wako alijenga inches ngapi za SGR?

Tuthibitishie JPM alifanya utekaji au uuaji.

Chuki haijengi, pambana na hali yako.
 
Jpm alichukiwa kwa mauaji aliyoyafanya mpaka watu wakawa wanaokotwa kwenye viroba. Hayo memgine ni yako
Jpm alichukiwa na vyeti feki, watumishi hewa, mafisadi, wala rushwa, wapiga madili, wadhulumaji, wavivu, wakwepa kodi wakijificha kwenye kichaka cha kumwita dikteta na kutengeneza propaganda za watu wanauawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…