Mabaai ya mikoani yanachosha sana, maana Km 1000+ unatembea kwenye basi. Tofauti na SGR itayokuwa na kasi ya Km 200+/hr.
Gharama za usafirishaji zitapungua sana. Maisha ya wananchi yatapata ahueni. Fikiria mfuko wa saruji kwa kanda ya ziwa ni Tsh 20,000/= kwa sasa.
JPM alichukiwa na mafisadi kwa kulipenda taifa lake.