SGR impacts kwa biashara ya mabasi yaanza kuonekana. Abood Bus kaamua kujiongeza

Abiria 900 sawa na mabasi 150!!! Yaani kila bus linabeba watu 6 tu!!!
 
kwa nauli ya SGR haitadumu sana kwenye biashara mabus yatakua palepale kifupi SGR ni UDART ya umeme
 
AFANYE MWENDO KASI
 
Route mpya zipi????
 
SGR ni Uwekezaji mzuri wa Serikali, maana pamoja na kuokoa muda Kwa Wasafiri wengi.

Pia inasaidia kulinda Miundombinu yetu ya Barabara.

Hofu yangu ni kuwa je, hao Wafanyabiashara -Wabunge watakubali huo Uwekezaji wa SGR ufanye kazi Kwa Ufanisi pasipo kuua?

Mnakumbuka ule Ugomvi wa JPM na Wamiliki wa Malori miaka ile akiwa Waziri wa Ujenzi na miundombinu??

Hao Wabunge/Wafanyabiashara wanaweza kuhujumu huo Mradi kama walivyohujumu Mradi wa Reli ya Mizigo ili wafanye biashara yao ya Malori
 
Kama wao ndio walkuwa waasisi kwann wakati Hayati JPM anaanza kuijenga walisema ni matumizi mabaya ya fedha!? Mtu yyte anae na aliekuwa anapingana na Magufuli huyo Mindset yake ni ndogo sana.

Jana kuna uzi uliwekwa hapa waTz wakishangaa kwann idadi ya raia wanaotumia usafiri wa anga ni ndogo ukilinganisha na nchi jirani Kenya!? Hapo nikaona mlivyokuwa na akili na papatiapapatia na nikawaza vp kama mzee baba JPM angediriki kuwasikiliza watu wenye Mindset za kiwaki!? Inamaana nchi hii tungekuwa na watu laki 6 tu wanaosafir kwa ndege ndani ya mwaka wote, terrifically waBongo akili hamna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…