Huyo Bibi ndiyo wewe sasa miaka kadhaa inayo kuja.Bus zitaendelea kupiga root kama kawaida,maana nahisi Kuna mashrti kwenye hiyo train ambapo kwenye bus ni ruksa.
Imagine bibi anatoka Dom na gunia la mahindi kilo 50 kama zawadi na Tenga la kuku.atapanda treni au basi?
Na bus zenyewe sasa hivi hata kioo tu hawataki ufungue sijui huyo kuku wanamweka wapiBus gani unakaa na gunia la mahindi?
Bus gani unaingia na kuku ndani?
Ntapamda bus mjukuu wanguHuyo Bibi ndiyo wewe sasa miaka kadhaa inayo kuja.
So
Imagine bibi Abigail anatoka Dom na gunia la mahindi kilo 50 kama zawadi na tenga la kuku.
Uta panda treni au bus ?!
Ebu tujibu sister Abigail
UnampakataNa bus zenyewe sasa hivi hata kioo tu hawataki ufungue sijui huyo kuku wanamweka wapi
😀😀😀😀😀 Hujakosea BibiNtapamda bus mjukuu wangu
Hiyo treni itakua ishajichokea na kujifia huko.kama ujuavyo miradi chini ya serikali haina ufanisi