SGR impacts kwa biashara ya mabasi yaanza kuonekana. Abood Bus kaamua kujiongeza

SGR impacts kwa biashara ya mabasi yaanza kuonekana. Abood Bus kaamua kujiongeza

Kwammba mtu asafiri masaa 8 kwa basi badala ya masaa ma4 kwa Treni? Ili iweje..
Hata mm nashangaa, hapo tegemea mass adoption,
Watu watatumia sana SGR badala ya mabus,
SGR kikubwa waongeze safari , waweke na route ya wazee wa popo,
Treni itoke dar saa 8 usiku saa 12 asubuhi iwe Dom
 
Siku ya kwanza tuu Sgr imeasafirisha Abiria zaidi ya 900 kutoka Dar-Moro-Dom ambapo hapo ingekuwa ni zaidi ya Mabasi 15.

Baada ya kuona hivyo Kampuni ya Mabasi ya Abood wameamua kujiongeza na kuanza route Mpya ambazo hazikuwepo hapo kabla baad ya kupokwa tongue lake nono la Dar-Dom

View attachment 3051376

My Take
Ile Mikoa ilikuwa inapata Mabasi ya hovyo hovyo Sasa itapata Mabasi mazuri maana SGR imewatia adabu huko.

View attachment 3051377
SGR itaiufa kibudu Kama ilivyo kwa miundombinu mingine inayomilikiwa na Serikali. Kwani TAZARA iko wapi sasa hivi???
 
Siku ya kwanza tuu Sgr imeasafirisha Abiria zaidi ya 900 kutoka Dar-Moro-Dom ambapo hapo ingekuwa ni zaidi ya Mabasi 15.

Baada ya kuona hivyo Kampuni ya Mabasi ya Abood wameamua kujiongeza na kuanza route Mpya ambazo hazikuwepo hapo kabla baad ya kupokwa tongue lake nono la Dar-Dom

View attachment 3051376

My Take
Ile Mikoa ilikuwa inapata Mabasi ya hovyo hovyo Sasa itapata Mabasi mazuri maana SGR imewatia adabu huko.

View attachment 3051377

Pia soma Tathimini: Ujio wa treni ya kisasa na athari zake kwa biashara ya usafiri wa anga na barabara

View: https://twitter.com/maelezonews/status/1816434497623113808?t=0rDCYHtF6t1sov1PnaT1bA&s=19
 
Baada ya mwaka watu watalichoka hilo treni na kuanza kurudi kwenye mabasi.
Abiria wamejazana hivyo kwa sababu ya kwenda kulishangaa
Wasiwasi wangu ni ktk kufubaa kwa huduma,si ktk kulizoea train.
Ukiangalia hata mwendokasi BRT kinachoihujumu ni huduma za kipuuzi zilizoletwa na mazoea,abiria wanakimbia.

Kama wataendelea na huduma bora,haraka na uhakika basi hakuna atakayelichoka.
 
Yaani abiria wachoke sgr usafir wa uhakika na chap bila usumbufu warudi kwenye kugombaniwa na wauza ticket wa mabus
 
Wengibwanapanda sababu ya Ushamba na ugeni wa Treni,wakilichoka wataacha na litaanza kwenda Tupu hilo dude,nauli ni kubwa sanaa.
We ndio mshamba usafir wa treni ndio unatumika nchi nyingi hio bei ni sawa ukiona kubwa we panda bus
 
Bus zitaendelea kupiga root kama kawaida,maana nahisi Kuna mashrti kwenye hiyo train ambapo kwenye bus ni ruksa.

Imagine bibi anatoka Dom na gunia la mahindi kilo 50 kama zawadi na Tenga la kuku.atapanda treni au basi?
Kuna malori kazi yao ni kusafirisha hao Kuku na magunia ..
 
Yaani abiria wachoke sgr usafir wa uhakika na chap bila usumbufu warudi kwenye kugombaniwa na wauza ticket wa mabus
Anachomaanisha baada ya muda hayatakua tena masaa manne
Unaweza kutumia masaa 12, mfano unaweza kuambiwa inaondoka saa 4 asubuhi, lakini ikaondoka saa 10 jioni.

Mm nawish waendelee hivi hivi na naaaombea
 
Sio kweli

Abood ana mabasi mengi

Kuna mabasi yalishuka bandarini hivi karibuni
​
 
Soko la mabasi bado linadai tena sana tu. Abood au hata Shabiiby hawapaswi kusikitishwa au kukatishwa tamaa na ujio es SGR_TZ. Kuna route za Dodoma kuelekea magharibi ya nchi zinadai. Dom-Kigoma kupitia Tabora au Kahama ni mojawapo ya route zinazoweza kuchukua nafasi za Dom Mor Dom Dar.
Utafiti niliofanya unaonyesha uhitaji makubwa wa usafiri wa mabasi magharibi mwa Tanzania na mashariki mwa nchi za Rwanda na Burundi.
Huko magharibi SGR ndio inaelekea, si ajabu mwakani ikakamilika ya dar moro dodoma tabora
 
Hiyo treni miezi 3 mingi ngoja hype iishe maji na mafita yatajitenga labda mupige pini bus za Moro -Dodoma maana hata Dart mlianza hivi hivi baadas chali.
 
Back
Top Bottom