SGR impacts kwa biashara ya mabasi yaanza kuonekana. Abood Bus kaamua kujiongeza

SGR impacts kwa biashara ya mabasi yaanza kuonekana. Abood Bus kaamua kujiongeza

Bus zitaendelea kupiga root kama kawaida,maana nahisi Kuna mashrti kwenye hiyo train ambapo kwenye bus ni ruksa.

Imagine bibi anatoka Dom na gunia la mahindi kilo 50 kama zawadi na Tenga la kuku.atapanda treni au basi?
Unazani ni fuso hilo
 
Halafu huyu na wengine wenye mabasi na malori, ndo tunawategemea huko bungeni waseme mema kuhusu usafiri wa abiria na mizigo kwa treni..!!! CONFLICT OF INTEREST..!!

Kwamba mbunge na akili zake huku akiwa na malori 200 na mabasi 200, aje aseme kitakachoendeleza ufanisi wa SGR..!! Thubutu, hakuna mtu wa kujinyonga huku akiona..!!
We kwa fikra zako unadhani atafirisika kwa sababu ya SgR?
 
Sorry, Naombeni site ya kudownload full movie free za makampuni ya movie kama universal pictures
 
Sgr is different man, credit where is due
Same like BRT ilivyoanza watu walikuwa wanakwenda mjini bila shughuli maalum ili mradi akapande bus la mwendokasi na wakatabiri kwamba biashara ya daladala zitakufa lkn leo hii daladala bado zipo zinaendelea na bado hazitoshi
 
Siku ya kwanza tuu Sgr imeasafirisha Abiria zaidi ya 900 kutoka Dar-Moro-Dom ambapo hapo ingekuwa ni zaidi ya Mabasi 15.

Baada ya kuona hivyo Kampuni ya Mabasi ya Abood wameamua kujiongeza na kuanza route Mpya ambazo hazikuwepo hapo kabla baad ya kupokwa tongue lake nono la Dar-Dom

View attachment 3051376

My Take
Ile Mikoa ilikuwa inapata Mabasi ya hovyo hovyo Sasa itapata Mabasi mazuri maana SGR imewatia adabu huko.

View attachment 3051377
Pongezi kwq Mwamba
1693938687100.jpg
 
Ufanisi wa SGR naupa 5yrs max, tutarudi hapa kulalamikia uendeshaji wake. We've never been serious as a country, neither have we performed well in running state companies.
 
Back
Top Bottom