Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,788
- 34,782
Wasiwasi wangu kadogosa asije kukubali mambo ya two to four hours delaysWanaanzaga mambo kwa moto huko mbele sasa
Ova
Treni inatakiwa kuondoka saa 4 inajikuta inaondoka saa 10
Wasiwasi wangu kadogosa asije kukubali mambo ya two to four hours delaysWanaanzaga mambo kwa moto huko mbele sasa
Ova
CC Lucas MwashambwaYaani abiria wachoke sgr usafir wa uhakika na chap bila usumbufu warudi kwenye kugombaniwa na wauza ticket wa mabus
ni sawa na kutoa pesa mfuko wa mbele kuwewka mfuko wa nyuma maana wamiliki ndo haohao au mnasemajeSiku ya kwanza tuu Sgr imeasafirisha Abiria zaidi ya 900 kutoka Dar-Moro-Dom ambapo hapo ingekuwa ni zaidi ya Mabasi 15.
Baada ya kuona hivyo Kampuni ya Mabasi ya Abood wameamua kujiongeza na kuanza route Mpya ambazo hazikuwepo hapo kabla baad ya kupokwa tongue lake nono la Dar-Dom
View attachment 3051376
My Take
Ile Mikoa ilikuwa inapata Mabasi ya hovyo hovyo Sasa itapata Mabasi mazuri maana SGR imewatia adabu huko.
View attachment 3051377
Pia soma Tathimini: Ujio wa treni ya kisasa na athari zake kwa biashara ya usafiri wa anga na barabara
Bado tuna ulimbukeni katika masuala ya usafiri. Nchi za wenzetu transport zote zinafanya kazi kwa pamoja bila kuathiriana. Tanzania itafikia huko pia. Sidhani kama SGR kweli itaathiri usafiri wa mabasi kama wengi wanavyoeleza.Siku ya kwanza tuu Sgr imeasafirisha Abiria zaidi ya 900 kutoka Dar-Moro-Dom ambapo hapo ingekuwa ni zaidi ya Mabasi 15.
Baada ya kuona hivyo Kampuni ya Mabasi ya Abood wameamua kujiongeza na kuanza route Mpya ambazo hazikuwepo hapo kabla baad ya kupokwa tongue lake nono la Dar-Dom
View attachment 3051376
My Take
Ile Mikoa ilikuwa inapata Mabasi ya hovyo hovyo Sasa itapata Mabasi mazuri maana SGR imewatia adabu huko.
View attachment 3051377
Pia soma Tathimini: Ujio wa treni ya kisasa na athari zake kwa biashara ya usafiri wa anga na barabara
Lakini uhitaji wa huduma ya mabasi na maroli sehemu reli isikofika hatuwezi kufutika kamwe. Mfano; wasafiri wakiishafika Kigoma watahitaji kusafiri kwenda Kasulu, Kibondo, Mpanda, Sumbawanga, Kakonko, Bihalamro etc ... Ambapo hakuna reli na barabara ni lami tupu.Huko magharibi SGR ndio inaelekea, si ajabu mwakani ikakamilika ya dar moro dodoma tabora
Bei ya tiketi ni kubwa ukilinganisha na nauli ya bus maana yake watakaokuwa wanapanda ni wale wenye dharula tu za haraka,kwa mtu asiye na dharula hata akichelewa kufika kwa bus hana preshaKwammba mtu asafiri masaa 8 kwa basi badala ya masaa ma4 kwa Treni? Ili iweje..
hiyo pia ni sababu mojawapo,maana yake sasa hivi kwa vile lipo kwenye uzinduzi kila kitu ni kipya,huduma safi ila baada ya mwaka kila kitu kitakuwa shaghalabaghalaWasiwasi wangu ni ktk kufubaa kwa huduma,si ktk kulizoea train.
Ukiangalia hata mwendokasi BRT kinachoihujumu ni huduma za kipuuzi zilizoletwa na mazoea,abiria wanakimbia.
Kama wataendelea na huduma bora,haraka na uhakika basi hakuna atakayelichoka.
Mwalimu aliyekufundisha somo la hesabu akamatwe na kuhojiwa!!Toa sifuri hapo mwisho ni 15
Morogoro bei ya chini kwa SGR ni kiasi gani na kwa basi ni kiasi gani?, hali kadhalika kwa Dodoma, ratio ipoje?Bei ya tiketi ni kubwa ukilinganisha na nauli ya bus maana yake watakaokuwa wanapanda ni wale wenye dharula tu za haraka,kwa mtu asiye na dharula hata akichelewa kufika kwa bus hana presha
Yeah, hata kwa behewa walau chache sio mbayaHata mm nashangaa, hapo tegemea mass adoption,
Watu watatumia sana SGR badala ya mabus,
SGR kikubwa waongeze safari , waweke na route ya wazee wa popo,
Treni itoke dar saa 8 usiku saa 12 asubuhi iwe Dom
Kweli kabisaWasiwasi wangu kadogosa asije kukubali mambo ya two to four hours delays
Treni inatakiwa kuondoka saa 4 inajikuta inaondoka saa 10
Mamizigo ya nnSi nasikia wamekataza kupanda na mashangazi kaja.!?
Hapo lazima bus zitaendelea kubeba raia
Kadogosa awe makini sana, asikubali wazembeKweli kabisa
Ova
Wasi wasi ndiyo hao wazembeKadogosa awe makini sana, asikubali wazembe
Kuna sehemu afanyie kazi, kwenye kupishana kuna delay ya Hadi nusu saa.Wasi wasi ndiyo hao wazembe
Kadogosa akaze hasa
Ova
Sasa utasafiri vipi bila mizigo? Huku sio ulaya mkuu.!!Mamizigo ya nn
Ova