Nadhani ujenzi wa reli ya kisasa ni jambo ghali Sana. Wakoloni walijenga reli kibiashara je SGR inajengwa kibiashara pia? Bidhaa zipi kutoka wapi zitasafirishwa kifaida kwenda wapi?
Sioni mazao ya kilimo, bidhaa za viwandani wala mizigo ya bandari mingi Sana inayohitaji kuyafikia masoko haraka na Kwa wingi.
Ujenzi wa SGR ungeendana na upanuzi wa bandari, mashamba na viwanda. Lakini hata tukipanua masoko ya bidhaa hizo ni akina nani ambao wanaishi wapi?
Watakuwa wanaonekana Dodoma mapaka saa1 jioni giza likiingia tu wanarudi kulala dar,kesho yake asubuhi unamkuata tena ofisiniItakuwa ikisafirisha watumishi kutoka dar kwenda dom, maana hawataki kuishi dom
Watakuwa wanaonekana Dodoma mapaka saa1 jioni giza likiingia tu wanarudi kulala dar,kesho yake asubuhi unamkuata tena ofisini
Nafikiri hii ndo aim na si mizigoItakuwa ikisafirisha watumishi kutoka dar kwenda dom, maana hawataki kuishi dom
Hilo haliwezekani, kwa safari ya masaa 6 njia moja,kazi watafanza saa ngapi Kama watumia masaa 12 njiani(to&fro).....Watakuwa wanaonekana Dodoma mapaka saa1 jioni giza likiingia tu wanarudi kulala dar,kesho yake asubuhi unamkuata tena ofisini
Masaa 3 kwenda Dom haitawezekana..........tutaweka train ya mwendo kasi toka dodoma saa tatu usiku kwenda dar,kisha toka dar saa kumi na moja alfajiri ili wafanyakazi wawahi dom kazini,kusafirisha ngombe na mazao toka kanda ya ziwa etc,mazao kama viazi vitamu,mahindi,maharagwe etc
Itatumia masaa nane na nusu Hadi mwanzaMasaa 3 kwenda Dom haitawezekana..........
Reli inayojengwa itakuwa na uwezo juu wa spidi 140km/hr, reli kwa njia inayopita na kandarasi iliyo sainiwa Ni km 600+ Hadi Dom......
Kwa hesabu rahisi; treni itakoyopita juu ikienda kwa spidi ya juu kabisa Ni 140km/hr (usalama pembeni+ hakuna kusima vituo katikati),umbali 600km....
600km ÷ 140km/hrs (umbali gawa kwa spidi)= 5hrs
Vipi ukiweka usalama kwa kutomaliza spidi ya mwisho na ikasima hata vituo 2(Moro, kilosa) haya itachache kutumia 6hrs kufika Dom.....
Nani ataenda kufanya kazi (kwenda na kurudi) kwa siku, masaa 12 kwenye treni na bado huishi/hukai stesheni ya dar(umbali wa kwenda nyumbani/kazini)
Mkuu kwani umesahau jinsi ambavyo tz tukitaka kufanya mradi flani jinsi ambavyo huwa unakuzwa Tena kwa tambo......@COSMOLOGIST,hapo umenijibu kitaalamu,sina ubishi
Duh........labdaItatumia masaa nane na nusu Hadi mwanza
Ila Hadi mwanza umbali lazma ufike km 1500(Kama itazunguka tabora Kama hii ya Kati/iliyopo)....Masaa 3 kwenda Dom haitawezekana..........