SGR Kenya sasa rasmi ni "Big white Elephant", Maneno ya " Ndii yatimia.

Believe whatever you wish. Doesn't change the reality.

Ahaaa haaa haaa
It goes as pure as simple like that!!?
May be you are suffering from psychological bias of heuristic simplification.

The empirical evidence is disputed by empirical one.
 
Kuna msemo maarufu usemao kwamba," Namba hazidanganyi". Hesabu za mapato na matumizi yanaonyesha kwamba, SGR ya Kenya haina uwezo wa kuzalisha hata gharama za uendeshaji kwa mwaka ambayo kwa sasa ni Kshs 12B. Hii ni kutokana na ukweli kwamba imetengeneza 5.8B ndani ya kipindi cha zaidi mwaka mmoja kiasi ambacho ni chini ya 50% ya gharama za uendeshaji. Jambo la kuogopesha zaidi ni kwamba trains zaidi ya 12 kwa siku zimekua zikifanya kazi.

David Ndii, alishawahi kuekeza Mara nyingi sana kuhusu " viability & profitability " ya huu mradi na alishauri kwamba badala ya kujenga reli mpya, ni bora kukopa pesa kidogo ili kufufua reli ya zamani. Maneno yake yametimia:
1) SGR imesababisha Kenya kuwa na deni kubwa linalolipwa na kodi ya wananchi
2) SGR haiwezi kujiendesha, jambo linalolazimisha serikali kutoa pesa za wananchi ili kugharamia gharama za uendeshaji, mwaka Jana pekee serikali ilitoa 6.2B kufikia hasara.
3) Sasa hivi ndio serikali imeona umuhimu wa kufufua reli ya zamani ili kuunganisha na SGR, jambo ambalo litaongeza sana gharama za uendeshaji na usafirishaji kutokana na gharama za kushusha na kupandisha pale Naivasha.
Mwezako akinyolewa wewe tia maji
 
I started using my brain probably before you were born. For your information; am self-employed and am an employer. I know what the business world demands. It is stupidity thinking that an asset that was acquired on loan is always more expensive to operate than the one acquired otherwise. Ever heard of opportunity and notional costs? Kuna wakati kuwa na nyumba yako mwenyewe ni more expensive operation-wise than renting.
You are more than insanity... let it say you are asshole. Even the business you are doing is stink!!
 
Hizo ni hesabu zako wewe na Ndii, Hesabu za ESIA zinaonyesha tuko right on track

View attachment 1115172

Vipi kuhusu hii article, pia nimeandika Mimi na David Ndii?, kama train 12 kwa siku zinazalisha 50% ya gharama za uendeshaji, maana yake zinahitajika 24 trains kwa siku ili kufikisha gharama za uendeshaji, sasa hiyo ni reli au barabara?
 
Yaani huu mjadala baada ya kujenga hoja za maana mnaingiza siasa, Sasa nasema mm 2015 nilimpa kura magufuli ila now naomba malaika waje wamchukue magufuli waturudishie mengi.
Kuna mijitu ya ajabu kweli wao kila kitu lazima waweke siasa na ubishi tu na huku wanatumia ID hewa, kama Kenya wamekumbana na changamoto lazima TZ tujufunzenkutika kwao tusipitie magumu. Japo mradi unaendelea tuna nafasi ya kujifunza na kuboresha zaidi. Kwa sasa hatuna umeme wa uhakika labda mpaka hiyo stiglers ikikamilika. Ghalama naiona katika kukodi Generata za kama symbion kwenye vituo vikubwa kama backup. Na wale ucharge likiwaka ama limezima. Tujioange zaidi.
 
Kaka umesema vizuri sana, sisi huwa tunajifunza kutokana na makosa, ndio sababu tuliamua kujenga ya UMEME baada ya kugundua makosa yalitofanywa na Kenya.

Kuhusu umeme wa kutosha kuendesha trains, labda ni kuulize swali, umeme wa kusukuma train za umeme ni kiasi gani na kwasasa tunazalisha kiasi gani, na mahitaji yetu kwasasa ni kiasi gani?
 
Gross External debt ya Kenya ni approx $25B, China is owed less than $6B of that,

1115195

1115196

Kama Kenya itaanguka sababu madeni, It won't be because of China, Tukiamua kulipa deni la China pekee tunaweza kulipa kwa mwaka mmoja tu .......

Kwa mfano malipo ya madeni kutoka kwa wakopeshaji tofauti for 2018/19 financial year ilikua yote ni $6.35B, hio ni sawa na kulipa deni lote la China ndani ya mwaka mmoja.....

At least Sh635.3 billion of the Sh1.8 trillion spent by the government since July last year has gone to paying public debt.
 
Vipi kuhusu hii article, pia nimeandika Mimi na David Ndii?, kama train 12 kwa siku zinazalisha 50% ya gharama za uendeshaji, maana yake zinahitajika 24 trains kwa siku ili kufikisha gharama za uendeshaji, sasa hiyo ni reli au barabara?

Ahaaa haaa haaa
bro even the expense ratio will move in the same fashion. it means, will also double.
 
Gross External debt ya Kenya ni approx $25B, China is owed less than $6B of that,

View attachment 1115195
View attachment 1115196

Kama Kenya itaanguka sababu madeni, It won't be because of China, Tukiamua kulipa deni la China pekee tunaweza kulipa kwa mwaka mmoja tu .......

Kwa mfano malipo ya madeni kutoka kwa wakopeshaji tofauti for 2018/19 financial year ilikua yote ni $6.35B, hio ni sawa na kulipa deni lote la China ndani ya mwaka mmoja.....
Wewe kichwa yako umekunywa" Bia za kitonga na umechanganya na Nyagi?". Nchi juzi imekazimika kuomba pesa WB ili Ku support bajeti ya maendeleo, miezi miwili tu baada ya kukopa pesa toka Europe, wewe unasema habari ya kulipa madeni, acha kuota wewe.

Ngoja nikuambie, hata kama madeni yote ya Kenya yakifutwa Leo hii, bado Kenya haina uwezo wa kuendesha nchi na kutekeleza miradi ya maendeleo bila kukopa.

Wewe umeona wapi 50% ya Government revenue kulipa salaries pekee?, wewe umeona wapi nchi ikitoa ulinzi kwa wabunge, Governors, Mawaziri 24/7?.
Marekani ni Senators 10 tu ndio wenye ulinzi 24/7 tena wanajilipia wenyewe.
 
Leo nimekuelewa, kumbe hua ukianza kushindwa kujadili kitu ndo unaanza matusi 😂😂😂
Yote uliyosema hayaondoi ukweli kwamba mwaka huu serekali imelipa $6.35B ya madeni..... Ama kama una ushahidi mbadala uletee hapa uniambie kama umesikia kesi yoyote kuhusu Kenya ku default na kushindwa kulipa madeni na interest yake mwaka huu.
 
Leo nimekuelewa, kumbe hua ukianza kushindwa kujadili kitu ndo unaanza matusi [emoji23][emoji23][emoji23]
Yote uliyosema hayaondoi ukweli kwamba mwaka huu serekali imelipa $6.35B ya madeni..... Ama kama una ushahidi mbadala uletee hapa uniambie kama umesikia kesi yoyote kuhusu Kenya ku default na kushindwa kulipa madeni na interest yake mwaka huu.
Kwanza nipe ushahidi kwamba mwaka huu mumelipa hayo madeni ya pesa hiyo $6.35B, pili ninaomba uniambia ni kiasi gani Kenya imekopa kati kipindi hicho, tabia yenu mnakupa ili kulipa deni, sasa hapo si ndio mnazidi kulimbikiza madeni badala ya kuyapunguza, kama kweli mnalipa toka katika mapato yenu, mbona deni la taifa linazidi kuongezeka badala ya kupungua?
 
You are more than insanity... let it say you are asshole. Even the business you are doing is stink!!

No wonder unamuabudu Magufuli. Mtu mwenye akili timamu hawezi kuandika ulichoandika hapa.
You know what? You guys get irritated when you are faced with hard and undisputable facts, just like your god Magufuli. And what happens when you are faced with truth? Mnatukana, mnapiga watu risasi, mnawasweka rumande on trumped up charges etc etc.
But facts will always remain facts. And one of these is; mungu wenu is incompetent and has absolutely no clue on how to manage the country. Everything he touches - tangu akiwa waziri- has always failed miserably. Najua hampendi kuambiwa ukweli but that's the reality.
1. Alivunja mikataba ya ujenzi (Rombo - Tarakea na Ile ya Wazo), serkali ikalipa fidia
2. Aliendesha kampeni aliyoiita "magari ya serikali yaliyochukuliwa na watu binafsi" bila kufanya utafiti (na angekuwa na akili angejua kuwa hao watu walikopeshwa hayo magari na serikali hiyo hiyo). Serikali ikalipa fidia.
3. Kivuko cha Bagamoyo eti kupunguza msongamano, billions of shillings lost.
4. He has destroyed export channels of most traditional crops including coffee, cotton, tobacco and cashew nuts.
The list goes on and on.

Hata mkitukana, mkaimba mapambio ya kumsifu, the facts will remain facts. Ndio Rais pekee hadi Leo ambae serikali yake (pamoja na kudhulumu watu) anashindwa kulipa salary increments achilia mbali kuongeza mishahara.
Tuna Rais wa ajabu kupata kutokea.
 
Asshole comments!
 
Kweli kabisa, fact itabaki kuwa fact. Wewe ni mwanaume pekee ambaye umemkubali mtoto wako aliyezaliwa nje ya Expected date of delivery(EDD), ila kutokana na akili yako mbovu, ulishindwa hata kufuatilia huo ukweli ukashangilia kubambikiziwa mtoto, hiyo inabaki kuwa fact, japo unabisha, ukitaka ushahidi upo.
 
Asshole comments!

Najua kisu kimegonga mfupa, lazima utukane maana huwezi kutoa facts zinazopinga these ones that have your goat (hata mungu wako Magufuli - there's a chap who calls him "********" nae hawezi pia). Enjoy being a ******** worshiper.
 
Leta ushahidi.

Nasubiri ushahidi.
 
Najua kisu kimegonga mfupa, lazima utukane maana huwezi kutoa facts zinazopinga these ones that have your goat (hata mungu wako Magufuli - there's a chap who calls him "********" nae hawezi pia). Enjoy being a ******** worshiper.
Shughulikia DNA ya mtoto wako kwanza, 40% ya watoto sio baba zao, I promise you, you are among them, that is a fact. Acha kupoteza nguvu kwa kuzungumzia vitu bila kuweka ushahidi. The best evidence to know is your child is by DNA test, acha tabia ya kuamini vitu bila ushahidi.
 
Back
Top Bottom