Mfiaukweli
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 5,636
- 8,777
Basi kaeni kando mle malimau yenu bila kutunugunukia eti tuna waimbia viongozi wetu mapambio. Hiyo ndio tabia ya binadamu hata kwa wastaarabu america..Nyinyi ni nyumbu hivyo hamna hiyo desturi, lazima tuwaazime kiongozi mumuabudu wakati wa uchaguzi, 2020 tunawapea membe
Ninung'unikie unavyovishabikia? You can keep them as am not that stupid. For your information, my wish is for your god to have his second term (akitolewa anaweza akaja mpumbavu mwingine tena na watu watasema ngoja tumpe nafasi Kwa kuwa Watanzania ni docile). Ila akibaki kila
Mtanzania (hata awe mburula kiasi gani) atafunguka kutoka kwenye ujinga alionao based on the actual circumstances. Leo hii petty theft imeongezeka, polisi wanapewa rushwa wafumbie macho uhalifu (nikitaka kuiba Leo hii nitamsingizia mtu ninaetaka kumuibia UCHADEMA na polisi watamsulubu ili nifanikiwe baadae tugawane). A bigger scale crime is on the way, na kila mtu (including wewe muimba mapambio na mkata viuno) ataathirika one way or the other. Shangilieni Leo na mkate Sana viuno Ila mtajua tunachowaambia muda si mrefu ujao.