SGR Kenya sasa rasmi ni "Big white Elephant", Maneno ya " Ndii yatimia.

Wakoloni waliweza mbona?? Hizo number sio za kweli...
It is even more scary to Tanzania. Kumbuka production ya Kenya ni more than thrice ya Tanzania which in turn means wana mizigo mingi zaidi yetu. So if that is the case with their SGR, what will happen to ours?
 
Umeongela nauli ya kwenda KIA inazid laki mbili..nenda webiste ya ATC nauli haijafika laki mbili....

Kama hiyo ni bias, unaongeleaje 115,000 niliyoitaja kwenye post hiyo hiyo? Jitahidi kulinganisha the likes including context. Ulitilia maanani "hoja" iliyosababisha nikatoa hayo maoni?
 
Umewekewa screenshot hapo kuonyeshwa ushahidi, wewe nilipokuomba uweke screenshot ulishindwa. Tafadhali sana, kama unataka" constructive na progressive discussion " lazima utumie " direct evidences" hapana kutumia Maneno matupu.

Wewe ulisema kipindi cha Fastjet nauli kwenda KIA ilikua chini ya laki mbili, lakini sasa hivi tickets zimepanda sana. Jamaa amekuwekea ushahidi kukuonyesha kwamba ticket hazijapanda, sasa wewe ulitolea wapi hiyo ya tickets kupanda sana?
 
Don't move the goal posts. Ongelea context ile ile niliyoitumia based on your fellow worshiper's misrepresentation. By the way same thing ilishaletwa hapa.

Wewe unamatatizo ya akili. Elewa haya vizuri
1) Anguko la fastjet halina uhusiano na sera za serikali.Wao wenyewe walijitekenya kwa kuweka nauli za chini huku wakiwa na mikopo mikubwa na ndege zao zote ni za kukodi 👇👇

2) Hata kama ATCL wanadai nauli kubwa( Bado hujaleta ushahidi) Soko ni huru na ungetarajia mwenye bei kubwa (Atcl) akose abiria

3)Usafiri wa ndege ni muhimu kwa mawasiliano na biashara ndani ya nchi.Kamwe hauwezi wachiwa private sector ambayo hauna uhakika wanaweza endesha bila matatizo ya cancellations maana private sector na ukanjanja wao wanaweza kataa kwenda route fulani sababu haileti faida.

Mfano: Serikali ingeamua kuwachia ujenzi wa barabara na usambazaji wa umeme mashirika binafsi, Kunauwezekano vijiji vingi ambavyo wananchi hawana uwezo mkubwa wangeishi gizani na bila barabara.
 
Wewe unamatatizo ya akili. Elewa haya vizuri
1) Anguko la fastjet halina uhusiano na sera za serikali.Wao wenyewe walijitekenya kwa kuweka nauli za chini huku wakiwa na mikopo mikubwa na ndege zao zote ni za kukodi 👇👇

2) Hata kama ATCL wadai nauli kubwa( Bado hujaleta ushahidi) Soko ni huru na ungetarajia mwenye bei kubwa (Atcl) akose abiria

3)Usafiri wa ndege ni muhimu kwa mawasiliano na biashara ndani ya nchi.Kamwe hauwezi wachiwa private sector ambayo hauna uhakika wanaweza endesha bila matatizo ya cancellations maana private sector na ukanjanja wao wanaweza kataa kwenda route fulani sababu haileti faida.

Mfano: Serikali ingeamua kuwachia ujenzi wa barabara na usambazaji wa umeme mashirika binafsi, Kunauwezekano vijiji vingi ambavyo wananchi hawana uwezo mkubwa wangeishi gizani na bila barabara.

Mwenye akili unaamini kunyimwa leseni na kibali cha kuingiza Embraer serikali haihusiki! Good for you. Kama hizo ndizo akili give me foolery anyday.
 
Elewa hoja sio kuleta vioja
TCAA wanatumia sheria moja kwa kila shirika linalotaka kuingiza ndege nchini. Hata ATCL walipigwa ban miaka ya nyuma. Usafiri wa ndege = safety first kote nduniani.
Kwa mujibu wa taarifa hii umeelewa kwanini fastjet ilianguka, masingizio ya sera za serikali ni siasa zenu butu
 
Mwenye akili unaamini kunyimwa leseni na kibali cha kuingiza Embraer serikali haihusiki! Good for you. Kama hizo ndizo akili give me foolery anyday.
Unawezaje ingiza ndege nchini na bado upo kwa bann? Hauja rekebisha matatizo yaliyo kufanya uwekwe ban tena unataka kuleta ndege? Ama unataka sheria inayo tumika kudhibiti ATCL iwe tofauti na inayo tumika kwa fastjet?
Wewe kichwa umejaza propaganda tupu
 
As I expected, huwezi kuelewa ujinga uliopo kwenye hizo kauli nilizozitolea mfano. Ngoja nikufafanulie:
1. Ethiopia hawawezi kutumia bandari ya Dar maana sio feasible economically.
2. Zuma asingeweza ku-influence BRICS kutoa mkopo simply kwa kuwa kuna taratibu ambazo ni independent of any head of state. Ni ujinga ule ule alioufanya kwa kutuambia "nimemwandikia Waziri Mkuu wa Canada ili aamuru ndege iachiliwe".

My 16 years old son would have handled the two better.
Mbona ndege iliachiliwa lakini
 
Elewa hoja sio kuleta vioja
TAAC wanatumia sheria moja kwa kila shirika linalotaka kuingiza ndege nchini. Hata ATCL walipigwa ban miaka ya nyuma. Usafiri wa ndege = safety first kote nduniani.
Kwa mujibu wa taarifa hii umeelewa kwanini fastjet ilianguka, masingizio ya sera za serikali ni siasa zenu butu

Let people be the judge here. Waziri Kamwelwe alikuwa na maana gani alipotutangazia hadharani "Fastjet walitu-beep na tukawapigia"? Embraer zina safety issues gani?

Btw: Post yako #243 umeandika hivi: "...3)Usafiri wa ndege ni muhimu kwa mawasiliano na biashara ndani ya nchi.Kamwe hauwezi wachiwa private sector ambayo hauna uhakika wanaweza endesha bila matatizo ya cancellations maana private sector na ukanjanja wao wanaweza kataa kwenda route fulani sababu haileti faida."

Mtu yeyote aliewahi kufanya biashara atakwambia lazima angalau urudishe gharama kwenye bidhaa au huduma unayotoa, otherwise lazima biashara ifilisike. Wewe hiyo unaiita "ukanjanja". BA, KLM, Air France, American Airlines to mention just a few examples ni private owned na zinafanya vizuri kuliko ATCL inavyoweza kuota achilia mbali kufanya; unadhani serikali za huko zote zinaendeshwa na "makanjanja" na Magufuli ni smart kuliko wao? A loss making entity shouldn't be supported by tax-payers unless it deals in public goods.

Tukiwaambia ATCL inakula tu pesa za walipa kodi NA HAITAKAA IPATE FAIDA HATA SIKU MOJA based on the current modus operandi mnabisha. Na ni same thing kwenye SGR and practically everything this incompetent government does.

Thank you very much for stating that here; it is priceless.
 
Unawezaje ingiza ndege nchini na bado upo kwa bann? Hauja rekebisha matatizo yaliyo kufanya uwekwe ban tena unataka kuleta ndege? Ama unataka sheria inayo tumika kudhibiti ATCL iwe tofauti na inayo tumika kwa fastjet?
Wewe kichwa umejaza propaganda tupu

Waliomba kuingiza ndege 2017 na hadi wananyimwa leseni walishasubiri more than 10 months kuruhusiwa kubadilisha ndege kutoka Airbus 320 kuwa Embraer 190. Hiyo reference yako ni ya 2018.

Mwenye akili usie na propaganda unaamini 2018 ilitangulia na 2017 inafuatia? Probably you believe so.

Soma hapa:
 
Let people be the judge here. Waziri Kamwelwe alikuwa na maana gani alipotutangazia hadharani "Fastjet walitu-beep na tukawapigia"? Embraer zina safety issues gani?

Btw: Post yako #243 umeandika hivi: "...3)Usafiri wa ndege ni muhimu kwa mawasiliano na biashara ndani ya nchi.Kamwe hauwezi wachiwa private sector ambayo hauna uhakika wanaweza endesha bila matatizo ya cancellations maana private sector na ukanjanja wao wanaweza kataa kwenda route fulani sababu haileti faida."

Mtu yeyote aliewahi kufanya biashara atakwambia lazima angalau urudishe gharama kwenye bidhaa au huduma unayotoa, otherwise lazima biashara ifilisike. Wewe hiyo unaiita "ukanjanja". BA, KLM, Air France, American Airlines to mention just a few examples ni private owned na zinafanya vizuri kuliko ATCL inavyoweza kuota achilia mbali kufanya; unadhani serikali za huko zote zinaendeshwa na "makanjanja" na Magufuli ni smart kuliko wao? A loss making entity shouldn't be supported by tax-payers unless it deals in public goods.

Tukiwaambia ATCL inakula tu pesa za walipa kodi NA HAITAKAA IPATE FAIDA HATA SIKU MOJA based on the current modus operandi mnabisha. Na ni same thing kwenye SGR and practically everything this incompetent government does.

Thank you very much for stating that here; it is priceless.
Mkuu jikite kwa hoja
1) Airtransport ni "public goods" kwa asilimia kubwa hasa kwa nchi ambazo wasafiri sio wengi. Na serikali za ngambo zipo na hisa kwa hayo mashirika kama BA. Infact utapata bodi la wamiliki ndani kuna mmoja wao ni katibu wa treasury. Hawawezi siku moja amua kusitisha usarifi eti wa subotage the economy..Hii ndio tahadhari iliokuwepo Tz. Private sector wakiungana waamue kugoma hata watalii hawawezi ruka toka mbuga moja hadi nyingine.

2) Unafanya kile kinachoitwa "cherry picking" Hauwezi tuaminisha kwamba mashirika ya ndege yanayo fanya vizuri ni ya private sector pekee..Kwanini usilete mifano ya Etihad, Emirate, Qatar na hapa nyumbani Ethiopia?

Waziri alipo nena hayo maneno ni kwa mujibu wa tahadhari ambayo fastjet walikuwa ameleta nchini.Eti ukiwagusa kwa lolote lile hata kama ni swala la safety watagoma uchumi uanguke
 
Waliomba kuingiza ndege 2017 na hadi wananyimwa leseni walishasubiri more than 10 months kuruhusiwa kubadilisha ndege kutoka Airbus 320 kuwa Embraer 190. Hiyo reference yako ni ya 2018.

Mwenye akili usie na propaganda unaamini 2018 ilitangulia na 2017 inafuatia? Probably you believe so.

Soma hapa:
Elewa kwamba matatizo na fastjet kabla wapewe ban yalijitokeza zamani..Wakaambiwa warekebishe siku nyingi bila majibu. Ban sio tukio la siku moja mkuu, Hata hizi ndege za 737 Max 8 matatizo yalijitokeza miaka karibu 2 iliyo pita, boeing wakaambiwa warekebishe wakadinda, ndege ya kwanza ikaanguka bado wanatia masikio pamba..ndege ya pili ikaanguka bado wanasema ndege ipo sawa na haihitaji marekebisho..Hatimaye ndunia nzima ika waban wakaanza kukiri makosa yao kinyemelea nyemelea.
Embraer walizo agiza fastjet hazina matatizo lakini elewa kwanza kwamba safety sio ndege tu, kuna mambo mengi kwa airline yasio husiana moja kwa moja na ndege ambayo yanaweza fanya safety iwe na tahadhari..
 
TZ SGR will be cheaper to move cargo to Uganda compared from Mombasa. Electric train ya Tz Sgr pulls more cargo per trip at cheaper cost and faster speed only 7 hours to mwanza from Dar Es salaam. From mwanza goods are loaded into cargo ships destined for port bell in Uganda remember economies of scale in mode of transport. It is cheaper to send goods by ship compared to trucks and rail. Reli ya tz haina mikopo ya riba kubwa hence break even yake will be immediate. A huge Isaka dry port will coordinate cargo from Rwanda Burundi Uganda Congo and South Sudan including Zambia and Tanzanian mineral ores in the gold belt of lake Victoria to Dar port. Hapa tunaongelea availability ya mizigo to and fro Dar port. Unlike Kenya sgr imeishia Naivasha then you need to do move cargo to a slower MTR to Kampala it involves time and cost rendering Kenyan sgr not profitable in the long run. South Sudan will prefer collecting their goods from port bell by rail and trucks it will be cheaper for them and so is Rwanda and the rest of great lakes countries from Isaka dry port.
Basi unavyoongea utadhani hizo nchi zina volume kubwa ya mzigo kuweza kufanya return to investments
Hakuna economic viability yoyote iliyofanyika inaonyesha sgr ya umeme itarudisha pesa yaani hisia za mtu ndio base,useless kabisa.Hakuna mchumi yoyote alishauri huo mradi
 
Mwenye akili unaamini kunyimwa leseni na kibali cha kuingiza Embraer serikali haihusiki! Good for you. Kama hizo ndizo akili give me foolery anyday.

Aisee umefaulu kupindisha mjadala. Ukisoma kichwa cha habari na mjadala huku ndani ni tofauti.
Mada ni SGR Kenya, tafadhali tujielekeze huko.
 
Yeye anakubali kwamba SGR yenu ni 'white elephant ", anachojaribu kutushawishi ni kwamba hata yetu itakua hivyo. Ninyi wakenya hata kama yetu itakua white elephant" hatuna deni la kulipa, Kwahiyo msijiliwaze. Hii thread itawasaidia kujitathmini mnapokosea.
Huna deni la kulipa wakati tumepoteza kodi za wananchi,acha ujinga mkuu matumizi mabaya ya ofisi ndio hayo mtaulizwa nyie sifieni tuu.Kabla hujafanya mradi wa kiuchumi lazima kuwe na justification ya kiuchumi sio mambo ya kuhamia Dodoma hayo ndugu
 
Back
Top Bottom