SGR Kenya sasa rasmi ni "Big white Elephant", Maneno ya " Ndii yatimia.

Umeongea point, ila jamaa ata angalia makosa ya kiuandishi! Jamaa ni jinga kabisa.
 

SGR ya Magufuli feasibility study yake ilifanyika lini? World Bank walifadhili Central Transport Corridor Project (CTCP) na moja ya components zake ilikuwa ni feasibility study ya railway network. Viable solution iliyokuwa opted ni strengthening of the existing railways including TAZARA kwa kuwa SGR ilionekana haina economic viability for another 100 years kuanzia kipindi hicho. Na WB walitenga fedha ya ukarabati wa railway network iliyopo.

Tuongelee facts zilizopo; kama SGR Kenya na Ethiopia zinashindwa kuwa profitable na wao ni bigger economy ukilinganisha na sisi (am not overating or underating anyone just using current and projected data) tutawezaje sisi? Mlio optimistic na miradi yote iliyoanzishwa na serikali hii ya sasa mna base optimism yenu on assumptions ambazo ni unrealistic. Based on the current trends, hakuna uwezekano wa hiyo SGR kufika Dodoma achilia mbali Mwanza. In the unlikely event ikafika Mwanza sioni jinsi itakavyokuwa operated profitably. Tumeshindwa kuendesha BRT how on earth could we hope of running an electric train business? Exports na domestic revenues zote zinasinyaa; where are we going to get the money to complete these massive projects? Mnaodhani kuwa SGR inajengwa wholly kwa fedha za ndani niambieni mnachokunywa nami nikijaribu.

Hatupingi kwa kuwa tu tunataka kupinga, we are drawing attention to the details. Way things are going SGR itakuwa the worst white elephant, maana haitakuwa even commissioned. I hope to be proven wrong and will gladly grovel.
 

Ahaaa haaa haaa
Those are just feelings dude. No any empirical evidence put forward.
 
Nilikuomba ushahidi wa analysis uliyosema unatumia pamoja na Dr. Ndii, umeshindwa kuleta, sasa huku nako unaleta porojo zingine.

Unaposema unachoongea ni fact, sisi tutajuaje kama ni fact bila kutuwekea ushahidi?. Sasa hivi unasema WB walikataa kutoa pesa kwasababu mradi sio viable, Tafadhali tunaomba ushahidi kama unalosema ni ukweli. Lete ushahidi unaoonyesha kwamba WB walisema mradi sio viable. Acha kuzungumza kama mtu wa kijiweni.
 
Ww na kuji employ kwako bado u mjinga sana boss. Dah, hata sijui nianzie wapi.
 
Wewe hakuna unachojua, Kichwa umejaza nadharia za wazungu unakariri
Nyinyi siasa zenu tunazijua.
Kila siku mnakosoa CCM eti majirani kenya na Ethiopia wanajenga Reli na kununua ndege huku ccm imelala
CCM ikinunua ndege na ijenge reli tena mnasema ni miradi haina tija.
Hamna hoja mathubuti, kelele tu
 
yani leo mwenye thread kafungua ili kujifurahisha...labakia kujitetea baada ya kuumbuka...bwahahaaaa...MFIAUKWELI...nyorosha wote hao....wacha tuwe watazamaji tu...kumbe kuna jamaa ana akili nyingi na ywajielewa...wacha awapige za uso tu...joto la jiwe atajua hajui...heheeeee....wanyooshe
 
Yeye anakubali kwamba SGR yenu ni 'white elephant ", anachojaribu kutushawishi ni kwamba hata yetu itakua hivyo. Ninyi wakenya hata kama yetu itakua white elephant" hatuna deni la kulipa, Kwahiyo msijiliwaze. Hii thread itawasaidia kujitathmini mnapokosea.
 

Ahaaa haaa haaa
Wala hana alijualo, hawa ni wale walijeruhiwa kwa kufunga zile clearing and forwarding za kimagumashi.

Naona mpaka mnamshangaa hiyo gut feeling anaitoa wapi? Maana SGR kikaptula au kimini ni white elephant, ndiyo maana hata MChina amekataa kutoa fedha ya nyongeza. Lkn huyu mfu wa KWELI kakomaa tu.
 
bwahahaaaaa....mfiaukwel..huyu hku anadanganya km sgr mnajenga kw pesa za ndani wala hakuna mkopo...kuja unnyoreshee huyu kijana wa magu...duh!!mfiaukwel ana akili sana walai...anajua ku deal na vijana wa ccm...yani mmepiga collabo kumnyamazisha bado yeye anawapa za uso tu...dogo unapigwa home ground...tena na mtoto wa shangazi..aibu sana hyo...

enheeee!!...next sceen vijana wa kukata mauno katika maadhimisho ya drimulaina
 
It is even more scary to Tanzania. Kumbuka production ya Kenya ni more than thrice ya Tanzania which in turn means wana mizigo mingi zaidi yetu. So if that is the case with their SGR, what will happen to ours?
Kumbuka wamejenga reli kwa mkopo wenye riba kubwa na hapo hapo 10%ni sheeda cc tunajenga kwa gharama ndogo na hatauendeshaji utatofautiana na sisi pia tutaona wapi Kenya wanafanya makosa ili tuwe makini
 
Hahahahaha, Kwahiyo mumeshindwa kumtetea "White elephant" wenu sio?. Unataka kuchanganya na yetu, fungua Uzi unaohusu SGR, kwasasa linalozungumzwa ni SGR yenu kutangazwa rasmi kuwa "white Elephant".
 
Bila shaka raia wa kunya wameshaanza kuisikia joto ya jiwe[emoji23][emoji23]
 

It is common knowledge. Nenda webpage za world bank (IDA), search CTCP utapata information zote. Unadhani nimejitungia tu nyie ccm? Kuna mwenzio kaja na hadithi za kutunga eti Kenya Shiling sio free floating etc etc. Hajarudi baada ya kumpa ushahidi.

Btw; Nilishawahi kuwa desk officer wa huo mradi, so I know exactly what am talking about. You can see the brief here:

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…