thisdayes
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,610
- 4,556
That is all you got!Hujui hata kuandika. Enough said.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
That is all you got!Hujui hata kuandika. Enough said.
Umeongea point, ila jamaa ata angalia makosa ya kiuandishi! Jamaa ni jinga kabisa.TZ SGR will be cheaper to move cargo to Uganda compared from Mombasa. Electric train ya Tz Sgr pulls more cargo per trip at cheaper cost and faster speed only 7 hours to mwanza from Dar Es salaam. From mwanza goods are loaded into cargo ships destined for port bell in Uganda remember economies of scale in mode of transport. It is cheaper to send goods by ship compared to trucks and rail. Reli ya tz haina mikopo ya riba kubwa hence break even yake will be immediate. A huge Isaka dry port will coordinate cargo from Rwanda Burundi Uganda Congo and South Sudan including Zambia and Tanzanian mineral ores in the gold belt of lake Victoria to Dar port. Hapa tunaongelea availability ya mizigo to and fro Dar port. Unlike Kenya sgr imeishia Naivasha then you need to do move cargo to a slower MTR to Kampala it involves time and cost rendering Kenyan sgr not profitable in the long run. South Sudan will prefer collecting their goods from port bell by rail and trucks it will be cheaper for them and so is Rwanda and the rest of great lakes countries from Isaka dry port.
Mzee unai over rate sana Kenya. Mradi wao wa SGR uli fail kwenye kuupanga. Sasa matokeo yake yanashuka, ule mradi una madudu mengi sana. Toka mwanzo mahesaabu yalikua haya jakaa sawa. Mchina mwenyewe amepiga mahesabu ameona mradi haulipi wewe uko Dar unaimba nyimbo za mapambo.
SGR ya Magufuli feasibility study yake ilifanyika lini? World Bank walifadhili Central Transport Corridor Project (CTCP) na moja ya components zake ilikuwa ni feasibility study ya railway network. Viable solution iliyokuwa opted ni strengthening of the existing railways including TAZARA kwa kuwa SGR ilionekana haina economic viability for another 100 years kuanzia kipindi hicho. Na WB walitenga fedha ya ukarabati wa railway network iliyopo.
Tuongelee facts zilizopo; kama SGR Kenya na Ethiopia zinashindwa kuwa profitable na wao ni bigger economy ukilinganisha na sisi (am not overating or underating anyone just using current and projected data) tutawezaje sisi? Mlio optimistic na miradi yote iliyoanzishwa na serikali hii ya sasa mna base optimism yenu on assumptions ambazo ni unrealistic. Based on the current trends, hakuna uwezekano wa hiyo SGR kufika Dodoma achilia mbali Mwanza. In the unlikely event ikafika Mwanza sioni jinsi itakavyokuwa operated profitably. Tumeshindwa kuendesha BRT how on earth could we hope of running an electric train business? Exports na domestic revenues zote zinasinyaa; where are we going to get the money to complete these massive projects? Mnaodhani kuwa SGR inajengwa wholly kwa fedha za ndani niambieni mnachokunywa nami nikijaribu.
Hatupingi kwa kuwa tu tunataka kupinga, we are drawing attention to the details. Way things are going SGR itakuwa the worst white elephant, maana haitakuwa even commissioned. I hope to be proven wrong and will gladly grovel.
Nilikuomba ushahidi wa analysis uliyosema unatumia pamoja na Dr. Ndii, umeshindwa kuleta, sasa huku nako unaleta porojo zingine.SGR ya Magufuli feasibility study yake ilifanyika lini? World Bank walifadhili Central Transport Corridor Project (CTCP) na moja ya components zake ilikuwa ni feasibility study ya railway network. Viable solution iliyokuwa opted ni strengthening of the existing railways including TAZARA kwa kuwa SGR ilionekana haina economic viability for another 100 years kuanzia kipindi hicho. Na WB walitenga fedha ya ukarabati wa railway network iliyopo.
Tuongelee facts zilizopo; kama SGR Kenya na Ethiopia zinashindwa kuwa profitable na wao ni bigger economy ukilinganisha na sisi (am not overating or underating anyone just using current and projected data) tutawezaje sisi? Mlio optimistic na miradi yote iliyoanzishwa na serikali hii ya sasa mna base optimism yenu on assumptions ambazo ni unrealistic. Based on the current trends, hakuna uwezekano wa hiyo SGR kufika Dodoma achilia mbali Mwanza. In the unlikely event ikafika Mwanza sioni jinsi itakavyokuwa operated profitably. Tumeshindwa kuendesha BRT how on earth could we hope of running an electric train business? Exports na domestic revenues zote zinasinyaa; where are we going to get the money to complete these massive projects? Mnaodhani kuwa SGR inajengwa wholly kwa fedha za ndani niambieni mnachokunywa nami nikijaribu.
Hatupingi kwa kuwa tu tunataka kupinga, we are drawing attention to the details. Way things are going SGR itakuwa the worst white elephant, maana haitakuwa even commissioned. I hope to be proven wrong and will gladly grovel.
Lazima mkope tu. Hamwezi kumaliza bila ya kukopa. Tena UchinaKwa hiyo SGR tunajenga kwa Pesa zetu?
Ww na kuji employ kwako bado u mjinga sana boss. Dah, hata sijui nianzie wapi.I started using my brain probably before you were born. For your information; am self-employed and am an employer. I know what the business world demands. It is stupidity thinking that an asset that was acquired on loan is always more expensive to operate than the one acquired otherwise. Ever heard of opportunity and notional costs? Kuna wakati kuwa na nyumba yako mwenyewe ni more expensive operation-wise than renting.
Maana huyo ndugu ametoa mfano wa anayejenga kwa pesa yake na kwa mkopo akimaanisha Wabongo hatukopiLazima mkope tu. Hamwezi kumaliza bila ya kukopa. Tena Uchina
Wewe hakuna unachojua, Kichwa umejaza nadharia za wazungu unakaririMjinga akikaa kimya huonekana mwerevu.
Hebu niambie nchi inavyoweza kuwa na fictitious assets. Ever heard of IMF? Kazi zake ni zipi?
Unadhani nchi yenye financial reports zenye mashaka zinaweza kuuza bonds? Kenya wameuza bonds zao mara ngapi? Mbona Jiwe kashindwa kuuza hata junk bonds?
Hujui hata floating currencies zinavyofanya kazi. How can Kenya overvalue it's currency while their Shilling is based on market forces? China currency yao sio market based ndio maana wanaweza ku-fix rates.
Hebu endelea kuimba mapambio ya kumsifia Magufuli.
Nyinyi siasa zenu tunazijua.SGR ya Magufuli feasibility study yake ilifanyika lini? World Bank walifadhili Central Transport Corridor Project (CTCP) na moja ya components zake ilikuwa ni feasibility study ya railway network. Viable solution iliyokuwa opted ni strengthening of the existing railways including TAZARA kwa kuwa SGR ilionekana haina economic viability for another 100 years kuanzia kipindi hicho. Na WB walitenga fedha ya ukarabati wa railway network iliyopo.
Tuongelee facts zilizopo; kama SGR Kenya na Ethiopia zinashindwa kuwa profitable na wao ni bigger economy ukilinganisha na sisi (am not overating or underating anyone just using current and projected data) tutawezaje sisi? Mlio optimistic na miradi yote iliyoanzishwa na serikali hii ya sasa mna base optimism yenu on assumptions ambazo ni unrealistic. Based on the current trends, hakuna uwezekano wa hiyo SGR kufika Dodoma achilia mbali Mwanza. In the unlikely event ikafika Mwanza sioni jinsi itakavyokuwa operated profitably. Tumeshindwa kuendesha BRT how on earth could we hope of running an electric train business? Exports na domestic revenues zote zinasinyaa; where are we going to get the money to complete these massive projects? Mnaodhani kuwa SGR inajengwa wholly kwa fedha za ndani niambieni mnachokunywa nami nikijaribu.
Hatupingi kwa kuwa tu tunataka kupinga, we are drawing attention to the details. Way things are going SGR itakuwa the worst white elephant, maana haitakuwa even commissioned. I hope to be proven wrong and will gladly grovel.
Yeye anakubali kwamba SGR yenu ni 'white elephant ", anachojaribu kutushawishi ni kwamba hata yetu itakua hivyo. Ninyi wakenya hata kama yetu itakua white elephant" hatuna deni la kulipa, Kwahiyo msijiliwaze. Hii thread itawasaidia kujitathmini mnapokosea.yani leo mwenye thread kafungua ili kujifurahisha...labakia kujitetea baada ya kuumbuka...bwahahaaaa...MFIAUKWELI...nyorosha wote hao....wacha tuwe watazamaji tu...kumbe kuna jamaa ana akili nyingi na ywajielewa...wacha awapige za uso tu...joto la jiwe atajua hajui...heheeeee....wanyooshe
[emoji44][emoji44][emoji44]mkuu!
Unasemaje wewe ati aendelee,!
ili tupigwe za uso nyingine au?
Unaniharibia siku mkuu!
yani leo mwenye thread kafungua ili kujifurahisha...labakia kujitetea baada ya kuumbuka...bwahahaaaa...MFIAUKWELI...nyorosha wote hao....wacha tuwe watazamaji tu...kumbe kuna jamaa ana akili nyingi na ywajielewa...wacha awapige za uso tu...joto la jiwe atajua hajui...heheeeee....wanyooshe
bwahahaaaaa....mfiaukwel..huyu hku anadanganya km sgr mnajenga kw pesa za ndani wala hakuna mkopo...kuja unnyoreshee huyu kijana wa magu...duh!!mfiaukwel ana akili sana walai...anajua ku deal na vijana wa ccm...yani mmepiga collabo kumnyamazisha bado yeye anawapa za uso tu...dogo unapigwa home ground...tena na mtoto wa shangazi..aibu sana hyo...Yeye anakubali kwamba SGR yenu ni 'white elephant ", anachojaribu kutushawishi ni kwamba hata yetu itakua hivyo. Ninyi wakenya hata kama yetu itakua white elephant" hatuna deni la kulipa, Kwahiyo msijiliwaze. Hii thread itawasaidia kujitathmini mnapokosea.
Kumbuka wamejenga reli kwa mkopo wenye riba kubwa na hapo hapo 10%ni sheeda cc tunajenga kwa gharama ndogo na hatauendeshaji utatofautiana na sisi pia tutaona wapi Kenya wanafanya makosa ili tuwe makiniIt is even more scary to Tanzania. Kumbuka production ya Kenya ni more than thrice ya Tanzania which in turn means wana mizigo mingi zaidi yetu. So if that is the case with their SGR, what will happen to ours?
Hahahahaha, Kwahiyo mumeshindwa kumtetea "White elephant" wenu sio?. Unataka kuchanganya na yetu, fungua Uzi unaohusu SGR, kwasasa linalozungumzwa ni SGR yenu kutangazwa rasmi kuwa "white Elephant".bwahahaaaaa....mfiaukwel..huyu hku anadanganya km sgr mnajenga kw pesa za ndani wala hakuna mkopo...kuja unnyoreshee huyu kijana wa magu...duh!!mfiaukwel ana akili sana walai...anajua ku deal na vijana wa ccm...yani mmepiga collabo kumnyamazisha bado yeye anawapa za uso tu...dogo unapigwa home ground...tena na mtoto wa shangazi..aibu sana hyo...
enheeee!!...next sceen vijana wa kukata mauno katika maadhimisho ya drimulaina
Bila shaka raia wa kunya wameshaanza kuisikia joto ya jiwe[emoji23][emoji23]![]()
Kenya’s big SGR dream begins to fizzle out as losses mount
Kenya’s big SGR dream begins to fizzle out as losses mountwww-thecitizen-co-tz.cdn.ampproject.org
Kuna msemo maarufu usemao kwamba," Namba hazidanganyi". Hesabu za mapato na matumizi yanaonyesha kwamba, SGR ya Kenya haina uwezo wa kuzalisha hata gharama za uendeshaji kwa mwaka ambayo kwa sasa ni Kshs 12B. Hii ni kutokana na ukweli kwamba imetengeneza 5.8B ndani ya kipindi cha zaidi mwaka mmoja kiasi ambacho ni chini ya 50% ya gharama za uendeshaji. Jambo la kuogopesha zaidi ni kwamba trains zaidi ya 12 kwa siku zimekua zikifanya kazi.
David Ndii, alishawahi kuekeza Mara nyingi sana kuhusu " viability & profitability " ya huu mradi na alishauri kwamba badala ya kujenga reli mpya, ni bora kukopa pesa kidogo ili kufufua reli ya zamani. Maneno yake yametimia:
1) SGR imesababisha Kenya kuwa na deni kubwa linalolipwa na kodi ya wananchi
2) SGR haiwezi kujiendesha, jambo linalolazimisha serikali kutoa pesa za wananchi ili kugharamia gharama za uendeshaji, mwaka Jana pekee serikali ilitoa 6.2B kufikia hasara.
3) Sasa hivi ndio serikali imeona umuhimu wa kufufua reli ya zamani ili kuunganisha na SGR, jambo ambalo litaongeza sana gharama za uendeshaji na usafirishaji kutokana na gharama za kushusha na kupandisha pale Naivasha.
Hahahahaha, hahahahaha, hahahahaha. Sawa sawa kabisaBila shaka raia wa kunya wameshaanza kuisikia joto ya jiwe[emoji23][emoji23]
Nilikuomba ushahidi wa analysis uliyosema unatumia pamoja na Dr. Ndii, umeshindwa kuleta, sasa huku nako unaleta porojo zingine.
Unaposema unachoongea ni fact, sisi tutajuaje kama ni fact bila kutuwekea ushahidi?. Sasa hivi unasema WB walikataa kutoa pesa kwasababu mradi sio viable, Tafadhali tunaomba ushahidi kama unalosema ni ukweli. Lete ushahidi unaoonyesha kwamba WB walisema mradi sio viable. Acha kuzungumza kama mtu wa kijiweni.