Mfiaukweli
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 5,636
- 8,777
Wewe hakuna unachojua, Kichwa umejaza nadharia za wazungu unakariri
Nyinyi siasa zenu tunazijua.
Kila siku mnakosoa CCM eti majirani kenya na Ethiopia wanajenga Reli na kununua ndege huku ccm imelala
CCM ikinunua ndege na ijenge reli tena mnasema ni miradi haina tija.
Hamna hoja mathubuti, kelele tu
Usiwe na shaka. Population ya Tanzania kubwa, route ndefu na gharama za kuendesha zitakuwa nafuu sana kwani tutaiendesha wenyewe si Wachina kama ilivyo Kenya.It is even more scary to Tanzania. Kumbuka production ya Kenya ni more than thrice ya Tanzania which in turn means wana mizigo mingi zaidi yetu. So if that is the case with their SGR, what will happen to ours?
Hata wewe uharisia wa Kenya huna hawa jamaa wanaporojo sana hawa wanatuzidi ndege tu nyingi zingine hizi ni porojo SGR yao haina faida kwao ndiyo ukweli hawaezi kupata faida tumuache magufuri tuongee ukweli haya basi tukubari kwamba privet sec zinapandisha uchumi embu tuangalie mgodi wa bulyanhulu uliajili wafanyakazi elfu 1500 Sgr ya magufuri imeajiri zaidi ya watu 3000 upanuzi wa bandari dar wapo watu bwawa la umeme wapo watu kwenye mabarabara meri mpya Mwanza ukarabati wa ya zamani watu wako saiti Tanzania tuko vizuri bwana Uganda miziko inapita mingi tu wachina wananunua magigo sudani kusini yanapita dar Kongo pia magogo yao yanapita Tz shaba ya zambia yote inapita Tz nendeni kwenye boda zetu mtajifunza kitu Mimi ninachoelewa Uganda anapitisha Mchele uliopigwa malufuku kwetu bandali ya Mombasa.Ushahidi gani unaouhitaji? Last month Macron alienda Kenya na waka-sign kujenga kiwanda cha magari ya Peugeot Kenya, unadhani wangefikia uamuzi huo kama kusingekuwa na soko Kenya? Kuna International companies ngapi zenye presence Tanzania? Kenya zipo ngapi?
Let's face it and accept the fact that we have a long way to go kuwafikia Kenya hapo walipo. Hii ya kujidanganya kuwa tunafanya vizuri na kujisifia ujinga ni kujimaliza wenyewe.
Kumbe wewe hufahamu bwawa linaweza kuleta hasara kuliko haya mengine kwanza lazima ujue mahitaji yetu ya umeme ni kiasi gani?unaobaki utafanya kazi gani?Wewe ni miongoni mwa watu wasio na akili, wewe na wenzio mnaoshabikia
usoshalisti wa Magu, hivi unadhani miradi hiyo ya kijamaa italeta faida? Hifadhi haya maneno utaniambia...Katika miradi ya Magu ambao namuunga mkono ni Stiglers godge tu ila ndege, Sgr ni hasara tu
Kaka weka ushahidi kuonyesha kwamba production ya Kenya ni thrice ya Tanzania, sio kutumia mikataba. Rwanda inazalisha gari za Peugeot hiyo haina maana kwamba production ya Rwanda ni thrice. Hivi kweli katika nchi ambayo basic needs kama maji safi na salama, chakula, ajira, nyumba na Afya ni shida, eti unafurahia kuanzishwa kiwanda cha MAGARI, really?
Wewe acha longolongo, leta ushahidi unaonyesha kwamba WB walisema kwamba SGR is not viable project.It is common knowledge. Nenda webpage za world bank (IDA), search CTCP utapata information zote. Unadhani nimejitungia tu nyie ccm? Kuna mwenzio kaja na hadithi za kutunga eti Kenya Shiling sio free floating etc etc. Hajarudi baada ya kumpa ushahidi.
Btw; Nilishawahi kuwa desk officer wa huo mradi, so I know exactly what am talking about. You can see the brief here:
Tanzania - Central Transport Corridor Project (English) | The World Bank
Tanzania - Central Transport Corridor Project (English)documents.worldbank.org
It is common knowledge. Nenda webpage za world bank (IDA), search CTCP utapata information zote. Unadhani nimejitungia tu nyie ccm? Kuna mwenzio kaja na hadithi za kutunga eti Kenya Shiling sio free floating etc etc. Hajarudi baada ya kumpa ushahidi.
Btw; Nilishawahi kuwa desk officer wa huo mradi, so I know exactly what am talking about. You can see the brief here:
Tanzania - Central Transport Corridor Project (English) | The World Bank
Tanzania - Central Transport Corridor Project (English)documents.worldbank.org
Wewe acha longolongo, leta ushahidi unaonyesha kwamba WB walisema kwamba SGR is not viable project.
Wewe hujui lolote lile zaidi ya kupiga domo tupu. Ngoja tukufunze.. Kipindi cha Jakaya Kikwete, serikali iliomba fedha WB kukarabati bandari ya Dar Es Salam na kufufua reli ya kati, WB ikakubali na kutoa hizo pesa, serikali ya Kikwete haikuwa na mpango wa kujenga reli ya SGR kwa haraka, lengo lilikua ni kuharakisha kupanua bandari ya Dar na kusafirisha cargo ambayo ilikua inalimbikizana.
Magufuli yeye alitoa sana kipaumbele ktk SGR, ili kufingua fursa za uchumi, hasa kusafirisha chuma kule Liganga na Mchuchuma, uwekezaji wa kuchimba Nickel na Bati huko Kigoma na Burundi, na Copper, madini haya ni mazito sana, bila kuwepo kwa train yenye uwezo mkubwa, yataendelea kubaki ardhini, huku tukiendelea kujisifia kwamba nchi hii ni tajiri lakini watu ni masikini.
Sera ya WB ni kutofadhili parallel projects, hiyo ni sawa na "duplication of Projects", kama umeshawahi kufanya kazi katika "NGO" nadhani utaelewa maana yake, hiyo ndio sababu hata serikali haikuomba WB wafadhili SGR kwasababu ilijulikana wazi kwamba WB walishatoa pesa za kufufua reli ya zamani, aiwezekani tena walipie reli mbili katika nchi moja. Kama wangekua hawakutoa pesa za kukarabati reli ya zamani, wangetoa bila kigugumizi pesa za SGR.
JPM is doing the noble thing, improving the old MGR to a standard almost similar to that of the KE's SGR while at the same time constructing a brand new electric SGR, yes we can....
What a stupid proposal from WB, we all know what happened when TRC was privatised to RITES from India. See below what they were proposing to put a final nail in the coffin...
"...proposing a concession that will include a 25-year lease for the TRC railway network, with the right to manage, and maintain the network, and lease of TRC locomotives and rolling stock. The concessionaire will also have the exclusive right on the TRC network to operate freight services and passenger services for the period, with an obligation to supply designated passenger services..."?????
Hiyo document lishaipitia siku nyingi sana, hakuna popote pale panaposema kwamba World Bank iliombwa na serikali ya Tanzania kufadhili ujenzi wa SGR na ikakataa kwasababu SGR sio viable project, kama umepaona, to a screenshot utuwekee hapa hadharani. Wewe ni mwongo sana, huna knowledge ya kutosha, unachofanya ni kutumia hisia za vijiweni na mazungumzo ya kienyeji bila ushahidi. Weka hapa screenshot kila mmoja ajionee.Ulisoma nilichoandika au umejibu kwa hisia?
Nimekupa link, ni document ndefu. Soma mwenyewe utapata background information pamoja na project document. Na kuweka Kumbukumbu sahihi: Ilikuwa wakati wa serikali ya Mkapa.
You can argue all you want but the bottom line is this: miradi yote iliyoanzishwa na serikali hii ya sasa haijafanyiwa feasibility studies na hakuna business plans bali ni matamko ya mtu (ndio maana wengine mnataka Magufuli aendelee kuwepo madarakani "ili miradi ikamilike"). Not a single project will be successful. NOT A SINGLE ONE.
Endeleeni kuamini hadithI za kusadikika.
Wewe hata ukipewa hoja madhubuti hauwezi itambua.Mara ngapi mumepinga sera mpya za madini? Sasa matunda yameanza kuzalishwa na sera mpya, sector ya madini imeogeza pesa mara mbili ndani ya mwaka moja. Nyie mpo mstari wa mbele kuuliza pesa ya noah ($190b) ipo wapi na kishika uchumba kipo wapi na hayo sio mambo tungetarajia tungefuata sera zenu za utumboWewe mwenye hoja madhubuti leta ushahidi hapa. Am waiting, nikupe miaka mingapi ya kuleta ushahidi?
Hiyo document lishaipitia siku nyingi sana, hakuna popote pale panaposema kwamba World Bank iliombwa na serikali ya Tanzania kufadhili ujenzi wa SGR na ikakataa kwasababu SGR sio viable project, kama umepaona, to a screenshot utuwekee hapa hadharani. Wewe ni mwongo sana, huna knowledge ya kutosha, unachofanya ni kutumia hisia za vijiweni na mazungumzo ya kienyeji bila ushahidi. Weka hapa screenshot kila mmoja ajionee.
Wewe hata ukipewa hoja madhubuti hauwezi itambua.Mara ngapi mumepinga sera mpya za madini? Sasa matunda yameanza kuzalishwa na sera mpya, sector ya madini imeogeza pesa mara mbili ndani ya mwaka moja. Nyie mpo mstari wa mbele kuuliza pesa ya noah ($190b) ipo wapi na kishika uchumba kipo wapi na hayo sio mambo tungetarajia tungefuata sera zenu za utumbo
Leta screenshot ya hiyo page inayosema WB imekataa kudhamini kwasababu mradi sio viable. Hapa ni high voltage discussions, kama huna ushahidi, utapata wakati mgumu sana. Tafadhali lete screenshot tuone watu wote hapa.Nini kimeandikwa kwenye hiyo document?
These are your wishes and thought, you don't have any evidence to support your "alcadabra". Is BRT make loss?Maybe now some people will believe what i have been trying to tell them!
Mismanagement of that project cannot be pinned down to WB. Same thing is happening to BRT. Same thing will happen to the SGR only the losses will be massive.
Nanyi endeleeni kuimba Lissu sijui membe. 2020 sio mbali sijui mtajificha wapi na aibu yenu. Hata mzee lowassa wenu mliyo mpigia kura amegundua nyinyi ni nyumbu tuEndelea kuimba mapambio.
Hata wewe uharisia wa Kenya huna hawa jamaa wanaporojo sana hawa wanatuzidi ndege tu nyingi zingine hizi ni porojo SGR yao haina faida kwao ndiyo ukweli hawaezi kupata faida tumuache magufuri tuongee ukweli haya basi tukubari kwamba privet sec zinapandisha uchumi embu tuangalie mgodi wa bulyanhulu uliajili wafanyakazi elfu 1500 Sgr ya magufuri imeajiri zaidi ya watu 3000 upanuzi wa bandari dar wapo watu bwawa la umeme wapo watu kwenye mabarabara meri mpya Mwanza ukarabati wa ya zamani watu wako saiti Tanzania tuko vizuri bwana Uganda miziko inapita mingi tu wachina wananunua magigo sudani kusini yanapita dar Kongo pia magogo yao yanapita Tz shaba ya zambia yote inapita Tz nendeni kwenye boda zetu mtajifunza kitu Mimi ninachoelewa Uganda anapitisha Mchele uliopigwa malufuku kwetu bandali ya Mombasa.
Nanyi endeleeni kuimba Lissu sijui membe. 2020 sio mbali sijui mtajificha wapi na aibu yenu. Hata mzee lowassa wenu mliyo mpigia kura amegundua nyinyi ni nyumbu tu
Ulitaj asiulize usaudizi Brics? Ama asiwapatie Ethiopia mkono wa urafiki na kuwaahindi wapo huru kutumia Dar?Ethiopia wameanza kutumia bandari ya Dar es Salaam? Magufuli aliwakaribisha watumie hiyo bandari yetu ya Dar, remember?
Zuma alifanikiwa kuwaombea funding kutoka kutoka BRICS. Magufuli alimuomba afanye hivyo, remember?
And you expect such idiotic thinking to successfully manage the economy?