SGR Kenya sasa rasmi ni "Big white Elephant", Maneno ya " Ndii yatimia.

As I expected, huwezi kuelewa ujinga uliopo kwenye hizo kauli nilizozitolea mfano. Ngoja nikufafanulie:
1. Ethiopia hawawezi kutumia bandari ya Dar maana sio feasible economically.
2. Zuma asingeweza ku-influence BRICS kutoa mkopo simply kwa kuwa kuna taratibu ambazo ni independent of any head of state. Ni ujinga ule ule alioufanya kwa kutuambia "nimemwandikia Waziri Mkuu wa Canada ili aamuru ndege iachiliwe".

My 16 years old son would have handled the two better.
 
Hivi huwezi kumuomba member mmoja wa EU kwenda kupeleka mapendekezo katika vikao vyao na kukujenfea hoja ili wenzake waunge mkono hoja yake, au kuiingiza katika vikao husika, my 9 years old thinks better than you.
 
With you as his parent that boy is doomed. BRICS never lends, individual member countries do.
 
1) Ethiopia had a problem with ports until they resolved their problem with eritria, and yes they still struggle since most ships coming down the Eastafrican coast from china/ Gulf dont do a u-turn back up the red sea. That is why They are still in lappset

2) South Africa is a member of BRICS, and zuma was a key member. BRICS is in the business of giving out loans just like Eurobond
 
With you as his parent that boy is doomed. BRICS never lends, individual member countries do.
Hahahahaha, your 16years old utapata taabu nae sana kumsomesha, labda kama amerithi akili za mama yake
 
Itakua sio wako huyo, nenda kapime DNA, ila usinitaje utakapomchinja mkeo na wewe kujiua.

No wonder unamuabudu Magufuli. With that level of thinking there's absolutely nothing else you can possibly perceive or do.
 
No wonder unamuabudu Magufuli. With that level of thinking there's absolutely nothing else you can possibly perceive or do.
Magufuli sio Rais wa kudumu. na mwenyewe atafurahi sana 2025 akiondoka sababu kushughulikia nyumbu kama nyinyi ni mzigo..Hafadhali kufunza shule ya chekechea kuliko kuongoza wazembe wategemea za bure kama nyinyi
 
Endelea kuimba mapambio. Na usisahau kukata viuno.
 
Endelea kuimba mapambio. Na usisahau kukata viuno.
Unataka tuimbie mapambio nani? Jambazi Mbowe? Msaliti Lissu? yuda Zitto?
Utapata taabu sana sababu binadamu lazima ataimbia kiongozi wake pambio..nenda marekani uone mashabiki wa trump walivyo sugu..Ama unataka kutuuzia ustaarabu mgani mpya ambao mabeberu wapendwa wenu hawana?
 
Hakuna aliekukataza kumuimbia mapambio Magufuli. Unaweza kuwaongeza pia Bashite na Kabudi (washauri wake wakuu as it seems).
 
Hakuna aliekukataza kumuimbia mapambio Magufuli. Unaweza kuwaongeza pia Bashite na Kabudi (washauri wake wakuu as it seems).
Basi kaeni kando mle malimau yenu bila kutunugunukia eti tuna waimbia viongozi wetu mapambio. Hiyo ndio tabia ya binadamu hata kwa wastaarabu america..Nyinyi ni nyumbu hivyo hamna hiyo desturi, lazima tuwaazime kiongozi mumuabudu wakati wa uchaguzi, 2020 tunawapea membe
 
Reactions: Oii
My 16 years old son would have handled the two better.

Well, underestimate JPM intelligence at your own peril Ms/Mr armchair general....

1. Ethiopia hawawezi kutumia bandari ya Dar maana sio feasible economically.

JPM understands very well where Ethiopia is geographically located (any former high school teacher will), IIRC, the offer was meant for Ethiopia to use Dar port for importation of their strategic/sensitive goods which could otherwise be risky if they pass through Asmara or Djibouti ports. Such goods could later be airlifted from Dar by Ethiopian Airways cargo planes. (FYI, Ethiopia and Eritrea were not in good relation at the time while Djibouti ports are under tight US and Chinese control)...

2. Zuma asingeweza ku-influence BRICS kutoa mkopo simply kwa kuwa kuna taratibu ambazo ni independent of any head of state.

Again, JPM 's intelligence is far advanced than that of yours truly; the emphasis here was based on the influence South Africa has to the just established BRICS bank called the New Development Bank (NDB). South Africa being one of the bank founding member contributing $10 Billion, the bank's regional centre is located in Johannesburg, with one of its first vice presidents being a South African citizen.

BRICS made a strategic decision to position NDB regional centre in Johannesburg so that its industrial and infrastructure focused affordable loan offerings should not only benefit South Africa but the rest of SADC countries and the entire African continent.

Ni ujinga ule ule alioufanya kwa kutuambia "nimemwandikia Waziri Mkuu wa Canada ili aamuru ndege iachiliwe".

Know your targeted audience...., politicians all over the world make such statements all the time.... Statements customised for local folks consumption are not similar to the ones intended to be released to the foreign audience, do you seriously believe that JPM asked Trudeau to release his planes? I bet you don't!
 
ushaona mkenya katoa mapungufu yake kwenye nchi yake.njoo tz bwana kama bendi ya matalumbeta kila jambo.
wakenya ndio maana hata wawakezaji wanaweza kuja kwa kutunza siri zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…