SGR Kenya sasa rasmi ni "Big white Elephant", Maneno ya " Ndii yatimia.

SGR Kenya sasa rasmi ni "Big white Elephant", Maneno ya " Ndii yatimia.

Wewe hueleweki, sasa kama production ya Kenya ni nyingi lakini hawa export hicho wanachozalisha, kinauhusiano gani na SGR kupata mizigo ya kubeba?

Sasa hivi 20% ya mizigo ya Uganda inapitia bandari ya Dar, kukamilika kwa SGR ya Tanzania hadi Mwanza, itafanya gharama za usafirija ya mizigo ya Uganda kupitia Dar, kuwa 50% cheaper kuliko kupitisha Mombasa, kumbuka WFP tayari wsmeshahamisha mizigo yao iliyokua inapitia Mombasa kwenda Uganda na South Sudan, sasa hivi wanapitishia bandari ya Dar hadi Mwanza baada ya kuboresha Huduma za reli ya kati.

Kitendo cha SGR ya Kenya kuwa ya
1)Diesel
2)Kujengwa kwa gharama kubwa sana kwa kilometer
3)Kuishia Naivasha
4)Kujengwa kwa mkopo wenye riba kubwa

Kunaifanya isiweze kufanya biashara ya kiyshindani, hata haiwezi kushindana na usafiri wa malori, achilia mbali kushindana na electric train ambayo haina deni la kulipa.

Kazi ipo. Naomba calculations za cost comparison kati ya Mombasa - Kampala (just over1,100 km away) na Dar - Kampala about 1,700 km). Just show me with figures how Dar - Kampala could possibly be 50% cheaper than Mombasa - Kampala route.
 
Usibishane na hilo lipinzani nchi inasobga mbele kwa nguvu na 2020 tutajipanga vituoni kupiga kura jpm atawale

Hata Mugabe alikuwa anafanya anayoyafanya Magufuli leo. Na tumeona jinsi Zimbabwe ilivyoendelea. And their labour force is more skilled than ours, remember?
Endeleeni na falsafa yenu ya mbuni.
 
Tuliza akili acha kuruka ruka, uliposema Kenya inazalisha zaidi Kwahiyo reli yao itapata mzigo mkubwa, hapo ndio nikakuonyesha kwamba sio kweli kwasababu wana import zaidi kuliko Ku export.

Kuhusu kutegemea mizigo ya importation, Tanzania tunapokea imports za Rwanda, Burundi na Sehemu ya Uganda ambayo tunapambana kugawana, kitendo cha SGR ya Kenya kuishia Naivasha, kinatoa nafasi kubwa kwa Uganda kutumia SGR ya Tanzania kupitia ziwa Victoria.

Hivi ukijenga nyumba yako kwa pesa yako kwa ajili ya kuishi na matumizi yako na familia yako, utasema unapata hasara?. Unachohitajika ni pesa ya kulipia umeme, maji na matengezo ya NYUMBA ili isichakae, au namna gani jombaa?.
Kwa hiyo SGR tunajenga kwa Pesa zetu?
 
Kazi ipo. Naomba calculations za cost comparison kati ya Mombasa - Kampala (just over1,100 km away) na Dar - Kampala about 1,700 km). Just show me with figures how Dar - Kampala could possibly be 50% cheaper than Mombasa - Kampala route.
Very simple, chukua kwamba running costs za electric train ni kati ya 30 -40% cheaper than diesel train, hiyo maana yake kwa kila kilometer moja ni cheaper kwa 30 -40% kusafirisha kwenye electronic train ukilinganisha na diesel, sasa zidisha kwa umbali wa kutoka Mombasa na ule wa Dar, utaona wapi ni cheaper. Huo umbali ungekuwa na faida kama gharama za usafirishaji ni sawa kote.
 
Hata Mugabe alikuwa anafanya anayoyafanya Magufuli leo. Na tumeona jinsi Zimbabwe ilivyoendelea. And their labour force is more skilled than ours, remember?
Endeleeni na falsafa yenu ya mbuni.
Wewe unakariri hoja nadharia za upinzani bila kuangalia uhalisia wa Tz. Mugabe alifukuza white settlers bila malipo mwaka wa 2000.. Mwalimu nyerere alinunua shamba na biashara zote za wakoloni miaka ya 70's. Hiyo stage Tanzania ilipita kitambo, mugabe ndie alijaribu ku copy Tanzania akafeli
 
It is even more scary to Tanzania. Kumbuka production ya Kenya ni more than thrice ya Tanzania which in turn means wana mizigo mingi zaidi yetu. So if that is the case with their SGR, what will happen to ours?
Kilichoua huo mradi ni overpricing...ni kama ile miradi ya nyumba ya NSSF kwa hapa Tz
 
Very simple, chukua kwamba running costs za electric train ni kati ya 30 -40% cheaper than diesel train, hiyo maana yake kwa kila kilometer moja ni cheaper kwa 30 -40% kusafirisha kwenye electronic train ukilinganisha na diesel, sasa zidisha kwa umbali wa kutoka Mombasa na ule wa Dar, utaona wapi ni cheaper. Huo umbali ungekuwa na faida kama gharama za usafirishaji ni sawa kote.

Where do you get those assumptions? On what basis? And how does 40% turn into 50%?
Na uliandika kuwa WFP wamehamishia route yao Dar to Mwanza to South Sudan kwa kuwa "reli imeboreshwa" and by implication ni cheaper kuliko route ya Mombasa. How is that possible? Leo hii route ya Dar - Kampala haina train ya umeme, so how did you work out to arrive at your ridiculous conclusions?
 
Thrice my ass, how come there is always a shortage of food in kenya.

So; to you production means production of food? Do all countries in the world produce enough food for their consumption? Strange logic this!
 
Tuliza akili acha kuruka ruka, uliposema Kenya inazalisha zaidi Kwahiyo reli yao itapata mzigo mkubwa, hapo ndio nikakuonyesha kwamba sio kweli kwasababu wana import zaidi kuliko Ku export.

Kuhusu kutegemea mizigo ya importation, Tanzania tunapokea imports za Rwanda, Burundi na Sehemu ya Uganda ambayo tunapambana kugawana, kitendo cha SGR ya Kenya kuishia Naivasha, kinatoa nafasi kubwa kwa Uganda kutumia SGR ya Tanzania kupitia ziwa Victoria.

Hivi ukijenga nyumba yako kwa pesa yako kwa ajili ya kuishi na matumizi yako na familia yako, utasema unapata hasara?. Unachohitajika ni pesa ya kulipia umeme, maji na matengezo ya NYUMBA ili isichakae, au namna gani jombaa?.
Ongezea na kula chakula unachotaka bira wasiwasi wowote maana hakuna atakae kuhoji kwa lolote kwani matatitozo yanakua yameenda na mto nakukukarabati nyumba hiaari kama haivuji hakuna sababu ya ukarabati ,unamsubili mungu tu akuchukue
 
Wewe unakariri hoja nadharia za upinzani bila kuangalia uhalisia wa Tz. Mugabe alifukuza white settlers bila malipo mwaka wa 2000.. Mwalimu nyerere alinunua shamba na biashara zote za wakoloni miaka ya 70's. Hiyo stage Tanzania ilipita kitambo, mugabe ndie alijaribu ku copy Tanzania akafeli

Serikali inapojaribu kuwa mbadala wa private sector what will happen in your opinion?
 
Mbona wewe ukiuliza maswali unajibiwa, ila wewe hutaki kujibu?, yes he is naive that's why he asks, educate him please, stop your arrogance.

Kuna haja gani kujibu swali ambalo linadhihirisha mtu hajui hata anachokiuliza? Ukimjibu baada ya kurekebisha swali lake jibu lake atalielewa? Some concepts can always be understood after investing a considerable time in education.
 
I was just blowing your "thrice" argument out of the water.

You just proved your myopic thinking. My "more than thrice" production was meant to be considered in production by country in general (including services). Unajua balance sheet size ya Kenya? How do you compare that with ours?
 
Serikali inapojaribu kuwa mbadala wa private sector what will happen in your opinion?
Lazima kuwe na balance between private sector na public sector..Sasa hivi private sector has suffocated the country to a level which its the "Boss" of the economy not a genuine development partner.
Kwa mujibu wa WB
97% employment is by private sector
3/4 of investment is by private sector
 
Back
Top Bottom