Mfiaukweli
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 5,636
- 8,777
Wewe hueleweki, sasa kama production ya Kenya ni nyingi lakini hawa export hicho wanachozalisha, kinauhusiano gani na SGR kupata mizigo ya kubeba?
Sasa hivi 20% ya mizigo ya Uganda inapitia bandari ya Dar, kukamilika kwa SGR ya Tanzania hadi Mwanza, itafanya gharama za usafirija ya mizigo ya Uganda kupitia Dar, kuwa 50% cheaper kuliko kupitisha Mombasa, kumbuka WFP tayari wsmeshahamisha mizigo yao iliyokua inapitia Mombasa kwenda Uganda na South Sudan, sasa hivi wanapitishia bandari ya Dar hadi Mwanza baada ya kuboresha Huduma za reli ya kati.
Kitendo cha SGR ya Kenya kuwa ya
1)Diesel
2)Kujengwa kwa gharama kubwa sana kwa kilometer
3)Kuishia Naivasha
4)Kujengwa kwa mkopo wenye riba kubwa
Kunaifanya isiweze kufanya biashara ya kiyshindani, hata haiwezi kushindana na usafiri wa malori, achilia mbali kushindana na electric train ambayo haina deni la kulipa.
Kazi ipo. Naomba calculations za cost comparison kati ya Mombasa - Kampala (just over1,100 km away) na Dar - Kampala about 1,700 km). Just show me with figures how Dar - Kampala could possibly be 50% cheaper than Mombasa - Kampala route.