Nchi inaongozwa kwa katiba, acha upumbavu wako hapa, rais aliapa kuilinda katiba ya nchi, hakuapa kulinda feasibility study, mpumbavu mkubwa wewe.
Feasibility study ni public document, na unayo haki kama raia wa nchi hii kuona, japo wewe ni miongoni mwa raia wajinga.
Hakuna matakwa ya sheria yanayolazimisha kwamba "all public documents" lazima ziwekwe mitandaoni, nenda sehemu husika utapewa na utaisoma. Punguza ujinga kidogo.
Sikia ww mjinga mm ningekuwa Magu ili msipate tabu mnapoimba pambio za kunisifu ningefanya kama ifuatavyo
1.ningejenga km 25,000 za barabara ndani ya miaka 10 sawa na wastani wa km 2500 kila mwaka kinyume na sasa ambapo ni chini ya km 500 kwa mwaka, kumbuka Tanroads pekee ina 35,000km sijagusia Tarura.Why barabara ni kwa vile kila km 1 inayokamilika inaanza kurejesha pesa on the spot,pili multiplier effects ya barabara ni kubwa kuliko reli,afu 1/3 ya pesa inabaki kuzunguka nchini Unlike reli ambayo haifanyi hayo nilivyoeleza hapo juu.Just imagine multiplier effects ya km 25000 kwenye uchumi ulinganishe na km 3000 plus za reli
Kwa km hizo ningekuwa nimeifu gua hii nchi fursa za biashara kila kona kila mkoa kila mpaka wa nchi,miji ingekuwa na watu wangepata maendeleo upuuzi wa foleni za Dar sijui wapi usingekuwepo
2.Ningeimalisha reli ya mkoloni ili kuiongezea speed Hadi km 80/hr hivyo kuiongezea ufanisi isaidiane na barabara
3.Wala nisingehangaika na stiglaz badala yake ningekuwa na plani ya kuzalusha umeme ambao utatosheleza miaka hadi kumi na kwa Tzn hapa miradi 3 ya maporomoko ya maji tu yenye uwezo wa megawatt 1000 ingetosheleza gharama zake ni chini ya trioni mbili,ukisoma bajeti ya Kalemani utaiona.Hii mamake ningeokoa matilioni ya stiglaz na kuokoa hifadhi
Kila miaka 5 nafanya niongeze vyanzo kwa kiwango gani hii itafanya uwekezaji wangu isiathirike uchumi na utanihakikishia umeme wa kutosha,kumbuka megawati 2000 unatakiwa uwe na uchumi mkubwa kupita kenya labda ndio utazimaliza,sasa serikali yenu inasema eti inataka 2025 kuwe na megawati 10,000.Za kazi gani wakati inaweza kutuhumiwa 2040 hadi kuzimaliza hizo,gharama za maintanance cost zitakuwa kubwa sana tayari unakuwa umemisallocate resources,,tathmini ya faida na hasara za kiuchumi ndio iwe road map sio nia njema
Mchakato wote huo over 10 yrs ungenigharimu bajeti ya tilioni 7 tu ambazo ccm inataka ziishie kwenye reli hapo bado za stiglaz.Hiyo ni mfano kwenye sekta ya umeme na barabara tu
Mwisho wa siku uchumi ungekua zaidi,watu wasingelia lia hakuna pesa na mwisho ningepata pesa nyingi ambazo ningeendeshea afya,shule,maji,salary etc bila pressure ya kudanganya watu.Hata ukosoaji ungekuwa wa kawaida huku watu wanapiga kazi na bata