Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole boss, ila hapa sio mahala pa kulalamikia anyway.haya sasa niambie ni fly over gani hata moja tuu ipo hapa kwetu, jam tuu kila sehemu. najua wengine mtasema mimi ni ukuta but to be honest kunamambo tunatia aibu, haswaa katika elimu .
Wenzako wewe na nani?hehe naongelea kibiashara na jinsi wenzetu serikali yao inavojali wakulima na hata kuwapatia pembejeo bila siasa za uchuro ndani yake, huku kwetu jamaa kazuia mazao kwenda nje , wakulima wananunua pembejeo kwa bei kali sana , halafu unamwambia auze kwa bei ya ajabu, haya basi jenga kiwanda ili kuhifadhi basi mazao yake lakini wapi angalia leo bei ya nyanya sokoni, wenzetu kweli hawana arithi nzuri ya kilimo lakini wanajitahidi sana. embu watanzania tusiongelee hili swala kwa ushabiki , tuweni wakeli wa mambo, ukweli unabakia kuwa pamoja kuwa kenya wako na shida kadhaa ,lakini wanajitahidi kwa kiasi kikubwa sana
Mkuu,
Hebu weka justification hapo kwenye kilimo
Ni mwezi tu umekwisha tangu tumewapelekea kenya chakula baada ya ukosefu mkubwa wa chakula nchini mwao .
Au maana yako ilikuwa nini?
hehe naongelea kibiashara na jinsi wenzetu serikali yao inavojali wakulima na hata kuwapatia pembejeo bila siasa za uchuro ndani yake, huku kwetu jamaa kazuia mazao kwenda nje , wakulima wananunua pembejeo kwa bei kali sana , halafu unamwambia auze kwa bei ya ajabu, haya basi jenga kiwanda ili kuhifadhi basi mazao yake lakini wapi angalia leo bei ya nyanya sokoni, wenzetu kweli hawana arithi nzuri ya kilimo lakini wanajitahidi sana. embu watanzania tusiongelee hili swala kwa ushabiki , tuweni wakeli wa mambo, ukweli unabakia kuwa pamoja kuwa kenya wako na shida kadhaa ,lakini wanajitahidi kwa kiasi kikubwa sana
we completing two fertilizer making plant this year one in nakuru county and eldoret county. we making stridesMkuu,
Hebu weka justification hapo kwenye kilimo
Ni mwezi tu umekwisha tangu tumewapelekea kenya chakula baada ya ukosefu mkubwa wa chakula nchini mwao .
Au maana yako ilikuwa nini?
Bomba letu la mafuta limekwisha jengwa au bado tusubiri wiki mbili?Sitapoteza muda mwingi kukujibu maana ni kama huwa unavuta mmea fulani, maana hii mada huwa unaibuka nayo kwa mwezi mara moja, mwanzoni tulihangaika kukuelimisha, tukakuletea data nyingi tukitegemea utakua na akili. Lakini baada ya mwezi mmoja unarudia hoja ile ile huku ukitumia kichwa tofauti.
Kifupi ni kwamba nchi yetu ya Kenya tumejijengea wenyewe, tulishaorodhesha humu miradi yote ambayo imekua ikiendelea Kenya. Sina haja ya kuyarudia yote. Lakini miaka ya themanini tulicheleweshwa na chama tawala dhalimu cha wakati ule, kama jinsi Tanzania inacheleweshwa na CCM hadi leo. Tanzania ya leo inayojinadi ya kubana matumizi, mnajenga uwanja wa ndege wa kimataifa kijijini maeneo ya Chato ambapo hamtegemei mtu yeyote wa kimataifa kutua pale. Bora hata mngeboresha Bukoba iwe ya kimataifa. Mambo kama hayo ndio yalituchelewesha sana kipindi cha uongozi wa chama tawala cha wakati ule.
Lakini punde tu, tulipokibadilisha na kukipiga chini hicho chama, Kenya ilipepea na kuiacha Tanzania kwenye vumbi na lindi la umaskini. Hata Tanzania itawabidi mfikie huo uamuzi, ikiwezekana kwenye uchaguzi wa 2020 hapo ndio mtaona nchi inaanza kupiga hatua za kweli. Lakini kwa sasa mtaendelea kuona vioja na ukurupukaji wa hali ya juu, mara mnahamia Dodoma, mara naona eti Makonda kasema watu wa Mikoani msije Dar bila sababu maalum, mara watu wasiokua na kazi wahesabiwe Dar, mara kushtukiza kule mara hiki, mara kile, yaani hakuna mikakati, hakuna mpango wowote, ni kukurupuka full kwenda mbele.
Lakini si umeelewa? Kama hujaelewa uliwezaje kurekebisha? Au huna jibu na hilo suali?Ni thamani na siyo samani, samani ni vifaa vya ndani kama meza, kiti n.k. rekebisha hilo kwanza halafu ndiyo urudi, isitoshe unaongelea vitu viwili tofauti na nina wasi wasi hata umeelewa nilichomaanisha!
Waltham,we are trying buddy. yeye haelewi hapa ni biashara hamna feelings! wale wakulima wa Tz wanauza mahindi huku kwetu keshowe iwe hatuitaji tena nani wakumia! kwake ni msaada vile lakini ni elemu hana!
bwana wee!! mmewapelekea my gosh! msaada vile kulingana wewe! wale wana biashara wanauza huku kwetu kenya kaka! Uganda pia wanabiashara wanauza kwa wingi! Hizo finished products zimezagaa hapo bongo tunawapa msaada!!! Its business fellow no feelings attached!
na kilimo we making steps to get the damn maize grown. ole wao wanabiashara wa tz na uganda when we become self sufficient!
Galana Kulalu Food security Project on the 10,000Acre model farm
![]()
![]()
2000 acres under Maize and with addition of pumps & centre pivots will achieve greater acreage
![]()
![]()
![]()
Inspecting the one week old maize crop under production
![]()
![]()
![]()
Inspecting the 3 weeks old maize under production
![]()
![]()
![]()
Fresh planted maize under production & clearing of stones by locals
![]()
![]()
![]()
Impressed with Punda Milia seed variety that promises better yield harvest
![]()
![]()
![]()
![]()
Pesa ya Kenya inakuwa na thamani kwa sababu wazungu ndio wanaondesha nchi na Wakenya ni wasindikizaji wa uchumi. Miradi yote ni ya Wazungu hata ayo makampuni ni wazungu na hata mradi wa kulima Chai na maua ni wazungu. Wakenya ni wasindikizaji na wabeba mizigo ya wazungu (Manamba) katika mashamba ya wazunguSawa Watanzania tuna miradi yetu hatujarithi kwa wakoloni. Lakini mbona pesa ya Kenya ina samani zaidi yetu?
Pesa ya Kenya inakuwa na thamani kwa sababu wazungu ndio wanaondesha nchi na Wakenya ni wasindikizaji wa uchumi. Miradi yote ni ya Wazungu hata ayo makampuni ni wazungu na hata mradi wa kulima Chai na maua ni wazungu. Wakenya ni wasindikizaji na wabeba mizigo ya wazungu (Manamba) katika mashamba ya wazungu
Waltham,
Firstly, congratulations for that move. Ni hatua nzuri kwakweli ambayo nadhani ikifanyika hapa Tz hasa kule Dodoma kwenye mahekari ya mapori ya virgin fertile land basi Tz itakuwa ni level nyingine, but kwa sasa hatuhitaji such projects maana tunajitosheleza kwa chakula na tuna akiba ya kutosha, na bado hatua soko la kueleweka,
Na kwa uwekezaji wa hiyo project, besides the fact that it wont cut your maize deficit, ni obvious those maize will be very expensive, and you may come back to tz for cheap maize. (Sisi hatutumii gharama kubwa kulima mahindi ndiyo maana tunawauzia kwa bei ya kisela)
Again I am very Hapy that you guys will come here for raw materials (hydrocarbons) kwa hiyo kiwanda yenu ya mbolea.. As you are aware tz have more than 60bn tcf natural gas deposits, n explorations suggest more hundreds of thousands tcfs underneath..or u will buy cheap fertilizers from our plant being built in Lindi.(Largest fertilizer plant in Africa)
Karibuni sana tufanye biashara..
Kwaiyo brother kutegemeana kwetu kuko pale pale boss, there is no way u Kenyans will run away from tz.
When it comes to agriculture,
We are your brothers, and we will always be,
Na usidhani tunauza mazao yetu Kenya tu,
We are exporting to Zambia, Congo Malawi pia..n.k
Fahamu 80% ya watz are farmers, huku kilimo ni utamaduni wetu, whether we make profit or loss, we will cultivate the Land,
Yaani huku kila mtu ni mkulima ndio maana food security ni uhakika.
Mimi binafsi kila msimu ni Lazima niandae ekari 10 za mahindi na mbili za mbogamboga..
Kwa sababu ardhi tunayo ya kutosha..
Yaani nakwambia huku Tz ukifika msimu wa mazao huwa ni vurugu, watu wanajaza maghala hadi wanaacha mazao nje.
Hebu ona hawa wanavijiji wa kipato cha chini tz, toka vijijini mkoani iringa wakijishughurisha na kilimo cha mahindi..
View attachment 385895View attachment 385896View attachment 385898
Sasa hawa wakulima (subsistence) ni karibu kila kaya katika vijiji vya mikoa ya Iringa, mbeya, rukwa, katavi, songea na Morogoro, na mikoa mingine ya Tz....imagine the output..
View attachment 385900View attachment 385901
I know you know this guy..
Former Prime Minister Mizengo Pinda Akiwa shambani kwake Sumbawanga..
View attachment 385902View attachment 385903
Tazama mavuno ya huyu bwana Pinda.
View attachment 385904View attachment 385905
Dear Kenyans, any time you run out of food , karibuni tu, we are brothers.
Watanzania wao si wamewapa wachina miradi yao hawa wachina hawawezi kuikuza fedha yao? Na haya ulioongea umefanya utafiti wapi?Pesa ya Kenya inakuwa na thamani kwa sababu wazungu ndio wanaondesha nchi na Wakenya ni wasindikizaji wa uchumi. Miradi yote ni ya Wazungu hata ayo makampuni ni wazungu na hata mradi wa kulima Chai na maua ni wazungu. Wakenya ni wasindikizaji na wabeba mizigo ya wazungu (Manamba) katika mashamba ya wazungu
Wakenya wataendelea kutegemea misaaada ya mahindi kutoka Tanzania. Mahindi ambayo apa Tanzania tunalisha nguruwe, Wakenya tunawapa kama misaaada ili wasije wakafa na njaaWatanzania wao si wamewapa wachina miradi yao hawa wachina hawawezi kuikuza fedha yao? Na haya ulioongea umefanya utafiti wapi?
Pesa ya Kenya inakuwa na thamani kwa sababu wazungu ndio wanaondesha nchi na Wakenya ni wasindikizaji wa uchumi. Miradi yote ni ya Wazungu hata ayo makampuni ni wazungu na hata mradi wa kulima Chai na maua ni wazungu. Wakenya ni wasindikizaji na wabeba mizigo ya wazungu (Manamba) katika mashamba ya wazungu
Wajameni Haya maneno yanatuumiza mkuu ,uwe unayasema kwa upole ,[emoji3] mbona nasikia huko kwenu Sijui kuna watu wanajiita jina la huyu wa kwetu ?Sitapoteza muda mwingi kukujibu maana ni kama huwa unavuta mmea fulani, maana hii mada huwa unaibuka nayo kwa mwezi mara moja, mwanzoni tulihangaika kukuelimisha, tukakuletea data nyingi tukitegemea utakua na akili. Lakini baada ya mwezi mmoja unarudia hoja ile ile huku ukitumia kichwa tofauti.
Kifupi ni kwamba nchi yetu ya Kenya tumejijengea wenyewe, tulishaorodhesha humu miradi yote ambayo imekua ikiendelea Kenya. Sina haja ya kuyarudia yote. Lakini miaka ya themanini tulicheleweshwa na chama tawala dhalimu cha wakati ule, kama jinsi Tanzania inacheleweshwa na CCM hadi leo. Tanzania ya leo inayojinadi ya kubana matumizi, mnajenga uwanja wa ndege wa kimataifa kijijini maeneo ya Chato ambapo hamtegemei mtu yeyote wa kimataifa kutua pale. Bora hata mngeboresha Bukoba iwe ya kimataifa. Mambo kama hayo ndio yalituchelewesha sana kipindi cha uongozi wa chama tawala cha wakati ule.
Lakini punde tu, tulipokibadilisha na kukipiga chini hicho chama, Kenya ilipepea na kuiacha Tanzania kwenye vumbi na lindi la umaskini. Hata Tanzania itawabidi mfikie huo uamuzi, ikiwezekana kwenye uchaguzi wa 2020 hapo ndio mtaona nchi inaanza kupiga hatua za kweli. Lakini kwa sasa mtaendelea kuona vioja na ukurupukaji wa hali ya juu, mara mnahamia Dodoma, mara naona eti Makonda kasema watu wa Mikoani msije Dar bila sababu maalum, mara watu wasiokua na kazi wahesabiwe Dar, mara kushtukiza kule mara hiki, mara kile, yaani hakuna mikakati, hakuna mpango wowote, ni kukurupuka full kwenda mbele.
Duh! haya uliyoandika yamenikumbusha ile movie ya Angelina Jolie alipokwenda na muafrika kwenye kikao ya wazungu, na yule muafrika kurushiwa ndizi. Huhisi kama unawadharau weusi wenzio tena majirani zako? Hata vitabu vya dini vimesema tuwakarimu majirani zetu, Tujitahidini kama waafrika tuwe na maisha bora na sio kuwa na dharau bora.Wakenya wataendelea kutegemea misaaada ya mahindi kutoka Tanzania. Mahindi ambayo apa Tanzania tunalisha nguruwe, Wakenya tunawapa kama misaaada ili wasije wakafa na njaa
Samahani mkuu,You wrote a lot, let sieve thru the words as you know numbers don't lie. could you please give the Tz Gross margin returns per acre of maize!!!
Kenya has a deficit of 20 million bags annually and NIB general manager Daniel Barasa believes that 200,000 acres of land under maize would be enough to bridge the deficit and slash imports from Uganda and Tanzania.
“By cultivating 250,000 acres of Galana Kulalu complex, we would have met 41 per cent of the country’s annual maize consumption of 48 million bags, hence providing enough maize to bridge the deficit,” said Mr Barasa.
source: Business daily kenya
Phase two of the project, which will cover 200,000 acres will commence as soon as a mega dam is completed to irrigate the first crops on the 500,000 acres, while phase three is expected to put 300,000 acreage to use.
It is estimated that large-scale production on the farm will start in the next three years after NIB secures Sh250 billion for the construction of a dam and other infrastructural amenities such as roads, airports and offices.
Ni msahaulifu sana wewe jamaa,Naona kwenye mitandao mnaongea kuhusu UKUTA, yaani kila nikiona chochote kuhusu Tanzania kinanikumbusha mahali nchi yetu ilikua miaka 20 iliyopita. Mpo mbali sana aisei. Mjikomboe kwanza ndio mje kujadili na Wakenya maana level yenu bado sana.
Sisi tuliyafanya hayo ya UKUTA miaka 20 ileeeeeee!!!!! Leo hii tunajivunia matunda ya kuwa na nchi iliyoboreka katika kila nyanja.